Prof. Baregu aeleza kwanini hakutumia Biblia kuapa

Huyu ni mpagani wa wapagani. Aliowafundisha pale UDSm wanafahamu vizuri. Yeye na Kingunge ni kundi moja.

Walioelimika wanajua upagani zaidi ya mtu asiyeamini dini za magharibi ni kumuita mwenzio huyo anayetumia uhuru wake wa kutoabudu mpagani. It is a colonial/ medieval notion born of the thinking that nothing good can come out of Africa, the dark continent.

Baregu is attempting to refute this backward notion.
 
amefanya la maana sana hii serikali ya mwanadamu halafu unamuingiza Mungu! Unafiki tu! watu wanashika vitabu vyao wanavyovikubali kuwa ni vitakatifu halafu wakigeuka wanafanya madudu! Ya Kaisari mpe...
 
Huyu baregu ni lazima seme ukweli kuwa aliikana dini yake kwa sababu ya kupenda siasa za kidhalimu za kikomunisti. ukiwauliza maswali kama haya ya kwa nini hawataki kuapa kwa kutumia biblia , wao huja na majibu ya kutisha sana. lazima ujue kuwa mkristo wa kwanza hapa duniani ni myahudi. Myahudi ndiye aliyewaenezea wazungu dini ya kikristo na siyo kuwa ndiyo wao walipewa dini hiyo. Jana ndiyo ilikuwa kumbukumbu ya kuenea dini ya kikristo duniani.

Pale Yesu alipowatokea wafuasi wake na kuwambia Peace be with with you. Halafu tomasi hakuamini mpaka amuone kwa macho yake. aliwatokea wakati tomasi yupo ndipo yesu alisema nendeni duniani kote mkaihubiri injiri,. Yeyote mtake muondolea dgambi ameondolea na yeyote mtkaye mfungia zambi amefungiwa.

Baregu ni mmoja wa watu wasiojari haki za binadamu kwa sababu ya kuupenda unyama wa kikomunisti. alisoma mafundisho ya Chee ernesto Guevara yanayoshabikia kufutwa kwa dini ya kikristo duniani. Che alikuwa ni mtu hatari sana kwa kupinga christianity. Hivyo mimi sishangai kuona ana wafuasi wake mpaka leo watu kama kina kingunge na Baregu.
 
Siko pamoja nae hata kidogo..

Ila nasikitika viongozi wanapoapa na vitabu vya dini na kufanya vinginevyoo.
 
The notion that Christian GOD exist came from Europe
The notion that Islam ALLAH exist came from Middle east
The fallacy that GOD does not exist came from abroad (Europe, America etc)

So whether you believe or not believe you are still under the influence of Europe or America. Usitudaganye wewe bado ni mtumwa wa fikra za hao hao wazungu, hata hiyo statement ya kuhusu nini unaamini tushaiona kwa ''wazungu'' kibao........wasioamini. Ungesema unaamini mizimu angalau ungekuwa na hoja...

Si kweli kwamba waafrika hawana indigenous atheism.
 
Huyu dingi anashangaza sana ni wazi kwamba CHADEMA walishinda kwa sababu wana MUNGU na CCM wana FEDHA iweje tu baada ya Uchaguzi baregu anamkataa Mungu aliyeipa CDM ushindi Arumeru? Falsafa yake ya kipagani abaki nayo humo humo ila akija Arusha ambako watu wengi wanamheshimu Mungu hatapata support ya upagani wake. kam siyo mnafiki na wakutaka kumfurahisha Devil basi angekuja na kitabu cha hiyo dini yake ili tujue anachokiamini. Lazima at some point binadamu walikuwa wanaamini kitu, iwe miti, mawe n.k. kama ana ujasiri angeleta hata jiwe au kipande cha mti basi tujue anaamini nini?. kwa hili prof. anaonekana kuyumba simpi support hata kidogo na CDM katu msiendekeze hii imani ikataeni kwani ni KWA SABABU YA KUMTUMAINI MUNGU MMEFIKA HAPO MLIPOFIKA. Mkikosea kumfuatisha Baregu mtatetereka within no time. Lets keep our faith on God tuache ujinga.

