Wote ukiwangalia hakuna perfect sana kwa nafasi hiyo:-
Kabudi - Hafai kabisa na hata alipokuwa rafiki wa mahakama juu ya mgombea binafsi alijitafuna na kujionesha yeye ni gamba
Warioba - ni bora lakini kuna ya mwanachi gold naye alichafuka sijui hoja za masuala ya madini kwenye katiba itakuwa neutral au atalalia kwa mabepari
Prof. Shivji - ni bora kwa kiasi fulani lakini ana unyerere mwingi kupita kiasi na sasa hivi ni kipindi cha information age tunataka ukweli na haki ili kila mmoja afadi keki ya nchi kwa usawa na kwa juhudi na maarifa ya mtu binafsi
Wengine waliotajwa hapa ndio hafai kabisaaa hata kuwajadili