President ngabu n, tolea ufafanuzi swala hili

hahaa, hivi kwa nini lakini nn sr na uzalendo wake wote ule hakutani usome nasi pale kwa mujuhwahuzi/mndolwa?

Acha longolongo bana hebu nirushie kwanza hayo matokeo ya utafiti

Mujwahuzi na Mndolwa wamefanya nini tena?
 
Acha longolongo bana hebu nirushie kwanza hayo matokeo ya utafiti

Mujwahuzi na Mndolwa wamefanya nini tena?

i mean kwa nini nn sr hakutaka uje usome nasi chini ya ualimu mkuu wa mujwahuzi? au alitaka upandishe ngeli olympio hadi watu wadai unafanya kazi ubalozini ?
 
i mean kwa nini nn sr hakutaka uje usome nasi chini ya ualimu mkuu wa mujwahuzi? au alitaka upandishe ngeli olympio hadi watu wadai unafanya kazi ubalozini ?

Hahahaa yeah...shule ya msingi Olympio halafu jioni twisheni kwam Mrs. Chomi? Unamkumbuka huyo? Alikuwa na binti yake anaitwa Eunice.....
 
Ngabu poa bana, maana kuna masela kadhaa wameingia cha kike kwa maduu wa kinugu jamaa wanasaga meno

Ila wanugu wa South na North Carolina kidogo wana imani za dini si kama wa South East dc
 
Hiyo mbona yeyote anaweza!! Hata wakuja jana. . .

usifanye mchezo aisee 'import' inaposema iliolewa na marekani na sio wewe 'importer' halafu wala haikuachi na kuifukuza au kuilazimisha huwezi maana nchi za watu zina zero tolerance ya mfumo dume wa aina hiyo - ni kulia na kusaga meno tu !
 
Ngabu na Companero mkishakutana ni kuturingishia watu wa Mlimani tu, hala hala wengine ni dada, kaka, wachumba, wachuchu za watu!
 
Back
Top Bottom