President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

Kaka don't think Kagame is stupid during 1994 genocide Tanzania being the neighbors of Rwanda what did we do to arrest the situation? We used to hear a lot about Interahamwe , where have they gone? You have to understand that it has taken quite some time before President Kagame has embarked on the same! Tanzania should find means to encourage her people to seek employment in Rwanda where the economy is good and there is reliable employments and in that regard we would be tackling unemployment issue rather than engaging in issues which would send us into war!! That Tanzania can put in power anyone in the region is rubbish and stupid speculations! May be you are still young you do not know the history of this country...in short the war between Uganda and Tanzania has paralyzed us economically to date! We used to hear "Miezi 18 ya kujifunga Mkanda"! Hitherto, the country is suffering post war spilling over effects!! Nadhani umewaona two super powers US & China they are geared towards economic growth and development of their people! Kwa nchi kama Tanzania lazima tujijue tunatakiwa kujijenga kiuchumi kwa kutafuta opportunities popote zilipo kama Rwanda South Sudan badala ya kuwaza kupigana, It is non sense na haitusadii sisi wala vizazi vijavyo...Je, umeshawahi kusikia Marekani inataka kupigana na Canada au Mexico? Think twice!!

Mengine umeongea ukweli mengine umeongea upumbavu wa ushabiki wa kitusi.
 
Hivi yeye alivyosema kuwa hatujui kuendesha bandari mbona Kikwete hakumkashifu? Au yeye alidhani ana akili sana kwa hiyo alivyoongea kuwa watanzania hatujui kumanage mambo yetu, tukamsifu akaona sifa. Ukweli ni kwamba watanzania tunaangalia ushauri mzuri na kuufanyia kazi. Vile vile tunatoa ushauri mzuri kwa watu wengine kama yeye. Sisi hatumjibu kwa kashfa kwamba atuache na maisha yetu, bali tulimsikiliza na vilivyo vya maana vinafanyiwa kazi. Yeye kumtukana Rais wetu kwa kumpa ushauri maana yake nini? Kwani anganyamaza na kuendelea mbele angepoteza nini? Lakini kitu kimoja Kagame anachosahau kuwa hii ni Tanzania, ambayo pamoja na CCM kuwa wababe wananchi wana uhuru wa kuongea na kufurahia uhuru wa Demokrasia na hakuna ubaguzi wa kikabila. Hivyo akianza kuichimbachimba Tanzania atapata taabu sana. Kwa hapo wengi wetu tunamsapoti Rais wetu hivyo amuheshimu kama vile ambavyo angependa na yeye aheshimike huo ndiyo ustaarabu kwa mtu mwenye nafasi kubwa kama yake.
 
Wewe ni muongo M7 hajanunua F-16 za kimarekani ila za Urusi aina ya Suckoi na sina uhakika kama anazo tayari wenye data za ukweli watatuambia. Bajeti ya jeshi unaijua kumbe acheni kudanganya watu hapa kwenye jukwaa! so jeshi letu limekua kama la Congo siyo? watu mnafani za kutunga uongo kupindukia,fanya tafiti za kutosha kabla hujakulupuka na data za kusikia vijiweni.

Sasa mkuu unanilaumu mimi badala ya kujilaumu wewe mwenyewe kwa UVIVU wako wa kusoma. Bajeti na uwezo wa kijeshi wa nchi sio siri siku hizi. Just do your home work, hata kama unaipenda nchi yako kwa hali na mali haibadili ukweli kuwa haijaboresha jeshi lake kwa miaka mingi ukilinganisha na majirani, kitu ambacho kinatusababishia dharau toka kwa vi_nchi vidogo kama Rwanda kudhani vinaweza kujipima na kusema chochote kwa rais wetu Dr Kikwete
 
Kikwete alitoa ushauri kwa nchi za maziwa makuu, iweje kagame ajirukie na kuanza kubwabwa huu utumbo??? Anahusika na ukandamizaji wa demokrasia na kuendesha umwagaji damu

Marais wa Kiafrika, hususan wenye kutokea majeshini wana mengi ya kujifunza . Mojawapo likiwa kwamba rais anaweza kuzungumza kwa ari na munkari, na kujenga ushawishi bila kuonekana mtu unpresidential anayeweka ubabe mbele.

Kagame kwa kukosa kiasi hata kwenye kauli tu amejidhihirisha kukosa umakini.

Exactitude na specificity kwetu Afrika bafo ni tabu sana.

Kila kitu ni common denominator politics for mass consumption.
 
ukitaka kutoa ushauri kwa mtu mwenye mamlaka yake ni bora ukatafuta nafasi uongee naye mkiwa wawili kwenda kusema kwenye majukwaa ni kufanya uchochezi tu. Kwanini asingemtafuta wakapeana ushauri kwanza.

Yeye Kagame kashindwa nini kumpiga simu Kikwete na kuongea naye pembeni badala ya yeye kufanya uchochezi pia. Two wrongs cannot make it right Obadha
 
Unajua hakuna jambo ambalo lilinipa wakati mgumu kama ule mchakato wa kasi wa kuziingiza nchi Rwanda na Burundi katika jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Mchakato ule ulipoanza nilijiuliza busara za viongozi wa EAC ziko wapi. Kwani nchi hizi zilikuwa hazija ji commit kusaka amani za kudumu katika nyumba (nchi) zao. Na moja ya 'spirit' ya EAC ni kuwa nchi taifa mwanachama lazima nchi iwe na uvumilivu wa kisiasa na ustawi wa amani katika nchi husika. Niliona viongozi wa EAC wamekuwa vipofu kwa kutoona ajenda chafu ya Rwanda iliyokuwa nyuma ya pazia. Mwanzoni nilihisi Rwanda ilikuwa haina pa kushikia ndio maana ilijitahidi sana iingie kwenye jumuiya ili ipate pa kuzuga. Hii ingewafanya waepuke kipigo cha mchangio iwapo ingekuwa nje iwapo ingeanzanza kucheza faulo kule Congo DRC.

Lakini baada baada ya kupewa kadi ya Uanachama tu tulishuhudia ngozi halisi ya Rwanda pale ilipoanza haraka haraka kuanza kudai kwa nguvu zote ipewe zamu ya uongozi wa Ukatibu Mkuu wa EAC. Hapo nikajua sasa mgeni (mkaribishwaji) ameshakuwa mwenye nyumba (typical Rwandese attitudes). Nikaona sasa Rwanda imepata pa kuegemea kwani hata ikifanya ukorofi inajua iko kwenye mwamvuli wa jumuiya. Hivyo hakuna tishio la kunyooshwa kwa kundi jingine lolote la umoja wa nchi majirani. Na kweli imekuwa hivyo kwa kipindi chote sasa.

Mwisho, nafarijika sasa kuona walau safari hii Rais Kikwete na Serikali yake amepata ujasiri wa kuthubutu kutoa kauli kwa kuliita shpe ni shepe na koleo ni koleo japokuwa kwa kipindi kirefu Rais amekuwa mtazamaji wa uchafu wa Rwanda. Nilikuwa nikijiuliza siku zote nini maana ya ububu na ukipofu wa Kikwete juu ya Kageme na Unyama wake kule DRC. Lakini bila shaka yote yanatokea sasa kwa sababu 'It's all about the time"

Binafsi si mpenzi wa hivyoooo wa siasa za Kikwete. Lakini kwa hili la ushauri wake kwa Kagame (siasa za ushabiki wa vyama naziweka pembeni) na natangaza kuwa niko bega kwa bega na Rais wangiu 150%. Hakuna cha kumuonea haya Museveni wala Kagame. Ikibidi kila mtu kivyake vyake lakini lazima Tanzania lisiwe taifa lakufanywa 'babu jinga kubwa'. "We must have to take the charge."
Mkuu uko nami katika hili kuna watu wengine wanaanzisha ujing halafu wanatafuta pa kujifichia kagame ni dikteta halfu ujinga huu wa kuwanyanyasa warwanda na kuwafunga wanasiasa wanaompika ili kufuta upinzani rwanda hii haikubaliki na ni ushenzi yeye ndiye muuaji mkubwa na mnyanyasaji wa watu then aanze kujipamba.
 
