dodoma tunalala nayo mbele mkuuDarisalama tena,,!!? Kwaiyo mpango wa kuhamia Dodoma niaje niaje,,
Mtaenda wenyewe mlioajiriwa na SIRIKALI. Sie wengine tuende Dodoma kufanya nini? Jiji na utamu wake tumuachie nani? TUTABANANA HAPAHAPADarisalama tena,,!!? Kwaiyo mpango wa kuhamia Dodoma niaje niaje,,
Sema Tanzania sio Africa mashariki mana Kenya tayari wana britam tower at 200m ,napia Kenya wanajenga pinnacle tower 70floors at 300m+ kwahiyo ppf litakuwa tallest in tz labda wapite britam. Pia nikitazama juu ya jengo hill naona wameshafika floor ya mwisho ambayo ni 35 saw a na pspf towersHello hili jengo la PPF barabara ya Sam Nujoma road nafikiri ndio litakuwa jengo refu zaidi Africa Mashariki
Plan ya jengo na ilipofika sasa. Kwa sasa imefika floor ya 34 na bado inaenda juu.
View attachment 666792 View attachment 666797
Ujenzi ulianza November 2015 kabla hajatoa kauliSi waliambiwa wajenge viwounder na bwana Juma au wanamjaribu?
Estim construction company Ltd walianza mwanzoni mwa mwaka 2016Aiseeee.Kampuni gan imechukua tenda hyo? Na mpk sasa mda gan umetumika kutengeneza,?
CC wew unaesoma
Zunguka nyuma ya jengo kuna geti kubwa wameweka kibao chenye details zoteHuu mjengo nimekuwa nikijiuliza kila mara nikipita pale Njia panda ya Sinza Makaburini, ni wa nani? Hatimaye nimejua leo. Maana ukipita ukiwa kwenye chombo cha usafiri, kile kibao cha permits hakionekani.
Wavimba macho kama kawa....! Wazee wa shau feiAiseeee.Kampuni gan imechukua tenda hyo? Na mpk sasa mda gan umetumika kutengeneza,?
CC wew unaesoma
Hello hili jengo la PPF barabara ya Sam Nujoma road nafikiri ndio litakuwa jengo refu zaidi Africa Mashariki
Plan ya jengo na ilipofika sasa. Kwa sasa imefika floor ya 34 na bado inaenda juu.