mimi sijawahi kuskia rais profesa duniani
hata mmoja sijawahi kuskia
Angela Merkel, Gordon Brown and Yule wa Chile anaitwa hasa Professor Sibastian Pinera unataka wengine?
mimi sijawahi kuskia rais profesa duniani
hata mmoja sijawahi kuskia
<br />Angela Merkel, Gordon Brown and Yule wa Chile anaitwa hasa Professor Sibastian Pinera unataka wengine?
mimi sijawahi kuskia rais profesa duniani
hata mmoja sijawahi kuskia
Wasomi Tanzania huwa hawakubaliki hata siku moja, utashangaa mtu kama Prof. Majimarefu anakubalika kuzidi Prof. Lipumba.
Wewe nenda zako kafanye kazi na wazungu, huku tuache kama tulivyo Miafrika ndivyo ilivyo
mimi sijawahi kuskia rais profesa duniani
hata mmoja sijawahi kuskia
nakumbuka ashawahi shika nyadhifa hapo nyuma lakini kwa ssa hakuwahi kupewa nafasi,sa sijui angejitia kimbelembeleAmeshatoa ushauri gani hapa Tanzania? Nini ambacho ameshafanyia nchi yake ili tumkumbuke kama mchumi?
Je kuna uhusiano na hii fellowship? Dr. Ibrahim Haruna Lipumba | NED
Haendi kufanya kazi amepata fellowship anakwenda kusoma/ kufunzwa, Fungueni hiyo link muone. Watu wa cuf mnampa ujiko bure eti anakwenda world Bank!!!
Mkuu wangu, napata tabu kidogo naomba uniweke sawa anakwenda kusoma halafu World Bank wanamlipa pesa kwa kusoma tu?Haendi kufanya kazi amepata fellowship anakwenda kusoma/ kufunzwa, Fungueni hiyo link muone. Watu wa cuf mnampa ujiko bure eti anakwenda world Bank!!!
Mkuu wangu, basi hao wazungu wa World Bank watakuwa wajinga sana.Kuna nafasi nyingine huwa zinatengwa kujazia jazia Waafrika ili kumbi za mikutano zipendeze na rangi mbali mbali, hailazimu kwamba huyu ndio mkali kwa sana katika level za kidunia. Wewe mchumi, nchi yako masikini wa kutupwa na kukanyagwa unaenda Ulaya kushauri uchumi, kumshauri nani?
Mkuu wangu, napata tabu kidogo naomba uniweke sawa anakwenda kusoma halafu World Bank wanamlipa pesa kwa kusoma tu?
Penye RED: Nabii akubaliki kwao. JK ajawai hata siku moja kutaka ushahuri kwake.
Mkuu Mdondoaji,Mkuu,
Ndinani bado hana exposure anafikiria fellowship za World Bank ni kama zile fullbright fellowship za watu kwenda kusoma. Hizi zinaitwa research fellowship mtu anakuwa anaajiriwa kwa muda maalum afanye kazi ya utafiti amalize. Wanakuwa wanamlipa mshahara, na marupurupu mengineyo kama staff member wa kitengo husika.
La kuchekesha mtu tayari ana PhD ya Economics kuna kitu gani cha zaidi anaenda kusomeshwa World Bank? Isitoshe World Bank navyojua mie ni Taasisi ya benki ya maendeleo ya kidunia sijui walibadilisha hiyo hali na kuwa chuo kikuu.