I support you mkuu, CDm wasikubaliane na upagani wa huyu babu. Wamarekani hivi sasa wanawayawaya kwa kuandamwa na mabaya ya kila namna ikiwemo kuyumba kwa uchumi na majanga ya kila namna kila kukicha vikiwemo vimbunga visivyokoma kwa sababu wameamua kumkataa MUNGU wa kweli aliyewafikisha hapo ambaye waanzilishi wa taifa hilo walimwamini kiasi kwamba dini (UKRISTO) lilikuwa somo la lazima ambako watu walifundishwa kuwa na tabia nzuri na uaminifu ambalo sasa limefutwa na pia wakaweka na amri kumi za MUNGU mahakamani ambazo nazo kwa sasa wameziondoa.
 
Siko pamoja nae hata kidogo..

Ila nasikitika viongozi wanapoapa na vitabu vya dini na kufanya vinginevyoo.

Kwa kutoapa na vitabu vya dini Baregu kashajiondoa kabisa katika charade hilo linalotumia vitabu vya dini kama muhuri wa wahuni, au ule mchezo wa kitoto wa kupinga urafiki halafu kesho mnapigana tena bila ya kufikiria mara mbili.
 
Hata Kikwere pia ni lugha tu unaweza ukaeleweka ukitumia kuchangia; sio hii ya wageni ambayo hata wenyewe watashindwa kuelewa unamaanisha nini hapa!

sijui watu wanahisi fakhari gani kuongea lugha za WAKOLONI! khgrrrr.
 
"I was baptized a Catholic when i was young at school..i wouldnt want to be hyprocrite as i believe God is there(is sovereign and exists), not in the house of bibles or Qurans..i ve never been doctrinaire for Christianity or any religion from abroad, i believe in a lot of things in Africa..Africans ve abondoned their indigenous spiritualism from their own 'Gods' and what they do now is nothing other than hyprocricy..

There is spiritual push from the devevoloped world but still some respect their denominations.For example, Hinduism is still playing a big role and most respected by Indians communities."

Baregu subsribes to humanity,justice,equality ,clean environment, fairness and equity,between community and conscious building.
Source:The African,Monday,April 16 2012.

Bila shaka tumepata na upande wa pili na sasa maswali yanaweza kupungua.

Nadhani wachangia wengi wenye uelewa tulichangia sawa na Mwesigwa alivyodadafua mwenyewe tena kwa kauli yake mwenyewe, kuwa Mungu si BIBLIA wala Kurani. Pia nilichangia hivyo kwenye posit ya M. Mjengwa kwenye FB.

Tatizo la wale waamini vitabu hivi 2 hushindwa kujua kuwa hivyo vitabu si mungu bali tu vinaaminiwa kuwa vimetunza maandishi ya Mungu ambayo pia yameandikwa na watu kama sisi. Baregu uko juu pengine ukoloni u dini wa wazungu na utumwa wa waarab umeuepa.
 
Huyu baregu ni lazima seme ukweli kuwa aliikana dini yake kwa sababu ya kupenda siasa za kidhalimu za kikomunisti. ukiwauliza maswali kama haya ya kwa nini hawataki kuapa kwa kutumia biblia , wao huja na majibu ya kutisha sana. lazima ujue kuwa mkristo wa kwanza hapa duniani ni myahudi. Myahudi ndiye aliyewaenezea wazungu dini ya kikristo na siyo kuwa ndiyo wao walipewa dini hiyo. Jana ndiyo ilikuwa kumbukumbu ya kuenea dini ya kikristo duniani.

Ukristo na Ukomunisti, kama imani, hazina tofauti za msingi kwa sababu mtu anaweza kujenga hoja kwamba vyote viwili vinanuia kumtawala mtu "kidhalimu" kama ulivyosema. Tofauti ni kwamba Ukomunisti utakuambia Ukomunisti ndiyo dini na Lenin ndiye "mungu", wakati Ukristo utakuambia Ukristo ndiyo dini ya mungu. Zote ni imani zinazolenga kukuambia kwamba wewe mwenyewe huwezi mpaka usaidiwe na chama au dini.

Pale Yesu alipowatokea wafuasi wake na kuwambia Peace be with with you. Halafu tomasi hakuamini mpaka amuone kwa macho yake. aliwatokea wakati tomasi yupo ndipo yesu alisema nendeni duniani kote mkaihubiri injiri,. Yeyote mtake muondolea dgambi ameondolea na yeyote mtkaye mfungia zambi amefungiwa.

Hii ni habari inayotumiwa na Wakatoliki kutawala dunia, kwa kusema kwamba papa kapewa mamlaka ya kufutia dhambi kama muwakilishi wa Kristo duniani. Ukweli ni kwamba dini imetumiwa kisiasa, biblia yenyewe kama ilivyo leo imehaririwa mara nyingi kisiasa kiasi cha kuifanya ikose authority ya authenticity. Kwa sababu kina Constantine na wapambe wake waliamua katika "The Council of Nicea" kitabu gani kinaingia katika biblia na kitabu gani ni "heretic". Na siajabu katika hivyo vitabu walivyovikubali viingine katika biblia waliingiza maneno yao.

Kwa hiyo utakachoita leo kama "udhalimu wa wakomunisti" kwa kupitia maamuzi yake ya politburo / kamati kuu ya chama cha kikomunisti kutawala fikra za watu kilifanywa katika "The First Council of Nicea" AD 325, Constantine akiwa kama Lenin wa enzi hizo na maaskofu wake wakiwa kama politburo, hakuna tofauti kati ya Ukomunisti na Ukristo as far as political intrigue and mind control is concerned. tena mwingine anaweza kusema bora ya Ukomunisti kwa sababu haudanganyi kwamba umeshushwa na mungu, wakati Ukristo ni uongo ule ule wa mind control ila unajivika uungu tu.

Baregu ni mmoja wa watu wasiojari haki za binadamu kwa sababu ya kuupenda unyama wa kikomunisti. alisoma mafundisho ya Chee ernesto Guevara yanayoshabikia kufutwa kwa dini ya kikristo duniani. Che alikuwa ni mtu hatari sana kwa kupinga christianity. Hivyo mimi sishangai kuona ana wafuasi wake mpaka leo watu kama kina kingunge na Baregu.

Sijui mengi kuhusu Baregu, lakini kuna secular humanists/ atheists wengi tu wamepinga Ukristo si kwa sababu wanatetea udhalimu, bali kwa sababu Ukristo - na hata Kristo mwenyewe- haukukemea udhalimu vilivyo.

Kwa mfano tu, soma essay ya Bertrand Russell "Why I am not A Christian".
 
Kwani ni lazima kuwa na dini? tuache utumwa wa kifikra jamani

huo ndo upuuzi kabisa na UMBUMBUMBU uliokubuhu! Hivi kweli mtu na akili zako humwamini Mungu wa kweli? Mungu yule alotuumba na Mungu yule anayetuvumilia kwa dhañbi na makosa yetu kila leo! Hii inashangaza sana kuona mtu na elimu yake kubwa lakini anakuwa kama mwendawazimu vile, how comes mwanadamu ulieumbwa na udongo leo hii usimwamini baba yako alokuumba? In Spirutual research taifa la urusi lilianguka kiutani utani koz hawakumwamini Mungu wa kweli hatimaye mahasimu wao wa magharibi waliijua siri ya mafanikio ambayo ni kumwamini Mungu wa kweli'
MTU YEYOTE YULE HATA KAMA AWE NA UMAARUFU NA ELIMU KUBWA KIASI GANI ALAFU HAMWAMINI MUMGU WA KWELI, HUYO NI MJINGA NA MPUMBAVU KABISA KWANI NI HERI UWE MASKINI NA HUJASOMA LAKINI UNAMWAMINI MUNGU"
 
he believes in one God? how about those gods he is talking about, does he also believe in them? au anataka watu wasi abandorn wapotee yeye anabelieve in 1 God!!

Du, kazi ipo kweli, naamini wewe ni ngozi nyeusi au mwafrica kwa maana kuwa umezaliwa na kukulia bara hili kama sio kuomba uraia. Nasema hivyo kwakuwa sisi tulilogwa kwakuwa tukishakuwa na imani na dini fulani basi na uwezo watu wa kufikiri upungua.
 
Mkuu mimi naona kama hukumuelewa vizuri Prof. Baregu.
Naomba soma tena kipande hapa chini ambacho mimi naona ni key.
unachomtaka kuamini, katika red, mi naona kama tayari kasema
anaamini japo bila kutamka moja kwa moja: Hebu soma hapa:

"...I believe in a lot of things in Africa..Africans...abandoned their indigenous spiritualism from their own 'Gods' and what they do now is nothing other than hypocrisy.... Source:The African,Monday,April 16 2012.

