Prayers Request: Teamo and his family

I was expecting a call anytime jana usiku kujua mwenye jina la G ameshawasili.....duh kumbe bado...tuendelee kumuombea Mungu shemeji na mtoto wapite salama katika kipindi hiki
 
All loving God,you created the human family as a reflection of your own divine life
so that yourcreation might share in your happiness.
Hear our prayer for your daughter who awaits the birth of her child, She has cooperated with you in giving life. Assist her now as she prepares to give birth to the child in her womb.
May you be her guide and support, calming her fears and strengthening her love.

May your daughter be filled with your peace and blessing
so that she may bring her child into this world safely and in good health to the praise and glory of your name.
Amen. :pray2::pray2:
 
Orait...upo wadi gani? ya lugalo?:help:.....
Dawa ni kumwacha Invii na plan A yake iliyolala....:lol:

Location yangu....?

Mshiki anapata tiba sahihi, mwambieni Teamo am taking good care of her.
 
WAKUU,
updates ni kwamba HAKIJAELEWEKA....!to me ni zaidi ya maumivu.....
when i see the process nzima i am getting confused
kwa sasa tunazungumzia masaa 15 ya mtu akiwa labour!

IT'S SO PAINFUL!

nimetoka kidogo nipo kwa mkoloni for now

Dah pole mkuu tupo pamoja
 
Mleta mada, tunaomba utuwekee Updates pale juu kwenye original thread!
Kamnda ninavyoandika niko Mwanza na nimejaribu kumpigia dogo hapokei, i hope Fidel atakua karibu zaidi
 
Location yangu....?

Mshiki anapata tiba sahihi, mwambieni Teamo am taking good care of her.

Tiba sahihi na huduma sahihi....
Kwani yeye Teamo anarusiwa kuingia kule chumba cha kazi (labor room)?
 
ukiona mwanamke mheshimu na si kufikiria infi pekee

they shoulder what we cant comprehend
 
Kamnda ninavyoandika niko Mwanza na nimejaribu kumpigia dogo hapokei, i hope Fidel atakua karibu zaidi

Nadhani atakua ameelekea mitaa ya karibu....ila katika presha kama hizi hata simu inakua haipokeleki....
Tuendelee kuomba pamoja nae...
 
Mungu amjaalie kujifungua kwema, kweli Mungu ni Mkubwa!! We'll keep you in my thoughts and prayers! Hivi jina ulichagua gani??
 
bEING A FATHER FOR YEARS NOW, NAELEWA WHAT HE IS GOING THROUGH, BUT NAUMIA SANA KUSIKIA MAMA ANAKAA NA LABOR PAIN FOR 15 HOURS, NI TRAUMA YA AJABU HAKYANANI
 
bEING A FATHER FOR YEARS NOW, NAELEWA WHAT HE IS GOING THROUGH, BUT NAUMIA SANA KUSIKIA MAMA ANAKAA NA LABOR PAIN FOR 15 HOURS, NI TRAUMA YA AJABU HAKYANANI

Yap man....wangu alikaa leba kwa masaa matano tu....and i paced and paced....
It gets anyone nuts...!
 
bEING A FATHER FOR YEARS NOW, NAELEWA WHAT HE IS GOING THROUGH, BUT NAUMIA SANA KUSIKIA MAMA ANAKAA NA LABOR PAIN FOR 15 HOURS, NI TRAUMA YA AJABU HAKYANANI

Its so painful..
 
Best wishes familia. Ndo maana mimi naogopa kumpa mimba mpenzi wangu, otherwise will opt for cesarean section. Katika sala tupo wote.
 
Back
Top Bottom