Prison break vs. 24

kwa sisi wazee wa division au wanaintelijensia kama kamanda mwema 24 is the bomb!! Events occur in real time... though PB nayo inashika mbaya namna yake
 
24Hrs Mambo Yote Wakuu...Unaweza Jihisi....umeshakuwa mjasiri wa ajabu...katika uwanja wa noma....jamaa muandishi wa 24 yuko juu...Ingawa nasikia Script writter wa 24 na PB ni mmoja.
 
  • Ebu tuangalie in terms of ranking, awards na viewership.

24: Imeanza 2001 - Imeisha 2010
Awards
20 Emmy Awards
2003 Best Drama Series Golden Globe
2003, 2005, 2007 Outstanding Performance (Drama Series) SAG
2008, 2010 Outstanding Performance (Stunt) SAG
Average ya watazamaji
Season Idadi (milioni)

  • 1. 8.60
  • 2. 11.73

  • 3. 10.30
  • 4. 11.90
  • 5. 13.78
  • 6. 13.00
  • 7. 12.62
  • 8. 9.31
  • Redemption 12.12

Prison Break Imeanza 2005 - Imeisha 2009
Awards
2005 People's Choice Awards.

Average ya watazamaji
Season Idadi (milioni)

  • 1. 9.2

  • 2. 9.3
  • 3. 8.2
  • 4. 6.1
 
ukifika Gereza la Sona unakutana na mtu anaitwa Lechero.
Kisha kabla hujakaa sawa kuna mbabe anakuja kukutupia mguu wa kuku mbele yako.
Unajuwa inamaanisha nini hapo?
Ahaaa ahaaaa ahaaa mzee hapo ukiishatupiwa mguu wa kuku ujue ni DO or DIE.
 
prison nyoko...
Prison iko juu vibaya mno.
Kwanza kuna vichwa ambavyo kila kukicha ulitamani kujua kitakachoendelea.

haimtegemei sana Michael coz kuna watu kama Lincolin, Sucre, Mahone, na Theodoro Bagwell pia nao walikuwa ni muhimu sana ktk series hii.

All in all kama kuna mtu atabisha basi ntampeleka room namba 88 kwa mr Avocado kisha pazia linafungwa...
Mkuu umemsahau GRECHEN huyu mwanamke alikuwa ni noma
 
Prison Break ilikuwa nzuri season 1 na 3, season 2 ilikuwa so boring nikaishia katikati, 4 ilikuwa repetitive. It lacked the good acting, twisting and explosive action Kama ya kwenye 24.

Nimeangalia series zote kuanzia mwanzo mpaka zinaisha.
 
Prison break ni bomba ila asikudanganye mtu bwana 24 ni bomba zaidi.
 
ubaya wa hizi series kama unaproject unafanya usitazame kama ni shule utafall hata kama unaowa unaweza sahau tarehe za vikao vyako ni balaa unatakiwa uwe free na unaweza kesha mpaka asubuhii ndio utafaidi
 
the following takes place between 8pm and 9pm real time...... 24 kwere!
 
24 ni balaa jack bauer ,Tony Almeida,chloe,charles logan,palmer mdogo yaani acha tu.hii series inakufanya usogeze kikombe cha kahawa mdomoni lakini unashindwa kunywa.
 
Nimeangalia zote mwanzo mwisho, 24 mwisho wa mtatizo, unaweza ilaani kazi za kulinda nchi. Unajitoa mpaka tone la mwisho halafu no one recognises you.pili unaweza usimwamini mtu yoyote yule maishani. Kiukweli nishatoboa na 24 kama mara 2 hv. Nashtuka jua linachomoza dirishani!

Prison break inafuata nyuma, nikali ila mh sinaimani nayo kiivyo yani mengi ya matukio ni vigumu kuamini. Yaani huyo michael s. Utadhani ndo geneous waa dunia.anafikiria mpaka imposibles. But i enjoyed them. I wsh the person started 'TheTtraveler ' could finish it ni sooooooo.
 
Eti wadau wa series,nimekua nikibishana na wenzangu kuhusu hili jambo. Je,kati ya 24 na prison break ipi ni series bomba? Kati ya michael scofield na jack bauer nan balaa?

PREASON BREAK, 24 na LOST Kusema ukweli nimezipenda zote ni entertainment nzuri sana! Ombi langu wapenzi wa series, atakayeona au anayejua series nyingine nzuri yenye hadhi inayofanana na hizi ANIJUZE, kwani nimeboreka baada ya kumaliza kuangalia hizo, na Big Brother bado iko mbali. Ukishazoea vitu hivi unakuwa addict.
 
Zikiwa kama series zote mbili "PB na 24" zina parts ambazo ni beyond imagination ni impossible kwa kweli when it comes to reality..

Binafsi nimeikubali zaidi PB kwa-imechezwa kwenye matukio ya kawaida ya maisha na siyo "ukachero" kama 24,ila 24 naikubali pia,na zote nimekesha nazo kwa 1st series..
 
24 nimeiangalia mwanzo mwisho every goddamned detail.
Prison break nimeichek mwanzo mwisho every godamned detail.
24 ni bomba zaidi.
PB ni kali zaidi.
 
Kuna series ambayo kama sikosei iliishia season 1, inaitwa The Traveller. Hii ni caliber ya PB au 24hrs.
 
Wadau kuna kitu kingine kinaitwa "Breaking Bad" ni kikali pia ndio gumzo, inaenda season ya nne, this July 2011.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom