Prof Jay mwisho wa reli

Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
72
Ukipata wasaha wa kusikiliza nyimbo zake kama, Bongo Dsm, Ndiyo& Siyo mzee, Jina langu na hata zile ndani ya HBC kama chemsha bongo, mamsap n.k utakubaliana nami kwamba huyu jamaa hakuna mfano wake kwa tungo za kuelimisha na kuburudisha sioni kwa sasa hata anayekaribia tungo zake hizi za mid 2000 wa sasa kelele na promo nyingi ila kiuhalisia vichwa maji sana.....
 
Wewe utakuwa ndio jay mwenyewe hongera kumbe ni member mwezetu na pia kujipa promo mwenyewe ila sasa hivi madogo wamekukaba game imekuwa tight kimtindo eeee
 
Namkubali J sana yaani.

wivu achane jamaa ni mmoja
WA wanamuziki bora nchini .

J nakuzimia@yahoo.com
Pande zote ntakwenda lakini bongo ndo home....

:D:)

Ni kweli kabisa wengine watakuja na kuondoka ila nagalau nyimbo za huyo jamaa bado unaweza kuweka na kusikiliza

Si ni kweli nakubalika ndio mzee ati ndio mzee ...
Zali la mentari .na nyingine kibao
 
Ni kweli kabisa wengine watakuja na kuondoka ila nagalau nyimbo za huyo jamaa bado unaweza kuweka na kusikiliza

Si ni kweli nakubalika ndio mzee ati ndio mzee ...
Zali la mentari .na nyingine kibao

nina albamu yake ya machozi , jasho na damu.
tena kanda lolest

wengi wamekuja wameondoka ..
lakini J bado kasimama imara.

halafu nyimbo zake nyingi zina ujumbe au mafunzo fulani
kama ule wa "salamu babu na bibi , salamu bibi na baba"

Huyu ndo mkongwe wa nyimbo za kizazi kipya hapa TZ..

Namuombea maisha marefu zaidi .
 
Noma J.a.k.a Prof,Mti mkavu,Mchawi wa rhyme,Jizze.. my best artist .mtakufa bila kupiga kelele kama wafuasi wa kibwetere
 
watu wana magari ya zaidi ya m200 wakati kwa mbongo wa kawaida baiskeli kitendawili ..nimegundua mwezini kuna barid kali
 
Jifunze.................Ona................Sema..................Elimika.....................Pitia...........Hamasika..................hii inamaanisha J.O.S.E.P.H

bonge la ngoma hili......!!

pia kuna nyingine kashirikishwa F.A..........inaitwa JUKUMU LETU.............kaka mkubwa anajua,wacha utani kabisa!
 
Ila kila mtu ana zama zake kama ilivyo kwa kila nabii na kitabu chake, japo alikua anatamba kwa miaka hiyo ila ki ukweli Jay, tena hana chake zama hizi na ukitaka umfurahie Jay then u better go back to early 2000's
 
Obivious sie hatusemi bado anatisha make hata muzki umebadilka na jamii haitaki tena nyimbo kama zile ila he hd a viszn
 
ukimzungumzia jizle umeuzungumzia mziki wa bongo.jizle na bongo fleva ni pande mbili za shilingi are inseparable
 
Jifunze.................Ona................Sema..................Elimika.....................Pitia...........Hamasika..................hii inamaanisha J.O.S.E.P.H

bonge la ngoma hili......!!

pia kuna nyingine kashirikishwa F.A..........inaitwa JUKUMU LETU.............kaka mkubwa anajua,wacha utani kabisa!

wewe kweli unajua ngoma kali japo hazikua maarufu.Hiyo J.O.S.E.P.H beat yake tu lazima ukae, na jukumu letu wameenda sawa sana na mwanafalsafa
 
wewe kweli unajua ngoma kali japo hazikua maarufu.Hiyo J.O.S.E.P.H beat yake tu lazima ukae, na jukumu letu wameenda sawa sana na mwanafalsafa

mkono wa khalfan ule.........................au nakosea!?...............mkali wa kweli wa ''uzalishaji'' hapa bongo!sio kila mdundo una-sample tu na kurekebisha kidogo tu ngoma za watu..upumbavu mtupu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom