Sidhani kama wabunge wengi wa ccm wapo bungeni kwa masilahi wa watanzania.
Kikubwa hapa ccm wanakusanya pesa kuandaa uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani. Haiingii akilini mwa mtanzania mwenye busara kwamba huu ni wakati wa kuanzisha chombo cha ziada cha kusimamia miradi tena kwa kiasi kikubwa cha pesa kama hiki wakati vyombo vya kusimamia na kufuatilia kila mradi vipo tena vipo kisheria.
Pesa hii ingeelekezwa kwenye miradi mingi yenye manufaa kwa watanzania wanaoendelea kuteseka kwa adha nyingi kama ukosefu wa maji.