WEwe umesema hivi:
The notion that Christian GOD exist came from Europe
The notion that Islam ALLAH exist came from Middle east
The fallacy that GOD does not exist came from abroad (Europe, America etc)
So whether you believe or not believe you are still under the influence of Europe or America. Usitudaganye wewe bado ni mtumwa wa fikra za hao hao wazungu, hata hiyo statement ya kuhusu nini unaamini tushaiona kwa ''wazungu'' kibao........wasioamini. Ungesema unaamini mizimu angalau ungekuwa na hoja...
 
Mkuu mimi naona kama hukumuelewa vizuri Prof. Baregu.
Naomba soma tena kipande hapa chini ambacho mimi naona ni key.
unachomtaka kuamini, katika red, mi naona kama tayari kasema
anaamini japo bila kutamka moja kwa moja: Hebu soma hapa:

Watu wengine hata kusoma maneno wanayoyaleta wenyewe hapa JF ni kazi, usishangae mkuu.
 
Nakubaliana kabisa na wewe Shardcole. Mungu yupo, na ni Mungu mwenye nguvu. Swali: How should we believe in this God? Through churches and mosques? au?

huo ndo upuuzi kabisa na UMBUMBUMBU uliokubuhu! Hivi kweli mtu na akili zako humwamini Mungu wa kweli? Mungu yule alotuumba na Mungu yule anayetuvumilia kwa dhañbi na makosa yetu kila leo! Hii inashangaza sana kuona mtu na elimu yake kubwa lakini anakuwa kama mwendawazimu vile, how comes mwanadamu ulieumbwa na udongo leo hii usimwamini baba yako alokuumba? In Spirutual research taifa la urusi lilianguka kiutani utani koz hawakumwamini Mungu wa kweli hatimaye mahasimu wao wa magharibi waliijua siri ya mafanikio ambayo ni kumwamini Mungu wa kweli'
MTU YEYOTE YULE HATA KAMA AWE NA UMAARUFU NA ELIMU KUBWA KIASI GANI ALAFU HAMWAMINI MUMGU WA KWELI, HUYO NI MJINGA NA MPUMBAVU KABISA KWANI NI HERI UWE MASKINI NA HUJASOMA LAKINI UNAMWAMINI MUNGU"
 
Huyu dingi anashangaza sana ni wazi kwamba CHADEMA walishinda kwa sababu wana MUNGU na CCM wana FEDHA iweje tu baada ya Uchaguzi baregu anamkataa Mungu aliyeipa CDM ushindi Arumeru? Falsafa yake ya kipagani abaki nayo humo humo ila akija Arusha ambako watu wengi wanamheshimu Mungu hatapata support ya upagani wake. kam siyo mnafiki na wakutaka kumfurahisha Devil basi angekuja na kitabu cha hiyo dini yake ili tujue anachokiamini. Lazima at some point binadamu walikuwa wanaamini kitu, iwe miti, mawe n.k. kama ana ujasiri angeleta hata jiwe au kipande cha mti basi tujue anaamini nini?. kwa hili prof. anaonekana kuyumba simpi support hata kidogo na CDM katu msiendekeze hii imani ikataeni kwani ni KWA SABABU YA KUMTUMAINI MUNGU MMEFIKA HAPO MLIPOFIKA. Mkikosea kumfuatisha Baregu mtatetereka within no time. Lets keep our faith on God tuache ujinga.

Du, wewe ni mzembe wa kuelewa at!!!! Tuoneshe ni wapi prof amesema amwamini Mungu au kwakuwa kaandika Kiingereza cha k.prof? Kasema hivi Mungu hayuko kwenye biblia au kurani bali mungu yuko kokote, yaani mungu ni mungu na yeye anamwamini pia.

Sasa utwambie wapi cdm walisema wameshinda kwa Biblia au kurani. Imani yako isikufanye uwe MPUMBAVU. Mungu si kifaa kinachokumbatiwa na wakristo wala waislam, Mungu ni wa Wahindu,....... wapagani.......!
 
Back
Top Bottom