President ngabu n, tolea ufafanuzi swala hili

Ma XXXL wa kizungu ni safe bet kaka. Hao wengine hawaaminiki. Take it from me.

Companero anaandika kama anajua jibu analolitafuta.

Mkuu kama una data, we mwaga sio, personal experience pia inakubalika :eyebrows:
 
Kwahiyo nikikosa wa kuni'import' ndio basi tena nisahau gamba bila mzee wa kizungu? Kwanini unadhani sio rahisi wanaokutana huko huko kuona? Mi nilidhani wanaokuja wenyewe ndio wanafurahiwa zaidi maana hamna gharama za kumvuta huko.

wabeba maboksi wanaogopana - na gharama za kuoa/kuwa na mbeba maboksi mwenzako ni kubwa maana wote mnakuwa mmejanjaruka !
 
Hii haina formula. Mnaweza mkawa mnafahamiana kabla au mmefahamiana huko huko majuu au mnaweza mkawa mmefahamiana hapa hapa JF.

That is only if you can handle it...if you can't handle it then I guess there will be some problems. But I've met some people who are able to handle it so I guess it is doable.
Ya kiJF JF nimeipenda zaidi . . Sasa sijui rais utanisaidia list ya wabeba box wako walioko hapa niangalie uwezekano. . . ?

Hhhm. . Kweli hiyo inahitaji moyo. Kama wewe ungekua bado hujaukwaa urais, na mtaani hupiti kwa amani alafu ukapata msichana ambae ana kazee kake ungeweza kuvumilia?
 
wabeba maboksi wanaogopana - na gharama za kuoa/kuwa na mbeba maboksi mwenzako ni kubwa maana wote mnakuwa mmejanjaruka !

Sasa sindio fresh wote mkiwa mmenjaruka mnachangamka na mabox mpate nauli ya kuja bongo na doleri za kuosha mtaani badala ya mmoja kumtegemea mwenzake?
 
Sasa sindio fresh wote mkiwa mmenjaruka mnachangamka na mabox mpate nauli ya kuja bongo na doleri za kuosha mtaani badala ya mmoja kumtegemea mwenzake?

unadhani mfumo dume, kama uchawi, hauvuki bahari ?
 
Ya kiJF JF nimeipenda zaidi . . Sasa sijui rais utanisaidia list ya wabeba box wako walioko hapa niangalie uwezekano. . . ?

Ngoja ntacheki kwene database nione nani ni eligible bachelors.

Hhhm. . Kweli hiyo inahitaji moyo. Kama wewe ungekua bado hujaukwaa urais, na mtaani hupiti kwa amani alafu ukapata msichana ambae ana kazee kake ungeweza kuvumilia?

Hapana aisee. Unajua kuna kitu kinaitwa 'male ego'. My ego won't be able to handle that.
 
Ngoja ntacheki kwene database nione nani ni eligible bachelors.

Hapana aisee. Unajua kuna kitu kinaitwa 'male ego'. My ego won't be able to handle that.

Ntashukuru sana Mh. . .
Siku nikikwapua gamba mshahara wangu wa kwanza baada ya hapo nakugea.

I see!!
 
wanaotumiwa ni wanawake kwenye mfumo dume - mchuchu mbeba boksi aliyejanjaruka ni balaa, waume zao wanalia na kusaga meno ndio maana wanaona ni afadhali waagize kabinti nyumbano ila si unajua tena mambo ya Professor Jay ft. Ferooz - Nikusaidiaje? - YouTube !

Hahahaha wanalia kwanini?

Alafu asante kwa kunikumbusha 'nikusaidiaje'. . . Hii inaonyesha kabisa kwamba mtu anaweza akalia either way!!
 
Back
Top Bottom