Msimamo na kauli ya Rais Kikwete ni hoja ya kuungwa mkono.Hakuna ku-apologize!

Anadhani Tanzania itaburuzwa kama anavyowaburuza wananchi wake .Amepika mashtaka ya kisiasa dhidi ya Victoria Ingabire aliyekua mpinzani wake kisiasa na sasa amefungwa jela,Jenerali Kayumba Nyamwasa ali-survive asssassination attempt kule South Africa kwa sababu tu jamaa anamuhofia kuwa anajua siri zake na jinsi alivyohusika kwenye genocide maana alikua mkuu wa Usalama baada ya RPF kuingia madarakani.Alikua Chief of Staff na anajua michezo ya Kagame dhidi ya wanasiasa waliokua serikali na tishio kwake


Kwa mfano Magazeti ya Rwanda yanalazimika kumpamba huyu Dikteta asiye na tofauti na Hitler linapokuja suala la Ubaguzi.Ni dikteta aliyechanganya mbinu za kizamani na za kisasa.Ndiyo maana jumuiya ya Afrika Mashariki itakumbana na Changamoto nyingi sana,bora Museveni ambaye anaona aibu kidogo kwenye EAC affairs
Sijui kwanini nimekumbuka ghafla kifo cha Prof Mwakiusa!!!!!!!!!!!!!!!
 
ukitaka kutoa ushauri kwa mtu mwenye mamlaka yake ni bora ukatafuta nafasi uongee naye mkiwa wawili kwenda kusema kwenye majukwaa ni kufanya uchochezi tu. Kwanini asingemtafuta wakapeana ushauri kwanza.

Hizi si habari za Kikwete na Kagame. Hizi ni habari za nchi. Na hapa tunaposema "Kikwete kasema hivi" ni simplification tu. Ile ni sera ya mambo ya nje ya Tanzania -au kivuli chake kilichobaki.

Na katika mambo haya, nchi hutakiwa kutoa misimamo yake.

Kwa hiyo kutaka kufanya usiri kama jando kwa hili si mahala pake.
 
Ninapenda kuchukua fursa hii kuulizia credibility ya Rais Paul Kagame:
Hivi Kama yeye ni muadilifu General Nkunda yuko wapi? Na Huko DRC hakuua?watu hawakubakwa! Mbona anakuwa double standard? Nani hajui kuwa na yeye amehusika Katika mambo mengi tu? Imefika hatua akae na waasi.

Hakuna asiyejua kuwa anakandamiza Demokrasia Rwanda, na wanyarwanda amkeni sasa mdai haki zenu za kitaifa kwa njia ya Amani japokuwa ni hatari Saaana

Unajuaje yote hayo unayoyasema?
 
Sasa mkuu unanilaumu mimi badala ya kujilaumu wewe mwenyewe kwa UVIVU wako wa kusoma. Bajeti na uwezo wa kijeshi wa nchi sio siri siku hizi. Just do your home work, hata kama unaipenda nchi yako kwa hali na mali haibadili ukweli kuwa haijaboresha jeshi lake kwa miaka mingi ukilinganisha na majirani, kitu ambacho kinatusababishia dharau toka kwa vi_nchi vidogo kama Rwanda kudhani vinaweza kujipima na kusema chochote kwa rais wetu Dr Kikwete

wewe ndiyo siyo mvivu wa kusoma uliyesema M7 ana F-16! Maneno ya vijiweni hayo fanya tafiti acha kudanganya watu hapa! usidhani mimi ni mvivu wa kufikiri udhani jeshi watakutangazia kila kitu? wewe ndiyo hufuatilii mambo na kwa taarifa yako bajeti nyingi za majeshi huwa si za kweli! hata US wamelalamika jinsi china wanavyodanganya bajeti yao Ulinzi,fanya tafiti acha kudanganya watu hapa.

Uzalendo ni lazima siwezi kukubari Rais wangu atukanwe na Wanyarwanda halafu nikaendelea kucheklea kama zuzu hata siku moja hata kama sikubaliani na mambo ya chama chake cha CCM,lakini kwa hili JK anatuwakilisha Watanzania wote haiwezekani Rais wa nchi nyingine amtukane na mimi nifurahie hata siku moja.

