Prof. Lipumba akerwa na Zitto Mtwara

Naona ili tabia ya kutafutwa kudhibitisha bado kumbe, ngoja niendele kusoma.
 
Nahisi Zitto anahitaji ushauri nasaha jinsi ya kuendesha siasa zake la sivyo kila atakapoenda ataharibu
 
Mh ... Wew umendika nin sasa mbowe anahusikaje katika kumuokoa ZITTO . ZITTO Alikuwa na TUHUMA gan hadi aokolewe na mbowe
Swala la kuchangia positively /negatively ni Ustashi wa mtu mwenyewe.
ama kweli bongo imejaa wanafiki wa hali ya juu,mara hii busara za Mbowe mpaka tukafikia resolution zile zimesahaulika
 
Hata siku moja CCM haijawahi kuipa nafasi CHADEMA. Kamuulize wasira atakuambia. Ndoto yake ni chadema ife kabla ya 2014.

Hamjakutana na maraisi madikteta, usingekuwa unaropoka hapa ovyo, unasema nimuulize Wasira kwani yeye ndio ccm? Shukuruni Kikwete sio dicteta.
 
nilishasema, zzk nje ya chadema ni kama chui wa karatasi. Hapo alipo yuko kwenye dilemma kuhusu future yake kisiasa. Kama ni mwanaume kweli mbona bado anashindwa kujitokeza hadharani na act yake?
Ni ajabu hata hao cuf kumpa platform. Zito ni msaliti wa mageuzi cause. Haiwezekani wote tuko kwenye mashua baharini halafu mwenzetu anaanza kuutoboa. Kwa ujumla wetu tutapambana naye kumzuia na kama anaendelea uamuzi muafaka ni kumtosa baharini na kutuacha sisi tuendelee na safari yetu.
Amezidi kujianika.

it is all nonsensical. Mwenye akili ndogo tu anatosha kuelewa what is the motive ya thread hii. Why shiould a clever man like zitto who his commitee is able to analyse more important and crotical issue like escrow and all the hiden secrecy behind it fail to see the logic of doing that. I even comment to such stupid thread simply because i want to but haistahili hata kujibiwa na all who positively support it are the same insanes.

Mnajua party politics zitatuweka pabaya has nchi yetu hii. Nashindwa kuelewa vijana badala ya kujadili hoja za msingi za maendeleo, you are busy with hayana tija kabisa. Kwa hurka na uwezo wa ya zito hafanyi politics kwa ajili yake kama yeye na tumeliona hilo tangu ameanza politics nyie ndio wa kwanza kuingia ndani yake na kujifanya ninyi ni zitto!!! Pit all of you. Zitto dont listen to nonsensical urguments be focused.
 
Majungu hayatatufikisha kule tunakotaka kwenda,kama jambo ni la kweli tuseme ukweli,na uongo tuuache.PLIZ TAIFA KWANZA.
 
Zitto akitaka kuinuka ashuke! Aache kujikweza ndio atainuliwa lakini akiendelea kujukweza atashushwa maana mwenyeenzi Mungu hupenda moyo wa unyenyekevu na huwapinga wenye viburi. This is just a principle!
 
bado naamini zzk ni mmoja kati ya viongozi
vijana mahili. Uwepo wa ACT uwanjani hapo bado hau-justify mahusiano ya zzk na chama hicho. Kwanza zzk ni mwanachama wa Chadema kwanini apigie debe ACT. Najua watu wenye akili ndogo mmetekwa akili na vigogo ndani ya chadema wanaomuhofia Zzk. Tumieni akili mnapojadili sio mnakuwa na akili za kushikiwa!!
 
Hata wewe waonekano zako ni za kuazima.
 
sijaelewa wakuu

Mkuu, sidhani kama hujaelewa, nadhani huamini kwa kile ambacho zzk kakifanya! Binafsi niliisha poteza kabisa imani na huyu dogo, siasa zake mara nyingi hupenda kujijenga kibinafsi na sio team nzima; mtu wa namna hi ni hatari sana kwasababu matarajio yake yasipotimia lazima aharibu tu.
 
bado naamini zzk ni mmoja kati ya viongozi
vijana mahili. Uwepo wa ACT uwanjani hapo bado hau-justify mahusiano ya zzk na chama hicho. Kwanza zzk ni mwanachama wa Chadema kwanini apigie debe ACT. Najua watu wenye akili ndogo mmetekwa akili na vigogo ndani ya chadema wanaomuhofia Zzk. Tumieni akili mnapojadili sio mnakuwa na akili za kushikiwa!!

Umeusoma vizuri huo uzi mkuu!? rudia tena halafu linganisha na ulicho kiandika.
 
Back
Top Bottom