Ukipata wasaha wa kusikiliza nyimbo zake kama, Bongo Dsm, Ndiyo& Siyo mzee, Jina langu na hata zile ndani ya HBC kama chemsha bongo, mamsap n.k utakubaliana nami kwamba huyu jamaa hakuna mfano wake kwa tungo za kuelimisha na kuburudisha sioni kwa sasa hata anayekaribia tungo zake hizi za mid 2000 wa sasa kelele na promo nyingi ila kiuhalisia vichwa maji sana.....