Prof Kabudi: Mkoa wa Singida una Mahusiano ya karibu na Zanzibar na Oman, Kilimatinde ya Singida ipo Unguja na Pemba!

Hatimaye Prof. kawa multi-sectoral.... kutoka kuwa mwanasheria nasasa ni mwanahistoria.Leo yeye ni wa Singida,na vilevile kaongelea hadi Oman,hakika anaona mbali huyu.
Kwa hiyo anatudhihirishia kwamba yeye ana undugu na Saa100?
 
Prof Kabudi amesema yeye asili yake ni mkoa wa Singida ambao kiasili una makabila makubwa mawili yaani Wagogo na Wanyaturu waliotokea Ethiopia

Kabudi amesema kabla ya Uhuru Biashara kuu zililofanyika Singida ni Biashara ya Watumwa na Pembe za Ndovu Ndio sababu Singida na Bagamoyo wanaelewa a sana

Kadhalika Kilimatinde ya Singida ipo Unguja na Pemba na ukienda Oman utawakuta Wanyaturu waliotokea Singida, amesisitiza Profesa

Pia Azimio la Arusha liliandikiwa Singida na Mkuu wa Wilaya wa kwanza mwafrika Wakati wa Mkoloni alitokea Singida

Prof Kabudi amesema kiasili Wanawake wa Singida ni majasiri kuliko Wanaume na Brigedia wa kwanza mwanamke ambaye pia alipigana Vita ya Kagera anatokea Singida

Mlale Unono 😃😃
Interesting. Oman inazidi kusogezwa nyumbani.

Mimi yangu subra tu kujionea jinsi mapinduzi matukufu yatakavyosherehekewa Januari 2024 - na miaka inayofuatia, inshallah.
 
Prof Kabudi amesema yeye asili yake ni mkoa wa Singida ambao kiasili una makabila makubwa mawili yaani Wagogo na Wanyaturu waliotokea Ethiopia

Kabudi amesema kabla ya Uhuru Biashara kuu zililofanyika Singida ni Biashara ya Watumwa na Pembe za Ndovu Ndio sababu Singida na Bagamoyo wanaelewa a sana

Kadhalika Kilimatinde ya Singida ipo Unguja na Pemba na ukienda Oman utawakuta Wanyaturu waliotokea Singida, amesisitiza Profesa

Pia Azimio la Arusha liliandikiwa Singida na Mkuu wa Wilaya wa kwanza mwafrika Wakati wa Mkoloni alitokea Singida

Prof Kabudi amesema kiasili Wanawake wa Singida ni majasiri kuliko Wanaume na Brigedia wa kwanza mwanamke ambaye pia alipigana Vita ya Kagera anatokea Singida

Mlale Unono 😃😃
Vururu vururu tanganyika. Ukistasjabu ya Mussa, utayaona ya KIBUDU.
 
Usimtetee, wako huko serikalini miaka yote, wanajishibisha wao tuu.

Pale mbeya wakati sugu ni mbunge hadi njia za mtaani ziliwekwa lami.

Kule kwetu enzi za bazil mramba barabara hadi rombo iliwekwa lami.

Singida bado iko nyuma.
Barabara gani Mbeya iliwekwa lami kwa sababu ya Sugu? Yaani unaanzisha uwongo tu alimradi ujenge umaarufu wa Sugu
 
Siyo kweli. Mramba alikuwa kwenye Waziri kwa miaka ya Nyerere kama 10, then Mkuu wa Mkoa Mbeya wakati wa Mwinyi. Akarudi wakati wa Mkapa kuwa Waziri tena na miaka hiyo 2 ya kipindi cha Kikwete
Miaka 2 ya Watu kula nyasi ndipo alipofanya yake Rombo na baadae Jela ikamuhusu!

Lami 😂😂
 
Hayo majina naomba uwe unayaandika kwa kuanza na herufi kubwa, au ikiwezekana, uwe unayaandka kwa herufii kubwa tu.
Huwa kila nikiyaosoma nywele zangu zinasisimka
Mwaka aliokufa Galileo Galilei, ndiyo mwaka aliozaliwa Isaac Newton, Sayansi ikawa imesogea kidogo kutoka Italy kwenda Uingereza
Ndio hapo mtaalam.GALILEO GALILEI alikua mult talented.why prof kabud asiwe mwana historia? Enz zetu necta 1976 tunapiga experment ya pendulum bob. Maprof weng walikua mult talented tena hawa wa middle east elimu zao ndio zimekwenda mbali sana wakina AVICCENA( ibn Sinna) vitabu vyake ndio vinatumika kutibia.soma kitabu the book of wisdom,ghayatul hakam, Maslama ibn Ahmad al-Majriti (an Andalusian mathematician) nenda soma picatrix uone shughuli ,a maprof wa enzi hizo
 
Mwaka 1976 wewe unataitafuta kwenye maabara, "g" ya mahali pale ulipokuwa unasoma?
Ama kweli JF kuna rika zote. Nadhani hata watoto wa shule za msingi wamo humu
 
Nqmuubga mko Kq budihilo la Singida kuwa na ukaribu na Oman na Zanzibar ni kweli kabisa.

Ukienda Oman kuna Waoman wengi sana walikuwa wakikshi Singida au wazazi wao walitokea Singida. Pia mpaka leo Mkoa mzima wa Singida kuna wenye asili ya Kioman wengi tu.
 
Kwa aliowafundisha wanamuelewa Kabudi ni mwalimu bora sana ila tatizo la kuwahamisha academicians kwenda kwenye siasa chafu zinaharibu reputation ya mtu. It's unfortunate he joined the government at the darkness moment
 
Back
Top Bottom