Fugwe
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 1,676
- 656
Kwa taarifa yako Prof. Baregu haamini kama kuna MUNGU. He is totally a pagan. Hii inasikitisha sana. MUNGU amsaidie ili atambue ya kuwa yuko MUNGU aliyeziumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo ndani yake.
Mkuu,
Nikushangae kidogo, kabla haujatuambia kama Prof. Baregu haamini kama kuna MUNGU ungemuuliza yeye ana amini nini badala yake?? Nakuona wewe kama muumini mzuri wa MUNGU aliyeletwa Africa na Wazungu, rudi nyuma kabala ya wazungu kuja, waafrika tulikuwa tunaamini nini?? hatukuwa tunapata tunachokiomba????hatukuwa tunasali???? Funguka kidogo kuhusu hicho unachokiamini (Mimi namuani MUNGU)