Kagame wenu kasifiwa sana kwamba kakuza uchumi ndiyo maana hamtaki ushauri wowote hata manapo kosea!Mbina yeye aliongea maneno ya kejeli kuhusu bandari yetu mbona Rais wetu hakumjibu? kumbe mkuki kwa Nguruwe kwa Mtusi hapana!
 
Negotiating with FDLR is “utter nonsense” – President Kagame

Negotiating-with-FDLR-is-utter-nonsense-%E2%80%93-President-Kagame.jpg




President Paul Kagame has called Tanzanian counterpart, Kikwete’s recent FDRL comments “utter nonsense”.

It’s for the first time, Kagame is responding to Jakaya Kikwete’s comments suggesting that the Rwandan government should negotiate with Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR), a DR Congo based rebel group responsible for the 1994 genocide against the Tutsi, in Rwanda.

Officiating a graduation ceremony of about 45 senior military officers, at the Rwanda Defence Forces Staff and Command College, on Monday, President Kagame, said suggested negotiations with FDLR, were spoken “out of ignorance” of Rwanda’s tragic history.

“I kept quiet for the contempt I have for it (FDLR talks) because I thought it was utter nonsense spoken out of ignorance. We must be left to live our lives the way Rwandans want to live them,” observed a visibly incensed Kagame.

Kagame described Kikwete’s counsel as, “dancing on the mass graves of our people.”

President Kikwete’s comments were made during a meeting involving parties concerned with the Addis Ababa Peace, Security, and Cooperation Framework for the Democratic Republic of Congo and the region, in February/2013. Addressing participants who included Rwanda and Uganda Presidents, Kikwete suggested that Rwanda’s peace talks with FDRL would serve a lasting solution for the DR Congo crisis.

Meanwhile, Kagame called the military graduands to acquire heightened sense of service and lead by example. He advised them to “operate with the spirit of defiance”.

The graduation ceremony was attended by high ranking government and military officials, members of the diplomatic corp and other guests.

Sympathy to FDLR
President Kikwete’s comments have not been taken lightly in Rwanda and have since attracted a string of criticism condemning him for being ‘sympathetic’ to the FDLR rebel group that is composed of remnant Interahamwe militias. These are blamed for participating in the 1994 Genocide against the Tutsi that claimed over a million victims.

Earlier comments by Foreign affairs minister, Louise Mushikiwabo described Kikwete’s suggestion as “aberrant” and “shocking”, while Prof. Pierre Rwanyindo of the Kigali-based Institute of Research and Dialogue for Peace (IRDP) said Kikwete seems to “ignore the history”.

A genocide survivors group also wrote to the US President Barack Obama, highlighting Kikwete’s seeming sympathy for a group that the US has shortlisted on its list of terrorist groups.

Regional peace at stake
As Tanzania maintains a non apologetic stance for giving what has been described as an ‘uninformed opinion’ on FDLR, many observers now believe that Kikwete’s comments may not favour regional peace, stability and cooperation. They believe only offers a shadow to hide FDLR’s heinous crimes on Congolese for the last 12 years.

According to a Joint Report on Disarmament and Repatriation of All Armed Groups operating in the DRC published in 2006, FDLR was considered a threat to the entire region.

The report observed that FDLR/FOCA and other armed groups in the DRC undermine any attempts at establishing a cross border security management system.

It should be remembered that ALiR merged with FDLR as it tried to distance itself from attacks on Bwindi Forest Lodge in Uganda that claimed the lives of some tourists.

A brief disturbing history
After fleeing Rwanda in 1994, FDLR rebels have been operating in the DRC since 2001 after merging with The Army for the Liberation of Rwanda (ALiR).

Now numbering about 2000, some of its senior officials are blacklisted for committing gross human rights violations, including rape, torture in Democratic Republic of Congo where they are holdup. The United States alone has staked $5 million (about Rwf3.2 billion) for information leading to the arrest, transfer and conviction of FDLR’s leader Sylvestre Mudacumura. Trials for FDLR leaders Ignace Murwanashyaka and Straton Musoni started 2011 in Germany.

Western experts without expertise
During his address at Nyakinama, President Kagame also accused the UN Group Experts for lack of expertise on African affairs. “They’re experts for one reason – they come from our colonial masters,” he said in direct reference to UN reports alleging Rwanda’s involvement in the DRC crisis. Rwanda has since termed them as “biased” and “unfounded”

“The same people who wrote Rwanda’s story in 2012 are the same people waiting to do the same this year.”

“We can’t have people running around saying all sorts of things… some still believe we must be held on a leash by colonial masters,” he added.

Call for home-grown solutions
President Kagame reminded guests that Rwanda was bent on seeking home-grown solutions for development and welfare of Rwandans.

“Home-grown solutions are not only efficient, but also more operational and sustainable,” he said in reference to a set of policies and programmes initiated in Rwanda to respond to its unique challenges. These include Gacaca Courts for trying Genocide suspects, Umuganda for community welfare and bonding, Gir’inka that aims to improving people’s welfare through the One-Cow-per- one household, Ubudehe, an agricultural programme for improving yields and creating jobs. A recent one is Agaciro Development Fund which has so far raised Rwf30 billion to supplement the national budget.

On aid cuts to Rwanda, President Kagame warned against such threats since Rwandans can still survive within the available means.
“We can go back to our mountains and grow our potatoes. We did it and we survived,” he said.

Rwanda recently experienced massive aid cut by donors Germany, the UK, the Netherlands and the US, but most of it has since been reinstated.

“The will of our people is the will of our people and cannot be dictated,” Kagame observed before concluding his speech given after honouring the best performing military officers at the academy.
KAGAME is a shame for African politics! What made him not to respond at the same forum JK addressed the issues? We know Kagame and your Brother M7 you are birds of the same feather! In this we Tanzanians are united!! One country, One president NO POLITICAL affiliations! Kila mtu aende kivyake vyake bana msitutishe! Hiyo milima mtavuna nini bila kwenda kukwapua DRC Madini na Mbao!? Mnaweka UADUI na FDLR ili mkivamia kwenda kuiba ijulikane mnaenda kupigana nao!!. Tunajua hata tunda la kwenye mahoteli yanatoka Nje!. Tunajua mnao "artificial economy" kwa kuwekewa mahela na mabwana zenu wa ughaibuni. Rwanda ndiyo nchi pekee inayowasaidia wananchi kulima milimani "radical terracing." Dictator Kagame na Dictator M7 kaaz kwel kwel
 
Mimi nimependa Kagame alivyojibu: “I kept quiet for the contempt I have for it (FDLR talks) because I thought it was utter nonsense spoken out of ignorance . We must be left to live our lives the way Rwandans want to live them,” observed a visibly incensed Kagame. Kagame described Kikwete’s counsel as, “dancing on the mass graves of our people.”
Dunia ya waadilifu na waungwana humaliza mambo yao kwa mazungumzano na si kwa risasi na mabomu au kwa kubweka na kubaka. Katika dunia yenye viumbe aina ya wanyama, kiumbe chenye uwezo wa kutatua mambo kwa njia hiyo ya mazungumzano na maridhiano ni binadamu na vingine vyote hutatua mambo yao kwa mapigano na kuumizana. Kwa Kagame kutokuona umuhimu wa mazungumzano katika jamii ya binadamu hata pale wanaohusika waweza kuwaita wauaji, ni dalili pia ya kuonesha kuwa anapenda watu tuishi kama wanyama. Rwanda imefuta adhabu ya kifo nikifikiri na fikra ni za kibinadamu zaidi kuliko za kinyama kama hizi za kusema hakuna kuzungumza ila ni tukitaka tuendeleza mauaji ya kimbari maana kama hakuna mazungumzo ni risasi na mabomu tu. Je hii ndiyo dunia ya binadamu? Namuuliza Kagame. Kwa raisi wangu mpendwa JK, jihadhari na Kagame na Museveni watakapoku-sandwithch utapoteza Kagera kama alivyokuwa anataka kufanya Amini... just be careful si lazima kusema vyote ukitaka kufanya kitu.
 
baba yako akifanyiwa kejeli na kanaume jirani na wewe ukafurahia na kukenua meno basi wewe ni mpumbavu hata ukitwangwa katika kinu pamoja na mawe, mawe yatasagika ila WEWE utaendelea kuwa mpumbavu tu!
 
