President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

Wewe unayemsifia kagame upo kwenye taifa hili au umepost kutoka rwanda siamini kama kunaweza kukawa na mtanzania wa ajabu kama wewe,kumbe siku moja akija mtu kwenu akamtukana baba yako na kumpiga wewe utafurahi sana kweli kunawatu wanastahili kunywa hata ----- ili angalau waweze kubadilika.

Mmtetea JeyK ndio uzalendo? Kagame ni smart sana, kamattack JK kama JK na wala siyo Nchi, hajasema Tanzania,

Siwezi kukmtetea kwa udhaifu wake wa diplomasia,

Ok Mpaka sasa utawala wa Jk umeuwa watu wangapi bila hati? kidogo tu, matokeo ya kidato cha nne, wanafunzi4 walikufa, Mtwara12 wamekufa, huyo unaemsifia anachekacheka tu, rushwa kila mahali,

Huwezi kulinganisha utawala wa JK na Kagame ni tofauti sana kama mbingu na ardhi, pole sana kuwa na mapenzi ya kijinga na watawala dhaifu...

Am Tanzanian I remain.
 
Rwanda hata haifikii eneo la Mkoa wa Morogoro! Hawatutishi!

Isitoshe hawana bandari ni lazima tu watutegemee Tz au Kenya!

Kuwabana ni rahisi tu sana!

Ni nchi maskini sana pia kwa takwimu zilizokuwepo!

Bandari kitu gani? Ukubwa wa Eneo? Kila mtoto wa primary anatumia Laptop, sia hata kitabu kila mwanafunzi haiwezekani, Poor ledership
 
They have all spoken their minds.., cha maana ni kuangalia effect ya walichokisema..

Kwa J.K. kusema kwamba suala litamalizwa kwa maongezi inaweza kuashiria kwamba wengine hawakutaka wala kujaribu kuongea yaani wanatumia mabavu bila diplomasia (which might mean the comments were born out of ignorance or just talking the talk to win a political point..)

Comments za Kagame will surely not make matters betters between this allies but if his point is to tell his people uzi ni ule ule .., then the comments might have desired effect.., All in all this people should have finished their differences behind closed doors before coming out with a single statement if they really want to finish this debacle
 
Hiv huyu dogo jaur hii anaitoa wapi kumtusi rais wangu anyway ngoja aje Obama tuyajenge
 
Its well known that Kagame was part of the gangsters who shot Habyarimana's plane, leading to the mass killings in Rwanda. Some investigative reports show that Kagame, being supported by Uganda which offered the missiles that were used for shooting down the Habyarimana's plane, went into a hide immediately after the bombing; where, with the help of Museveni he organized an armed force that went back to Rwanda as a mediating army being lead by the Ugandan brigade.

Kagame's grief over FDLR, is more on the fear of the revenge. He understand very well that, after the Tutsi under Kagame, had killed Habyarimana, the Hutu's revenge was to kill the Tutsi (cockroaches) wherever they were. It is said that when RPF (Kagame's party) conquered Rwanda by the end of 1994 with the help of Uganda, the majority of the Hutu (over 2000000) ran away from the country. Majority of them going to Zaire, where they formed an armed force to fight back the RPF. So in-fact there is no history which shows that, the FDLRs were the solely organizers of the mass killings as claimed by Kagame and his followers, but they are the most unwanted because they are fighting against the Tutsi party, Kagame's party (the RPF). Before Kagame can stand up and point fingers to Kikwete he should rethink of his acts since the first attack to Rwanda in 1990 and later on in 1994 when they killed Habyarimana? Couldn't it be the killings of Habyarimana there wasn't going to be a genocide in Rwanda because Habyarimana had already accepted and signed for a coalition government.

By the way who are all these people who are making so much noise over Kikwete's advice. Its no wonder that they are all Tutsi, its no wonder that their grief over Hutu is ongoing. Why are they so alarmed by Kikwete's comment; a very normal comment, which one can decide to accept or decline? I believe there is something underneath that is perpetuating these noises among the Rwandans - tribalism, is still on hold - I guess. Their problem is not what Kikwete said, but is on the consequence of the talk with the FDLRs.

