Prof. Lipumba akerwa na Zitto Mtwara

upuuzi huo watafuteni wapuuz wa kuuamin

watu wanapiga kazi kupambana na ufisadi nyinyi mnaendeleza propaganda za kifedhuli

wapuuz wakubwa,badala ya kutupia macho kwa wezi waliowaibia fedha zenu nyinyi mnatupia macho siasa za majitaka

fedha zenu,???????.
Huyu ndo ze big choo!
 
Baada ya kazi nzuri ya ESCROW nilijua tumemrudisha Zitto kundini. kumbe dogo bado hajaeleweka!

Ana umimi sana huyu dogo!

Huyu bwana ni hatari na afadhali ametoka CDM mapema kwani tangu mwanzo nilishaona angeleta matatizo cdm. Pia siasa za udini zinatamalaki Tz kwa sasa inavyoonekana na Zito anataka kuinuka kwa kutumia udini zaidi, ili atashindwa vibaya kwa hilo
 
Nilidhani ZZK yupo makini hasa baada ya misukosuko katika safar yake ya kisiasa iliyompata kumbe bado utot na kutaka sifa binafsi kuamuandama

Akili ya zzk ni sawa na ccm tuu plus tbccm
 
Ni kweli huyu Karama Kaila ni mtu wa ACT Tanzania anaishi Magomeni Dar, alikuwa MwanaCHADEMA akahamia ACT baada ya issue ya kina Zitto.
 
Umeusoma vizuri huo uzi mkuu!? rudia tena halafu linganisha na ulicho kiandika.

comments zangu haziko straight kwa kila mtu kuelewa, they are just meant for the great thinkers, kama huelewi then you are unintended target. soma kwa makini au nenda shule ukaongeze ufahamu.
 
Hamjakutana na maraisi madikteta, usingekuwa unaropoka hapa ovyo, unasema nimuulize Wasira kwani yeye ndio ccm? Shukuruni Kikwete sio dicteta.


Unataka Nani ashukuru! Kwa nini unataka mimi peke yangu na sio wewe ushukuru? Wewe umelelewa na mama wa kambo au baba wa kambo haiwezekani uone haki yako ni kitu cha kushukuru. Watu sampuli yako mngefaaa mzaliwe punda. Na nape ameliona hilo kaamua kuwatumia kama misukule yake namsifu kwa hilo.
 
Prof. Lipumba ambaye ni wenyekiti wa chama cha wananchi Cuf amekerwa na tabia isiyo ya kinidhamu wala staha iliyofanywa na mbunge wa kigoma kasikazini Bwana Zitto Kabwe,


Katika kikao cha dharula alichokiitisha usiku ule wa mkutano baada ya kumaliza kuhutubia, alitufokea viongozi wa Mtwara kuhusu alichokiona katika mkutano, alisema aliwaona wanachama wa ACT-Tanzania wakiwa na mavazi yao na bendera zao akahoji kwanini tuliwaalika wakaja wakiwa na bendera zao na kuzichomeka hewani?

Mmoja wetu aliinuka na kujibu vizuri kuwa wale vijana tuliwakamata baada ya kuwaona na bendera hizo katika viwanja vyetu, tulipotaka kuwapeleka polisi mmoja wao aliyejitambulisha kwa jina la Kaila alisema yeye ni afsa habari wa chama chao taifa,

Akadai kuwa walialikwa na zitto kuhudhuria mkutano ule,na wamekuja kwa gari lake alilowapatia waje nalo, ‘’Mh Mwenyekiti tunakuomba radhi sana kwa uliyoyaona pale uwanjani, wale vijana hatukuwaita sie, aliyewaleta toka dar es salaam ni swahiba wako uliyeongozana nae Zitto Kabwe, hata gari walilokuja nalo ni lake kawapatia’’

Lakini pia prof. lipumba alidai kuwa ‘’zitto hana heshima hata kidogo kwa sababu tumemwalika sisi katika jukwaa la chama chetu, amekosa jukwaa la kuhutubia siku nyingi, leo tumempa fadhila lakini ametufanyia vitimbi, amekodi mpaka waandishi wa habri wake bila hata kuniambia, kumbe hata wafuasi wake amewagharamikia waje wakiwa na bendera na mavazi ya chama kingine katika mkutano wetu”?alihoji Prof. Lipumba

‘Mbona asitumie jukwaa la hicho chama cha wapambe wake? ikiwa ana unafiki wa namana hii basi hafai kupewa hifadhi kabisa’ alimalizia Prof. Lipumba

Tarehe 31/12/2014 chama cha wananchi cuf kilifanya mkutano wake katika viwanja vya mashujaa hapa mjini Mtwara ambapo zitto kabwe alikuwa mgeni mwalikwa, pia watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa zitto walivamia mkutano huo wakiwa na bendera na mashati yenye chama kingine ambacho hakikuwa na makubaliano ya kufanya mkutano pamoja na cuf..

