seleman msumeno
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 202
- 34
kwa kweli serikali wasilifanye jambo hili kama utani kwao na kutuchezea akili zetu
Acheni hizo bana mke wenu wenyewe alafu bado wamchungulia ,!! kama kutoka zitatoka tu
unaenda tena uhakika upo kikubwa ni combination angalau ccc ondoa waswas
kwmye comb nina CCB
wanafunzi wenzangu wa jf hivi kweli serikali yetu iko makini kwa kile inachokifanya ama inatania, huu ni mwezi juni na bado selection hazijatoka hivi elimu ya mtanzania sini magumashi tu. Nimechokaa kukaa kitaa serikali mtoe haraka.
Hilo ndo kubwa zaid..zile form ni kwa ajili ya kulinda democracy tu..kuna shule hazchaguliwi kabisa...unafikiri watapelekwa kina nan?
ww haujajua mda tuliokaa uku nyumbani mpaka wametuchoka kabisa kutuona
haha zimetoka hamjaziona?
Zinakaribia wakuu jamaa wameshamaliza kazi data nimepata kwa reliable source