I dont know much on rwanda-kagame history,can i get a link or somethin to pass through?pls
 
Hii ni dharau kubwa kwa kiongozi wa nchi, nchi inayoheshimika Afrika na duniani, tena nchi iliyosaidia sana kuleta amani Rwanda, Burundi na kwingineko Afrka! Tanzania ni muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa Rwanda....kwa nini tusivunje uhusiano wa kibalozi na kufunga mipaka ili iwe fundisho?

Fukuza raia wote wa Rwanda....tuone jeuri ya Kagame
 
Ukimya wa Kagame kutokurupuka kutoa kauli baada ya ile ya Kikwete, nilitarajia angekuja na jibu ambalo wengi hawakulitarajia litoke kwake.
Badala yake he proved me wrong, amekuja na tamko ambalo lilitarajiwa na wengi.
Ila ule ni ujumbe kutoka kwa nchi ambayo imekuwa ikibeba mzigo wa wakimbizi toka nchini kwake, na pia inayoendelea kubeba mzigo wa uhalifu wa mazingira, na uhalifu kwa watu toka ng'ambo ile. Kagame should read between the lines na kuelewa kuwa tunamuambia kuwa tumechoka na tuna mambo yetu mengi ya kufanya, na tuna uwezo wa kusaidia vinginevyo.
Tutadhibiti hali ya machafuko Congo, tutawafukuza waasi na kuwaandama kokote watakapo kwenda ku-retreat na huko atadhihirika aliye nyuma yao, na yeye tutamfurumusha na kuweka mtu wetu pale.
Ushauri aliopewa ni kama angalizo kwa yanayotarajia kumpata muda si mrefu ujao, hatupendi kuona akiishia nyuma ya nondo.
 
Mkuu, kwa sababu Rwanda ndiko kulitokea mauaji makubwa zaidi ya halaiki kuliko Uganda na Kongo DRC!! Open your eyes now!

Kitu kingine Kikwette angekuwa na busara...anageongea na Kagame kwanza angejaribu kumshawishi wakiwa wawili tu aone msimamo wake na yeye amwambie anavyoona!...
Sasa hii kuropoka ndio imemfanya atukanwe na raisi mwenzie kwa aibu hivi..
Kwamba kwa sababu Rwanda ndiko kulitokea mauaji zaidi sioni kama ina mantiki yoyote ya kufikia kumfanya Kagame akose uvumilivu kiasi hiki. Naamini Kagame ana lake jambo, na kwa hakika Kikwete anayajua mengi ya Kagame, ndiyo maana Kagame amepata mshituko sana kutokana na hoja ya Kikwete. Inawezekana anamuona Kikwete kama threat nyingine kwenye utawala wake wa kimabavu na unywaji damu. Huyu Kagame ananyonga watu kila kunapokucha ndani na nje ya Rwanda, huku watu wakiwa silenced na kufundishwa kumsifia tu hata katika mambo ya hovyo. Watu wanayajua mengi anayoyafanya Kagame. Na hivi sasa Kagame kapenyeza intelligensia yake kila kona ya Africa kwa kisingizio cha wakimbizi, halafu ndiyo wanajihusisha na uporaji wa mali na mauaji ya yeyote wanayemsuspect kwamba ana taarifa za msingi za Kagame. hivi ulishawahi kujiuliza ni kwanini Kagame aliwaua mageneral wote alioshirikiana katika kutwaa madaraka? Kwanini anamtafuta yule General wa South Africa na kufanya attempt kibao za kumuua? Kwanini alimuua Professor Jwani wa Tanzania? Huyu jamaa hahitaji kuonewa huruma kwa lolote lile. Kagame is just a blood eater.
 
