Wewe unayemsifia kagame upo kwenye taifa hili au umepost kutoka rwanda siamini kama kunaweza kukawa na mtanzania wa ajabu kama wewe,kumbe siku moja akija mtu kwenu akamtukana baba yako na kumpiga wewe utafurahi sana kweli kunawatu wanastahili kunywa hata ----- ili angalau waweze kubadilika.
Mmtetea JeyK ndio uzalendo? Kagame ni smart sana, kamattack JK kama JK na wala siyo Nchi, hajasema Tanzania,
Siwezi kukmtetea kwa udhaifu wake wa diplomasia,
Ok Mpaka sasa utawala wa Jk umeuwa watu wangapi bila hati? kidogo tu, matokeo ya kidato cha nne, wanafunzi4 walikufa, Mtwara12 wamekufa, huyo unaemsifia anachekacheka tu, rushwa kila mahali,
Huwezi kulinganisha utawala wa JK na Kagame ni tofauti sana kama mbingu na ardhi, pole sana kuwa na mapenzi ya kijinga na watawala dhaifu...
Am Tanzanian I remain.