Pressure ya Banana na Hafsa Kazinja...

minapenda FORCE ...pressure ahh siiitak kabisa...labda kdg napenda AREA then ntakuwa natafuta force due to pressure n area ili niwe ktk situation salama katika kila jambo!!!
 
ulipotelea wapi na jicho lako la kukonyeza hilo...........
minapenda FORCE ...pressure ahh siiitak kabisa...labda kdg napenda AREA then ntakuwa natafuta force due to pressure n area ili niwe ktk situation salama katika kila jambo!!!
 
minapenda FORCE ...pressure ahh siiitak kabisa...labda kdg napenda AREA then ntakuwa natafuta force due to pressure n area ili niwe ktk situation salama katika kila jambo!!!
Hivi FORCE+PRESSURE unapata nini? Hivi Newton 3rd Law of Motion inasemaje tena Rose??
 
The Finest!! kwann unaogopa pressure??

mimi naona kwa maisha ya mtanzania, uchumi, siasa na mapenzi!! lazima tu kuna mahali itakupata kati ya hivi!!
 
Susy acha tu ungejua pressure ninayoizungumzia hapa natamani laiti ungekuwa unajua ninachokifikiria kichwani mwangu
 
Pressure siku hizi hakuna kikombe kimoja tu cha babu kila kitu muswano. ila huu wimbo ulitushika vibaya mpaka leo bado naupenda sana
 
The Finest! Biblia inasema hivi "nitwikeni mimi mizigo yenu yote na fadhaa zenu kwa maana nira yangu ni nyepesi" tena mithali 3:5 inasema hivi "mtumaini Bwana kwa moyo wako wote,wala usizitegemee akili zako mwenyewe, katika njia zako zote mkiri yeye naye atayanyoosha mapito yako"

peke yako unaweza ukachanganyikiwa!!
 
Gaga naona umeishaenda kwa babu umepiga kikombe kimoja tayari
 
minapenda FORCE ...pressure ahh siiitak kabisa...labda kdg napenda AREA then ntakuwa natafuta force due to pressure n area ili niwe ktk situation salama katika kila jambo!!!

Hahaha lol
Vipi mwanaume mwenzangu
Zakupotea ?
Pressure na force zili
combine together nini? W
 
The Finest! Biblia inasema hivi "nitwikeni mimi mizigo yenu yote na fadhaa zenu kwa maana nira yangu ni nyepesi" tena mithali 3:5 inasema hivi "mtumaini Bwana kwa moyo wako wote,wala usizitegemee akili zako mwenyewe, katika njia zako zote mkiri yeye naye atayanyoosha mapito yako"

peke yako unaweza ukachanganyikiwa!!

Asante Susy kwa chakula kitamu asubuhi hii.
 
minapenda FORCE ...pressure ahh siiitak kabisa...labda kdg napenda AREA then ntakuwa natafuta force due to pressure n area ili niwe ktk situation salama katika kila jambo!!!

Which force mamii??
 
Back
Top Bottom