Enzi za Mwalimu, Tanzania tulikuwa na msimamo mkali na ulioeleweka na kuheshimika, hata kama wengine waliupinga. ile "clarity" ya siasa ya mambo ya nje naamini iliwezekana hasa kutokana na "clarity" ya siasa ya ndani. Dira. Visheni. sasa hivi sioni ile "clarity" huku ndani, na nikiangalia huko nje, strong points zetu ni zipi? strategic positions? sana sana tunajivunia tulivyoweka wanja na kuvaa dhahabu ili tupendeze tutongozwe tuolewe na yoyote mwenye lugha nzuri. Ndio maana tunajivunia tu marais wa mataifa makubwa yanayotifuana katika nyanja za uchumi, sayansi na tekinolojia, kuja kututembelea wakifuatana. wakati watu wanachambua papers zilizokuwa published kwenye international journals, wakilinganisha China na Marekani, na kuangalia mwelekeo wa mpambano wa mataifa haya mawili, sisi tunafurahia kwamba "wanaume" hawa wanaonesha kutugombania na tunajifaragua huku tunachora chini kwa vidole, kichwa pembeni...Kama Obama anatuletea Keki moja, basi ni kwa gharama ya keki milioni moja!

Katika mazingira kama haya, siwezi kuiona JWTZ ambayo ilikuwa na mori kubwa kama enzi zile. Jeshi la wananchi. Jeshi la ukombozi. highly motivated internally and so externally. Angalia kwa makini majeshi yetu yote ya ulinzi na usalama. kuna mabadiliko makubwa sana. for the worst.

Sitakuwa na tatizo na kauli ya JK, kama ni sehemu ya mkakati makini uliojengwa kwenye hoja nzito, na ambao una mwelekeo. tatizo langu ni kwamba JK simwoni akijishughulisha kuweka ile "internal clarity". kama angekuwa serious na hiyo, angalau angetuelekeza kwenye mwafaka wa mambo ya msingi ya mwelekeo wetu, kabla hatujaanza kuandaa katiba mpya. Tungejadili kwanza dira ya taifa. tunakwenda wapi. tunakwendaje. Katiba ndio itupeleke huko. nakubaliana na wale wanaosema kwamba Tume ya Katiba, kwa mfano, haina mamlaka ya kutuambia tuwe na muungano wa aina gani. tunatakiwa kwanza kukubaliana kama tunataka muungano, na uwe wa aina gani, kisha Tume ndio ituchanganulie. Kwa hali ilivyo sasa hivi, ni kama Tume imeshatuamulia mambo mengi tu ambayo hatuna nafasi ya kuweka vipaumbele ambavyo vingetuletea katiba tofauti. hivyo pamoja na "nia nzuri" ya JK, na kitendo chake cha kihistoria kuwa Rais aliyethubutu kuanzisha mchakato huu wa katiba mpya, bado tunaweza kama taifa kuingia katika mwelekeo tusioutazamia kabisa. Nimesema yote haya kujaribu kuonesha kwamba "internal clarity and direction" ni muhimu sana katika kuweka "position" ya nchi yetu katika nyanja za kimataifa. ni hapo tu ndio tunaweza kweli kujenga taifa imara ambalo litaheshimika na kuwa lenye kauli thabiti kimataifa.
 
Kesho Tunaanza Opresheni hamisha watutsi...
Hawa jamaa wana ndoto za kutaka kutawala Afrika Mashariki....
Na watatutawala kikwelikweli kama tunataka kuendelea na style ya utawala tuliyo nayo ya kutojua wakati gani tuwe serious na wakati gani tuchekeane. Wametoka vitani na wako vitani lakini uchumi wao bomba. Wafanyakazi wao wanatunzwa vizuri na wanamjali mtu kulingana na nafasi yake kiutumishi na inapofanyika kuwajibika wanawajibika kwelikweli. Waulize wabongo kadhaa wanaofanya kazi kule. Sisi tunafanya mizaha hata kwenye determinants za uhai wa wananchi wetu na kuthamini 10% za vibaka kutoka nje ambao tunawnyenyekea kama miungu kwa jina la wawekezaji, tuko radhi kuua raia zetu kwenye ardhi zao ili apewe huyo tapeli wa kigeni. Laana tunaitaka watanzania. Alishasema Kagame wakati fulani, "Huwezi kuongoza nchi kwa kuchekacheka" Sasa ameamua kuanika yote peupe. Kagame anatupenda sana. Mpende anayekuambia ukweli. Wabongo tumezoea kusifiana hata katika mambo ya uozo mtupu. Ona sasa Kodi za wananchi zinatumika kuwalipa watu wanaochakachua matokeo ya vijana wetu katika elimu, leo huwezi kujua matokeo rasmi ni yepi maana iliyo rasmi leo kesho yawezageuka kuwa sio rasmi. Kwishney TZ. Anahitajika kiongozi mwenye roho kama ya Hitla na Kagame ili mambo yaende hapa au sivyo hadi mwisho wa dunia tulie tu.
 
