Premium member

Wasiliana na Maxence uchangie JF, mkono mtupu haulambwi!

hehehehe dogo umepotea sana mkuu shemeji amekubana nn? Naye simwoni naona mpo busy na hiki kipindi cha baridi naona mnafanya uchavushaji peke.
 
hehehehe dogo umepotea sana mkuu shemeji amekubana nn? Naye simwoni naona mpo busy na hiki kipindi cha baridi naona mnafanya uchavushaji peke.

Tulikuwa VACATION mazee wala usikonde naye atakuja tu ingawa sasa tunapenda kusoma badala ya kuchangia maana wale jamaa wa Zeutamu wameweka kambi JF!
 
Tulikuwa VACATION mazee wala usikonde naye atakuja tu ingawa sasa tunapenda kusoma badala ya kuchangia maana wale jamaa wa Zeutamu wameweka kambi JF!

hehehe poa mzeeya yeah wale wa zeuchungu hata wale wa kwa mkuu wa nanihii yule michuzi nao wengi sana humu nawaona fikra ni zile zile.
 
Nakumbuka kibwagizo chetu wakati wa kutafuta ushindi wa KISHINDO.....

CCM ina WENYEWE na WENYEWE ndio SISI........
 
hehehe poa mzeeya yeah wale wa zeuchungu hata wale wa kwa mkuu wa nanihii yule michuzi nao wengi sana humu nawaona fikra ni zile zile.

Barza yetu imechafuka sana cousins, hivi hakuna jinsi tu fanya lobbying hata ikibidi tukamuombe mkulu afungue tena ile kitu ya ili watuachie barza?
 
Barza yetu imechafuka sana cousins, hivi hakuna jinsi tu fanya lobbying hata ikibidi tukamuombe mkulu afungue tena ile kitu ya ili watuachie barza?

Dah kweli mkuu hata yule jamaa mwenye ile ya makalio makubwa nae alipigwa mkwala na hao UWT.
 
Barza yetu imechafuka sana cousins, hivi hakuna jinsi tu fanya lobbying hata ikibidi tukamuombe mkulu afungue tena ile kitu ya ili watuachie barza?

Solution:
1. Thread ambazo ni utumbo usichangie kabisa, achana nazo zitakufa haraka
2. Mtu anayetoka nje ya mada asijibiwe.

Nakumbuka zamani wakati nafanya debate tulikuwa na technique moja kutoka shuleni kwetu wakati wa kudebate wakati team ya wapizani wanakazana kuuliza maswali na kukanusha kile tulichosema bila kuja na point mpya, sisi kila anayesimama anahakikisha ameongea vitu viwili au vitatu vipya, wao watanyosha mikono ya objection, mara wanaipinga point muda unaenda na mascretary wanaandika point mpya za kila timu mwisho timu yetu ilikuwa ikiibuka na ushindi. Hapa wakuu watu wanaotoka nje ya mada, wanaleta interest zao, sijui udini au kuwafurahisha wakubwa wao fulani leave them alone, usijibu wewe endelea kujadili mada, na kama thread iliyoanzishwa ni chafu haina miguu wala kiwiliwili achana nayo itakufa Natural death haraka.
 
Last edited:
Solution:
1. Thread ambazo ni utumbe usichangie kabisa, achana nazo zitakufa haraka
2. Mtu anayetoka nje ya mada asijibiwe.

Nakumbuka zamani wakatinafanya debate tulikuwa na technique moja kutoka shuleni kwetu wakati wa kudebate wakati team ya wapizani wanakzana kuuliza maswali na kukanusha kile tulichosema bila kuja na point mpya, sisi kila anayesimama anahakikisha ameongea vitu viwili au vitatu vipya, wao watanyosha mikono ya objection, mara wanaipinga point muda unaeda na mascretary wanaandika point mpya za kila timu mwisho timu yetu ilikuwa ikiibuka na ushindi. Hapa wakuu watu wanaotoka nje ya mada, wanaleta interest zao, sijui udini au kuwafurahisha wakubwa wao fulani leave them alone, usijibu wewe enedelea kujadili mada, na kama thread iliyoanzishwa ni chafu haina miguu wala kiwiliwili achana nayo itakufa Natural death haraka.

Hiyo ni njia nzuri sana, tatizo hao wajamaa wanapeana support si wameshazoea kule...mi nashauri iweke kanuni nyingine ambayo itakuwa inafilter thread. kama huna ushahidi au hoja usiruhusiwe kuweka thread labda uchangie tu. bila hivo tegemea mipasho kila kukicha. Siku hizi hakuna kabisa thread za ukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom