Prayers Request: Teamo and his family

Teamo relax na itaenda vizuri, kwavile hiyo ni experience ya kwanza kwako lazima unakuwa umechanganyikiwa. Labour hours pia pains zinatofautiana kati ya wanawake. Hata kwa mkeo hiyo experience ya labour inaweza kuwatofauti kwa watoto atakaojifungua.

All the best and you're soon going to be a daddy, how nice!!..regards to your wife and my prayers are with her&little angel!!!
 
Wadau hebu fanyeni mauzoefu yenu hapa.....kwamba kama anaeyezeliwa ni mtoto wa kiume basi it takes longer labor pain.....
 
ooh inaumiza 15 hours maumivu ya aina gani nimesikia machozi nilipata maumivu ya masaa 9 mtoto wangu wa kwanza kwakweli siwezi kueleza Mungu ni mwema atajifungua salama yupo kwenye maombi yangu
 
wwwwwwwwwwwoooooowwww..
Mama TEAMOOOO kajifungua mtoto wa kikeeee..
Tilalallala..talilailailalililiii...
What ajoy!!!!!
 
Do! Teamo na familia Hongereni sana. Pole Teamo kwa hofu uliyokuwa nayo. Ndio ukubwa! Hii nayo ndio njia ya makuzi ya ukubwani.
 
WOW... ITS A GIRL

now the name search swings to the G side again

My sons have got a pool to chose from

huhuuuuuuuuu

Nampongeza mama na namkaribisha mtoto, kwa teamo sikupongezi bali nakukaribisha ukubwani

KUZAA SI KAZI, KAZI KULEA
 
Yap man....wangu alikaa leba kwa masaa matano tu....and i paced and paced....
It gets anyone nuts...!

Usiseme hiyo kitu mazee. Mi alikaa masaa 18, mambo yakawa magumu, ikalazimika kutafutwa ambulance kumwahisha muhimbili. Sitasahau mlio wa ile siren na kilio cha my dear wife. Sitasahau ile tarehe 20/11 siku ya Jumatatu. I will never!
 
wwwwwwwwwwwoooooowwww..
Mama TEAMOOOO kajifungua mtoto wa kikeeee..
Tilalallala..talilailailalililiii...
What ajoy!!!!!

Hahahahaha! Dah! Hongera jibaba Teamo na my dear mshikiz.

Ile dhana ya mainfii lazima wapate first born wa jinsia ya kike leo nazidi KUIAMINI!
 
Hongereni sana Mrs & MrTeamo, Mwenyezi Mungu akuongezeeni furaha na mapenzi kwenye ndoa yenu... na akukuzieni mtoto wenu. Awe ni mtoto mwenye adabu na heshima kwa wazazi na kwa jamii kwa ujumla... Mwenyezi Mungu amuepushe na mafataki na kila shari himpitie mbali. Amin!
 
apewe jina langu jamani maana niliotea its abby gal n I said it
WOW... ITS A GIRL

now the name search swings to the G side again

My sons have got a pool to chose from

huhuuuuuuuuu

Nampongeza mama na namkaribisha mtoto, kwa teamo sikupongezi bali nakukaribisha ukubwani

KUZAA SI KAZI, KAZI KULEA
 
Mwenyezi mungu atamtumia malaika zake wamlinde na kumtia nguvu wakati wa kujifungua. Atajifungua salama. Mungu anajibu maombi.
 
Hongera sana Teamo Mungu ni mwema sana am so happy for you and your wife .
Mpe hongera nying mzazi:violin::lalala:
 
Back
Top Bottom