Kikwete alisema nini Addis Ababa? Tuanzie hapo. Hii ndio kauli aliyosema Kikwete.

Excellencies, Heads of States and Government;
Your Excellency Ban Ki-moon, UN Secretary General;
Your Excellency Dr. Nkosazana Dlamini Zuma, Chairperson of the African Union Commission;
Executive Secretaries of SADC and ICGLR;
Ladies and Gentlemen:

I thank you Mr. Secretary General and Madam Chairperson for convening this first meeting of the Regional Oversight Mechanism of the Peace, Security and Cooperation Framework for the DRC and Region we signed on February 24th, 2013. Tanzania welcomes your joint efforts which will go a long way towards ensuring that the objectives of the Framework are implemented to the letter and spirit.

I commend you Secretary General, Ban Ki-moon for appointing Mrs. Mary Robinson to be your Special Envoy for the Great Lakes Region. This is a clear testimony of the seriousness that you and the UN attach to attainment of peace and stability in theDRC and the Great Lakes Region. I have no doubt in my mind that she will add value to the efforts being deployed to find durable peace in the Democratic Republic of the Congo. I pray that she will use her long experience and renowned diplomatic skills to enable the people of the DRC and the Great Lakes Region realise their long standing dream of a peaceful and stable country and the region. I assure Madam Robinson my personal commitment as well as my Government's readiness to work with her in fulfilling her mandate.

Excellencies;
We all know that the Framework we signed in February this year (2013) provides another important milestone in the search for durable peace in the DRC and her neighbours and the region at large. The launching of the Regional Oversight Mechanism, the establishment of the Technical Support Committee and the creation by the UNSC of the Force Intervention Brigade under MONUSCO are important milestones in these endeavours. I am confident, all these measures will go a long way towards bringing about lasting peace in Eastern DRC. But, the success of these efforts will depend on the genuine commitment and readiness of the parties to see peace reign if they have at heart the belief and desire for peaceful solutions to this long standing conflict which has infected great misery and suffering to millions of innocent people. Unfortunately, it is the women, children and innocent civilians who suffer the most.

Excellencies;
It is evident that the barrel of the gun cannot be the ultimate answer as testified by the recurrence of fighting. We must deploy serious efforts towards bringing the parties to the negotiating table. Only the negotiating table will deliver on the demands of all the conflicting parties. I am hoping that thisMechanism will deploy serious efforts towards initiating comprehensive negotiations. First, let the Regional Oversight Mechanism be a catalyst for completion of the ongoing peace talks in Kampala between the M23 and the government of the DRC. If these talks are concluded successfully and implemented to the letter and spirit, the first visible manifestation of the conflict will have laid to rest. But, there are other players, the FDLR and the ADF who should also be engaged and find a peaceful way of making them stop their negative activities against their countries of origin.

I am of the view that the enlargement of MONUSCO and the deployment of Intervention Brigade to play a dissuading role will not end the war. Ultimately, and comprehensive and lasting peace will be realised at the negotiating table. Let us give serious attention to peace talks. Let the Mechanism support the process in Kampala. Time has come to reach out to FDLR, ADF and other negative forces with the view to ending the circle of violence.

I also welcome the establishment of a Technical Support Committee to develop benchmarks and ensure day – to – day monitoring and reporting on the implementation of the Framework. The activities of these processes should be well coordinated to create a synergy and energy that will push the peace agenda of the region to fruition.

Excellencies;
Once again, I commend the UN Secretary General and the AU Chairperson for supporting the regional Oversight Mechanism and the Technical Support Committee to be established. I sincerely hope that these two structures will be fully supported by the region and international stakeholders. I am confident that through our commitment and support the pursuit of peace negotiations in the DRC, her neighbours and the region will attain the much sought and elusive commodity: namely, peace on its hands. It can be done. Let us play our part.

Thank you for your attention.
 
Anae bisha na kuleta kejeli juu ya kauli ya kikwete ajiulize anafaidika na nini kwa wakongo kuuwawa na askri wa kagame? Lakhni mwisho wa siku kagame atambue kuwa sisi ni taifa kubwa tunaweza hata yeye kumwondoa madarakani na kumweka mtu wetu kama tulivyo fanya uganda kongo na burundi

Mkuu napenda kujua taifa letu lina ukubwa gani? na unamaanisha nini unaposema sisi ni taifa kubwa?
 
Kwa nini hakusema kwa Kiswahili?
 
"Time has come to reach out to FDLR, ADF and other negative forces with the view to ending the circle of violence". Nikisoma hii statement ya Mh Kikwete nachoka reaction za Wanyarwanda zinatoka wapi?

Kwamba kwa sababu Rwanda ndiko kulitokea mauaji zaidi sioni kama ina mantiki yoyote ya kufikia kumfanya Kagame akose uvumilivu kiasi hiki. Naamini Kagame ana lake jambo, na kwa hakika Kikwete anayajua mengi ya Kagame, ndiyo maana Kagame amepata mshituko sana kutokana na hoja ya Kikwete. Inawezekana anamuona Kikwete kama threat nyingine kwenye utawala wake wa kimabavu na unywaji damu. Huyu Kagame ananyonga watu kila kunapokucha ndani na nje ya Rwanda, huku watu wakiwa silenced na kufundishwa kumsifia tu hata katika mambo ya hovyo. Watu wanayajua mengi anayoyafanya Kagame. Na hivi sasa Kagame kapenyeza intelligensia yake kila kona ya Africa kwa kisingizio cha wakimbizi, halafu ndiyo wanajihusisha na uporaji wa mali na mauaji ya yeyote wanayemsuspect kwamba ana taarifa za msingi za Kagame. hivi ulishawahi kujiuliza ni kwanini Kagame aliwaua mageneral wote alioshirikiana katika kutwaa madaraka? Kwanini anamtafuta yule General wa South Africa na kufanya attempt kibao za kumuua? Kwanini alimuua Professor Jwani wa Tanzania? Huyu jamaa hahitaji kuonewa huruma kwa lolote lile. Kagame is just a blood eater.

Ndugu yangu mimi niko huru simtetei JK wala Kagame..! Hawa ni watu wazima tena viongozi wakuu!
Kikwete kakosea mambo makubwa kama haya alitakiwa ayaongee pembeni na Kagame kwanza badala ya kukurupuka! Mbona mwalimu alikuwa anawaita kina Buyoya kwanza!? Hivi yeye Kagame angesema amrudishie ushindi wake Dr Slaa inaosemeka JK alimhujumu JK angesemaje?

Kama kujuana nadhani wanajuana sana na ninaamini Kagame anamjua JK zaidi...kwasababu viongozi wetu wengi tu wabunge na madiwani na maafisa wengine wameisha enda Rwanda mara nyingi kwa kile wanachodai eti kwenda kujifunza namna Rwanda ilivyofanya hadi ikapata maendeleo!! SUMATRA walinda kule wakaa sana tena kifisadi eti wanajifunza jinsi ya kuiga utaratibu mzuri wa kuendesha bodaboda!!! Kagame tena kwa kuwatia aibu baadhi ya wabunge alikataa kuonana nao akasema yeye kila kitu amechukua Tannzania sisi tunahangaika nini?

Kama ni damu, jiulize JK alishasema pole yeyote kwa familia ya Mwangosi? kwanini kampandisha cheo alie muua mwangosi! Waliomtesa Dr Ulimboka JK hawajui? walio mfanya vibaya Kibanda JK kweli hawafahamu?? mbona mtoto wake amehisishwa na watekaji hao nahajakanusha??
Yaani maovu ya kagame yatuume kuliko ya huyu wa kwetu?

Sawa JK ni raisi wetu, ila kachemka!!
 
Back
Top Bottom