Posta Tanzania hongereni kwa huduma nzuri na nafuu

Kama kwenye tracking number ilisoma na mpka leo unayo kumbukumbu ulikua unatakiwa kuwasha moto sema hukujua hatua za kufuata wez sana wale nawajua

Waliwahi kunizungusha mara moja tu. Nilipojua kwamba wananizungusha na wanayosema siyo kweli, nilienda kuwasha moto wakanipa mzigo wangu wapuuzi wale. Na sijawahi sumbuliwa tena toka hapo.
 
Mkui mzigo wa kutoka Tanzania kwenda Germany ulikuwa unawapelekea dungu zako mitishamba tumezoea vinatoka ulaya kuna kwetu hii yako imenisitua
 
Kuna status ya mzigo kuingia nchini kwako na kuna status ya mzigo ambayo inakuonesha mzigo wako umefikia posta ipi? Mfano GPO ni HQ, TZKAR ni Posta Kariakoo n.k.

Sijajua latest update ya mzigo wako inasomaje.
Nimetazama tena imeshaondolewa ktk system
Screenshot_20210519-173258_AliExpress.jpg
 
Mm siku hz wananikera kwenye categorization eti mzgo wa regesta juz wameucategorize kwny rdp yaan mzgo wa chini ya usd 20 naambiwa nilipie kodi ??
 
Posta Tanzania

Huduma yao ya Tracking domestic parcel haifanyi kazi zaidi ya mwezi sasa. Ukituma document kwa EMS ndani ya Nchi haina tofauti na kutuma kwa njia za kawaida, huwezi kutrack, mtandao haufanyi kazi zaidi ya mwezi sasa.

Wabadilike.
 
Back
Top Bottom