Kudos to you!! This goes down as the bitter truth of the matter!!

It is this version that Kagame et al want the world to "believe"!! Late President Habyarimana was a nationalist and worked to unite all his people, a thing that didnt sit well with his own people in the first. Hutus tolerated that!! His death triggered the massacre because now the Hutu knew the other side wanted the famous "the winner takes all". Proof of that is what happened after that. Where is Twagiramungu?? Where are all his Hutu opponents?? How many attempts on his opponents in the diaspora have gone futile?? Todate, yes - todate, Rwanda is still devided on tribal lines and Kagame wants the world to symphasize with his side of the house.

I dont think Kikwete said anything ugly but truth be told here!! Tanzania being a player in the Congo - giving a public statement like that was unfortunate. He should have known better, as an experienced diplomat. Tanzanian troops are fighting M23 in the Congo (enemy of my friend is my enemy). M23 is supported by Rwanda. If Kikwete had wanted to be a peacemaker or mediator, he should not have sent troops. If anyone wants to be a mediating party, they dont take any side!!!!

Kagame statements are so un-deplomatic and are poking Kikwete's eye!! This goes to show how low he thinks of Kikwete and this could have started some days back when he made statements about how he would turn Tanzania to a super-state if he were her president.

Je huu ndio mtazamo wa marais wengine kwa rais wetu?? Angetaka kukwepa hizi lawama, angeongea on the sidelines na Kagame na players wengine.

Tanzania is in DRC and our enemies are M23, Kagame and allies so JK's statement was critically important amid of our role in Congo. We are in Congo in a MUST win mission, petty disrespectful dictator Kagame and allies Must know that. I strongly advise our security instruments to deal with him ruthlessly as a puppet is now on expansionary mission. Stop Kagame mission must continue for our security and better future. Kagame's nonsense, disrespectful utterances speaks louder in our favour. The damage is made.

Viva Tanzania, viva Commander in Chief!
 
Safi sana, presedent wa ukweli Paul kagame...
Wewe unayemsifia kagame upo kwenye taifa hili au umepost kutoka rwanda siamini kama kunaweza kukawa na mtanzania wa ajabu kama wewe,kumbe siku moja akija mtu kwenu akamtukana baba yako na kumpiga wewe utafurahi sana kweli kunawatu wanastahili kunywa hata ----- ili angalau waweze kubadilika.
 
Jiangalie kwanza kama unakibanzi kwenye jicholako ndipo uangalie kwa mwenzako.Serikali ikae meza moja na wanamtwara kuhusu gesi.
Usituletee habari zako za ajabu hapa tunaongea mada nyingine na wewe unatuletea mada zingine jitambue basi na jaribu kuwa mtu mzima.
 
Rwanda hata haifikii eneo la Mkoa wa Morogoro! Hawatutishi!

Isitoshe hawana bandari ni lazima tu watutegemee Tz au Kenya!

Kuwabana ni rahisi tu sana!

Ni nchi maskini sana pia kwa takwimu zilizokuwepo!
 
The most important question to ask ourselves is "Why Kagame?" Kikwete made this advice to three presidents; Museveni, Kabila and Kagame. Why it is Kagame only who is so alarmed by this advice. He knows his tricks and he doesn't want anyone to unveil the truth.

Mkuu, kwa sababu Rwanda ndiko kulitokea mauaji makubwa zaidi ya halaiki kuliko Uganda na Kongo DRC!! Open your eyes now!

Kitu kingine Kikwette angekuwa na busara...anageongea na Kagame kwanza angejaribu kumshawishi wakiwa wawili tu aone msimamo wake na yeye amwambie anavyoona!...
Sasa hii kuropoka ndio imemfanya atukanwe na raisi mwenzie kwa aibu hivi..
 
Back
Top Bottom