Penye RED: Nabii akubaliki kwao. JK ajawai hata siku moja kutaka ushahuri kwake.
Kasome kiswahili kwanza ndo uingie humu!
Penye RED: Nabii akubaliki kwao. JK ajawai hata siku moja kutaka ushahuri kwake.
inasemekana jamaa akiwa nchi za nje huwa anapewa heshima kuliko hata M.kwere
It's an undisputable fact kuwa nchi hii has got hundreds of wasomi katika level ya prof Lipumba (or thereabouts) ambao system imewa-push into the background.
Lipumba is just one tip on the icerberg.
Our new constitution must spell out some enforceable mechanism ya kuhakikisha resources za aina hii zinakuwa tapped.
This is what quickly comes into mind....data-base ya wasomi hawa inakuwa managed and maintained na serikali, wanapewa measurable targets, wanapimwa, wanachujwa na kuendelea kuwa motivated.
Wazo lako zuri mkuu ila Tanzania bado haijafikia viwango vya nchi zilizokwishakuendelea. Labda wakati unashauri hivyo hivyo pia ungeliwashauri wawe wanakubali kukosolewa. Kwani wapishi wengi hawawezi kuwa na aina moja ya mapishi. Tanzania wasomi wanaokosoa serikali huonekana maadui na watu wabaya na vile vile wapinzani wa chama tawala.
Wiki iliyopita Waziri wa fedha wa Uingereza alikosolewa na kundi la maprofessa 50 kutoka vyuo mbali mbali nchini humo walipoandika barua Financial Times kuikosoa serikali kuhusiana na mtazamo wao kubana matumizi kwa haraka sana kwani unaathiri uchumi wa nchi yao. Maprofessa hao 50 baadhi yao ni washauri wa wizara mbali mbali nchini humo lakini wamemkosoa waziri wa fedha na bajeti yake. Wiki iliyopita pia maprofessa wapatao kumi wamemshauri Waziri mkuu wa Ujerumani Angela Merkel ajitoe EU wakati waziri mkuu hataki na wala hataki kusikia. Je wako tayari kukosolewa wakajirekebisha kwani watu kama akina Lipumba au Baregu ni wasomi na hawawezi kukaa kimya wakiona mambo yanaharibika.
Kama huna kumbukumbu nzuri ni kwamba aliwahi kuwa mshauri wa uchumi wa Rais Mwinyi. Japo kuwa mshauri hakukufanyi ushauri wako kufanyiwa kazi. Kule ambako wameufanyia kazi wameona matunda yake na wanamkubali. Rais Kagame aliwahi kumtumia na Rwanda leo hii imeshatuwashi indicator za hazard ikituacha. Tanzania tuna watu wenye vipai wengi sana ila hawatumiwi kwa sababu malengo ya viongozi si masilahi ya Taifa bali masilahi binafsi.Ameshatoa ushauri gani hapa Tanzania? Nini ambacho ameshafanyia nchi yake ili tumkumbuke kama mchumi?

mimi sijawahi kuskia rais profesa duniani

hata mmoja sijawahi kuskia

Lipumba ni kichwa sana. JK angekuwa na akili angemfanya kuwa Treasury secretary wake. Lakini JK yuko radhi amweke kilaza Nkullo kuliko genius LipumbaHongera Professor. Nilikuwa naongea na wachumi UDSM walisema Lipumba ni kichwa sana. Huyu jamaa, japo sikubali na itikadi za chama chake kwa sasa, huwa nahisi anakauzalendo fulani
Ameshatoa ushauri gani hapa Tanzania? Nini ambacho ameshafanyia nchi yake ili tumkumbuke kama mchumi?
Ameshatoa ushauri gani hapa Tanzania? Nini ambacho ameshafanyia nchi yake ili tumkumbuke kama mchumi?
Hongera zake, jana nilikuwa nae hapa Dar mchana kwa maongezi mafupi.
Tupeperushie bendera yetu vema huko ughaibuni mzee.

Prof Ibrahim .H. Lipumba amerejea kutoka igunga ambapo alikuwa anamfanyia kampeni na kumnadi mgombea wa chake cha CUF ambapo amemaliza siku zake za kampeni alizopangiwa na chama na anatarajiwa kuondoka wakati wowote kuanzia Leo kuelekea uswissi ambapo ameitwa na kupewa mkataba wa mwaka mmoja na nusu kama mshauri wa uchumi. watanzani tunakutakia kazi njema.
Lipumba alikuwa mshauri wa uchumi katika awamu ya pili ya mzee ruksa. Mabadiliko mengi yaliyotokea kipindi cha Ruksa kuhusu uchumi kama ni kushindwa au kufanikiwa basi lipumba alikuwa amechangia.