Mumesoma tuition ? Utapelekwa mpitimbi then urudi mbio
Tuition Wakat Hujui Kuwa Utapangiwa Comb Zp
Tuition Wakat Hujui Kuwa Utapangiwa Comb Zp
nimechunguza wengi wenye credit ndo wanapapara na hizo post,wenye distinction hu2na ata mchapo nazo, kuwen na subira wakuu mwz wa6 c ndo huu post ztakuwposted soon. mmja wapo ni huyo apo juu
distinction cyo tatizo jombaa.,
Ha Mnalilia moto! Utawachoma . Mnalilia post wengine hata tuition hamjaenda, afu n hizi gvt school fulu mizinguo!
those who are stronger will survive for the fittest, those who are weaker will be perished away; kama dinstinction sio tatzo, tatizo nini sasa.
ww haujajua mda tuliokaa uku nyumbani mpaka wametuchoka kabisa kutuona
kama m2 una credit ya 2.3 je unaweza kwenda kdato cha 5?
Tatizo post zinachelewa tumechoka kukaa nyumban maisha ya kitaa yanachoshaa hasa km umexoma tuition wee umechoka unapumzika t ila sasa na kukaa hm shida tuuu