Privatize TAZARA

arigold

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
600
341
Natazama BBC documentary kuhusu Tazara na inaonekana kuwa serikali haiwezi kuendelea kundesha hii treni peke yake

Nipeni about 1 hr nitawapa download link

ni kipindi cha 1 hour nzima na mtaelewa jinsi gani hawa wazungu wanavyotujua

Hatupindui
 
Hiyo documentary iko wapi?..inaitwa nini tafadhali
 
Nakuunga mkono kuhusu haja ya kubinafsisha. Vinginevyo itabaki picha tu wakati huduma yake inatakiwa sana.
 
Kitambo Tu Walishashindwa Kuliendesha, Kama Walishindwa TRC, How TAZARA Wataweza!!??
 
Natazama BBC documentary kuhusu Tazara na inaonekana kuwa serikali haiwezi kuendelea kundesha hii treni peke yake

Nipeni about 1 hr nitawapa download link

ni kipindi cha 1 hour nzima na mtaelewa jinsi gani hawa wazungu wanavyotujua

Hatupindui
Nasubiri kwa hamu mkuu tujione tulivyo mazuzu.
 
Back
Top Bottom