Prof Kabudi: Mkoa wa Singida una Mahusiano ya karibu na Zanzibar na Oman, Kilimatinde ya Singida ipo Unguja na Pemba!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,015
142,055
Prof Kabudi amesema yeye asili yake ni mkoa wa Singida ambao kiasili una makabila makubwa mawili yaani Wagogo na Wanyaturu waliotokea Ethiopia

Kabudi amesema kabla ya Uhuru Biashara kuu zililofanyika Singida ni Biashara ya Watumwa na Pembe za Ndovu Ndio sababu Singida na Bagamoyo wanaelewa a sana

Kadhalika Kilimatinde ya Singida ipo Unguja na Pemba na ukienda Oman utawakuta Wanyaturu waliotokea Singida, amesisitiza Profesa

Pia Azimio la Arusha liliandikiwa Singida na Mkuu wa Wilaya wa kwanza mwafrika Wakati wa Mkoloni alitokea Singida

Prof Kabudi amesema kiasili Wanawake wa Singida ni majasiri kuliko Wanaume na Brigedia wa kwanza mwanamke ambaye pia alipigana Vita ya Kagera anatokea Singida

Mlale Unono 😃😃
 
Mlale Unono
Mzee wa Noah zetu
 
Umempa Lucas mwashambwa mbinu mpya atakuja ametuandikia gazeti humu kuwa hata yeye ana asili na Oman ili alambe uteuzi maana kaupigania mwaka wa pili sasa hadi anaelekea kukata pumzi
Katafuta connection yake na Rais kaipatia kwenye utumwa. Such a meat head. Hatuna scholars wa maana nchi hii. Huwezi kusikia Mmarekani Mweusi anaongelea utumwa unless anauchana na kuulaani.
 
Prof Kabudi amesema yeye asili yake ni mkoa wa Singida ambao kiasili una makabila makubwa mawili yaani Wagogo na Wanyaturu waliotokea Ethiopia

Kabudi amesema kabla ya Uhuru Biashara kuu zililofanyika Singida ni Biashara ya Watumwa na Pembe za Ndovu Ndio sababu Singida na Bagamoyo wanaelewa a sana

Kadhalika Kilimatinde ya Singida ipo Unguja na Pemba na ukienda Oman utawakuta Wanyaturu waliotokea Singida, amesisitiza Profesa

Pia Azimio la Arusha liliandikiwa Singida na Mkuu wa Wilaya wa kwanza mwafrika Wakati wa Mkoloni alitokea Singida

Prof Kabudi amesema kiasili Wanawake wa Singida ni majasiri kuliko Wanaume na Brigedia wa kwanza mwanamke ambaye pia alipigana Vita ya Kagera anatokea Singida

Mlale Unono 😃😃
Kwa hiyo ushirikiano wa Singida na WAARABU …ndio kujenga uhalali wa kuwatumia kupigia Debe ….DP WORLD …

Hakuna profesa boGus na asiyeweza kuaminika kama Kabudi ….yeye kaaamua kutumia hiyo title yake feki ya uprofesa mara zote kutumika kupotosha mambo
 
Ni kama kujaribu kumpaka rangi mbwa ili ageuke kuwa chui

images - 2023-10-17T014914.815.jpeg
 
Kwa hiyo ushirikiano wa Singida na WAARABU …ndio kujenga uhalali wa kuwatumia kupigia Debe ….DP WORLD …

Hakuna profesa boGus na asiyeweza kuaminika kama Kabudi ….yeye kaaamua kutumia hiyo title yake feki ya uprofesa mara zote kutumika kupotosha mambo
Prof...basi anatuambia kuwa yeye inawezekana atakuwa na uraia pacha' wa Dodoma, Kilosa,Singida na na Sasa Oman.....Tz aiseee ni raha na viroja huwa haviishi., ........
 
Prof...basi anatuakbia kuwa yeye atakuwa na uraia pacha' wa Dodoma, Kilosa,Singida na Oman.....Tz Raha na vioja huwa haviishi., ........
Huyu wanamuita “ proffesserial rubbish” , anaweza kufanya Lolote ili apate…….usije shangaaa akagombea ubunge Majimbo ya singida na kujipa nasaba za usingida..

hashindwi kwani mwaka 2019 alikula deal na magufuli wakamdhulumu jimbo mbunge wa ccm pale KILOSA kwa madai eti Kabudi naye ana asili ya KILOSA kwa sababu Babu yake alitokeaga KILOSA kwa hiyo Anafaaa faaa kuliko mbunge aliyekuwepo wakati huooooo…….. ,dhuluma tu .
 
Prof Kabudi amesema yeye asili yake ni mkoa wa Singida ambao kiasili una makabila makubwa mawili yaani Wagogo na Wanyaturu waliotokea Ethiopia

Kabudi amesema kabla ya Uhuru Biashara kuu zililofanyika Singida ni Biashara ya Watumwa na Pembe za Ndovu Ndio sababu Singida na Bagamoyo wanaelewa a sana

Kadhalika Kilimatinde ya Singida ipo Unguja na Pemba na ukienda Oman utawakuta Wanyaturu waliotokea Singida, amesisitiza Profesa

Pia Azimio la Arusha liliandikiwa Singida na Mkuu wa Wilaya wa kwanza mwafrika Wakati wa Mkoloni alitokea Singida

Prof Kabudi amesema kiasili Wanawake wa Singida ni majasiri kuliko Wanaume na Brigedia wa kwanza mwanamke ambaye pia alipigana Vita ya Kagera anatokea Singida

Mlale Unono
Yaani kila kukicha Viongozi Hawa ni vituko tu.
Kwa hiyo anamanisha nini waTanzania na waSingapore wafanye!?

Watu wetu huko Israel na Palestina mmeshawarejesha na kuandaa timu ya waJeshi kwenda huko?!

Acheni upoyoyo! Baadae tunaanza kusingizia vita na bado bei zinaenda kupaa!!
 
Kama Wanyaturu wametokea Ethiopia, mbona hawana kama Wachagga?
 
Yaani kila kukicha Viongozi Hawa ni vituko tu.
Kwa hiyo anamanisha nini waTanzania na waSingapore wafanye!?

Watu wetu huko Israel na Palestina mmeshawarejesha na kuandaa timu ya waJeshi kwenda huko?!

Acheni upoyoyo! Baadae tunaanza kusingizia vita na bado bei zinaenda kupaa!!
Thinking capacity ya anayejiita mtanzania ni ndogo sana tena sana.

Watanzania wanachojivunia ni Ukarimu na upole ambao ni ujinga na umaskni, Nje ya hapo mtanzania ni wakumuonea huruma
 
..Maza ni MUOMANI.

..Kabudi kaishasoma mchezo hapo.

..ukitaka mema toka kwa Maza mwambie una undugu na Waomani.
Tena ukitaka fadhila zaidi mwambie MAZA hao WADANGANYIKA hawakuelewi, MAZA unataka TZ iwe kama Dubai! Waarabu ni wema, wanajali, watatupa maendeleo, na hata wakichukuwa bandari, wanyama, ardhi Loliondo hakuna shida, na unaenda mbali Kwa kudai na kumsifia MAZA kuwa anafanana na waarabu, hata watoto wake wako kama waarabu kabisa!
 
HATA ABDUL? MBONA MWEUSI VILE?
 
Back
Top Bottom