Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,411
Kwani wewe si hukubaliani na sifa za jumla au?
Nakubali kutokukubaliana na bado niko interested kujua.
Kuna tatizo hapo?
Kwani wewe si hukubaliani na sifa za jumla au?
prezaida utafiti wangu unaonesha wabeba maboksi kibao tumepata marakatasi kati ya 2007-2011 na hivyo tumeweza walau hata kurudi nyumbani baada ya miaka mingi ya kuishi ukimbizini; lazima kuna kitu kimetoka hii miaka mitatu kilichofanya wanugu walainike.
Nakubali kutokukubaliana na bado niko interested kujua.
Kuna tatizo hapo?
Akimaliza tunataka Ngabu atupatie sifa za jumla za Wabongo, kutokana na maeneo wanayoishi, tupo kwenye upembuzi yakinifu :lol:
@New York, Miami, Houston, Boston, Philly,
prezaida utafiti wangu unaonesha wabeba maboksi kibao tumepata marakatasi kati ya 2007-2011 na hivyo tumeweza walau hata kurudi nyumbani baada ya miaka mingi ya kuishi ukimbizini; lazima kuna kitu kimetokea hii miaka mitatu kilichofanya wanugu walainike.
Mh. Rais na wananchi wako wa kike vipi?
Boston wabongo mambo yao supa, si unajua tena jiji la 'kinshomile' hilo !
Sasa mbona umetoa sifa za wanawake tu, wanaume wa kinugu jee?
Au unatubania sisters tusipate makaratasi?
prezaida utafiti wangu unaonesha wabeba maboksi kibao tumepata marakatasi kati ya 2007-2011 na hivyo tumeweza walau hata kurudi nyumbani baada ya miaka mingi ya kuishi ukimbizini; lazima kuna kitu kimetokea hii miaka mitatu kilichofanya wanugu walainike.
Nyie wachuchu mimi nashauri hivi; kama mtu ana subira basi amsubiri mbeba maboksi wake hadi apate gamba lake la bluu. Mbeba maboksi wako akishapata gamba lake analidivorce li XXXL lake anaendelea na wewe.
Ujue kuwa baada ya kupata kijani ile ya miaka 10, kama bado uko ndoani basi unakuwa eligible kuomba uraia. Kwa hiyo kusubiri miaka 2 sio ishu sana kama wewe na mwenzako mna malengo ya kuwa pamoja mbeleni.
Kama huna mbeba maboksi inaweza ikakuwia vigumu kidogo kupata makaratasi. Hapo sasa inabidi na wewe uanze kusaka kibabu cha kizungu kilicho kipweke lol. Sishauri udili na wanaume wa kinugu. Utaishia kujuta tu.
Yaani nyie mmepata kuanzia 2007? Mlizubaa wapi nyie?
prezaida walatina/walatino vipi?
Hahahaha. . .
Kwanza mbeba box inatakiwa tuwe tunafahamiana kabla au huko huko mtoni?
Pili. . wakati mbeba box anapata 'excessive heat' toka kwa XXXL lake mdada anajiweka vipi busy asiumie kwa wivu?
Hao hawafai Gaijin unless unataka drama na kina Shaniqua na Juanquita!
Nyie mimi nashauri mtafute wabeba maboksi wenu wenye malengo ya kweli. Hapo wewe na mbeba maboksi wako mnakubaliana kuwa yeye atafute li tunye tunye alioe halafu apate makaratasi. Akishapata na uraia basi analitaliki hilo li XXXL mnaendelea na maisha yenu.
Jua kuwa ni rahisi zaidi kwa wakaka kupata ma XXXL kuliko wadada kujipatia vibabu vya kizungu.
Hahahaaa hao nao watafutaji tu kama wewe.
Hahahaha. . .
Kwanza mbeba box inatakiwa tuwe tunafahamiana kabla au huko huko mtoni?
Pili. . wakati mbeba box anapata 'excessive heat' toka kwa XXXL lake mdada anajiweka vipi busy asiumie kwa wivu?
naomba mwongozo kuhusu rais kudanganya wananchi - kiukweli wabeba maboksi wanapenda ku-'import' (agiza) wachuchu kutoka nyumbani japo wengi wao huwa wanajanjaruka wakifika yuesi; fanya utafiti uone ni wabeba maboksi wangapi wanaoana wenyewe kwa wenyewe wakikutana marikani.
si kuna walatina wa asilia ya marikani hasa huko albakaki na el paso, acha kubania taarifa au unaona wamewafunika wachuchu wabeba maboksi?
Ma XXXL wa kizungu ni safe bet kaka. Hao wengine hawaaminiki. Take it from me.