Mashaka yangu kwako ni hapa
Join Date : 4th January 2015
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received 8

Likes Given 0


Umekuja mahususi kuleta umbea, unachonganisha watu!Hivi ZZK kawakosea nini, mbona mnamuandama sana au ndo kumuogopa kupita kiasi!Akili ya mbowe hii lazima, kama sio huyo basi ni lisu na vibaraka wake!Upuuzi huu
 
Pole sana, I am an Engineer, acha kuchekesha watu na hapa jamvini nimeishatumia sana jina langu kwa muda mrefu na baadae kuomba kubadilisha, usisahau pia ni Lecturer UDSM

ona sasa

likely niko hu,u tangu 2008, umeingia 2010

sorry hutaona nasoma post zako wala kukujibu unaingia directly kwa I.L
Akina muhongo ni wengi sana nchi hii
Kama ww ni lecturer si unajua wewe na mke wako labda na wanafunzi wako. Kama ww ni engineer ndo uwe na uvumilivu zero hapa. U engineer wako anaujua mke wako
 
Mkuu vicha.a kama hao akina Khantwe ndio wale wale ukubwa wa kichwa tu lakn hakuna kitu

Mi nadhani ingekuwa busara sana endapo ungemjibu kwa kumweleza uhusiano wa hii mada na chadema kuliko ulichokifanya. Nami naomba nieleze kistaarabu kbsa uhusiano au mwingiliano wa chadema na hii thread.
 
Last edited by a moderator:
Uwepo wa ACT uwanjani hapo bado hau-justify mahusiano ya zzk na chama hicho. Kwanza zzk ni mwanachama wa Chadema kwanini apigie debe ACT.

sentensi hii tu imetosha kukuona uko usingizini bado....hivi kweli zzk unaweza mtenga na act, hata kama physically bado hajatia team act? kweli??????
 
bado naamini zzk ni mmoja kati ya viongozi
vijana mahili. Uwepo wa ACT uwanjani hapo bado hau-justify mahusiano ya zzk na chama hicho. Kwanza zzk ni mwanachama wa Chadema kwanini apigie debe ACT. Najua watu wenye akili ndogo mmetekwa akili na vigogo ndani ya chadema wanaomuhofia Zzk. Tumieni akili mnapojadili sio mnakuwa na akili za kushikiwa!!

Mi nadhani tungeomba ushahid wa hao jamaa kudhaminiwa na zzk ktk safar yao na malengo ya ujio wa hao jamaa kwe mkutano wa CUF. nadhani baada ya majibu hayo comment yako inaweza kuwa na mashiko sana ukilinganisha na sasa. Mwenye ushahid jamani coz hata mmi hii habar siiamini amini,,, yawezakuwa ni mambo ya mtu kukaa chemba na kuibuka na kitu. Thanx
 
Kipi alichokifanya kwenye escrow zaidi ya ripoti iliyojaa matobo yaliyoacha maswali Mengi yasiyo na majibu mpaka sasa.

Really??

Kwahiyo hata yale maazimio ya kamati ya bunge yaliyotokana na kamati ile wewe bado huoni kama yana umuhimu au tija kwako.

Nchi hii ni ngumu na rahis sana kwa mafisadi kutokan na watu wa sampuli hii

Kusahau ni haraka mnooo na hampendi kuweka akili katika mambo ya msingi

Ajabu sana
 
Akina muhongo ni wengi sana nchi hii
Kama ww ni lecturer si unajua wewe na mke wako labda na wanafunzi wako. Kama ww ni engineer ndo uwe na uvumilivu zero hapa. U engineer wako anaujua mke wako

Segwanga wanaujua mno hao uliowataja ha ha haa! umerukia hujajua nilikuwa namjibu nini huyo mtu, soma post yake

mkuu una wivu hata kwa usiyemfahamu?? duh!!
 
Akina muhongo ni wengi sana nchi hii
Kama ww ni lecturer si unajua wewe na mke wako labda na wanafunzi wako. Kama ww ni engineer ndo uwe na uvumilivu zero hapa. U engineer wako anaujua mke wako

Segwanga wanaujua mno hao uliowataja ha ha haa! umerukia hujajua nilikuwa namjibu nini huyo mtu, soma post yake

mkuu una wivu hata kwa usiyemfahamu?? duh!!
 
Nina wasiwasi hii ni tetesi tu au udaku mtupu!!; sidhani kama ZZK anaweza kufanya ukunguru wa aina hiyo hususani wakati huu ambao yeye kama yeye hana jukwa mahsusi la kusukuma agenda zake za kisiasa; anahitaji nguvu ya pamoja kufanya hivyo kama ilivyokuwa bungeni kwenye sakata la Tegeta Escrow!!! Bila physical, intellectual, spiritual and moral support ya wana-Ukawa na wananchi wazalendo wengine nchi nzima waliokuwa wanawafuatilia na kuwapa support za kila aina kupitia SMS; tweets; facebook; posts kupitia mitandao mbalimbali na direct calls; ZZK na baadhi ya wabunge wanakamati wa PAC na David Kafulila muasisi wa hoja yenyewe ya Escrow; bila shaka yoyote Upweke; woga; depression; msongo wa mawazo vingeathiri ufanisi wao kwa kiasi kikubwa sana!!

ZZK hebu tuweke sawa katika hili; hivi kweli wewe ni Kunguru asiyefugika kama kina Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba?! sitaki kuamini; maana kufanya kosa si kosa bali kurudia kosa ni kosa na dhambi kubwa sana kwa Mwenyezi Mungu!! tafadhali ZZK please open up on these damaging allegations ASAP!!!
 
Back
Top Bottom