Pongezi za pekee kwa CHADEMA, Mmeonyeasha msimamo madhubuti. Mmeweka kando utamu wa asali na kujali maslahi ya taifa

CHADEMA haikuwahi kulamba asali ni hofu zenu tu lakini Kila mwenye akili alikua anajua ni suala la muda tu mtaona msimamo wao kwenye maslahi ya nchi.
Naona umesahau kuwa chadema ndiyo walitunga pambio la mama anaupiga mwingi. Sasa akili zimewarudia wakagundua kumbe mama mwenyewe anapiga ugoko tu.
Kwa hili hata mimi nawapongeza kwa kusimama upande wa maslahi ya taifa. Na bado, makamu mwenyekiti sasa hivi hamalizi hotuba bila kumpa maua yake mwamba, mtamkubali tu.
Kibuyu cha asali tupa kuleeee.
 
Hii ndio falsafa ambayo mlitakiwa msimame nayo.

Nia thabit kupinga ufisadi.

Kwenye sakata la bandari mpaka sasa mmeonyesha hamtaki mali za Watanganyika kuibiwa. Mmeweka kando utamu wa asali na kukomaa.
Wewe kila siku na Cdm. Unasahau ni Ccm yako ndiyo iliyofanya vikao dodoma kuidhinisha udhalilishaji huu dhidi ya Tanganyika .

Kemea Ccm si chadema ambayo hata haijapewa mamlaka kisheria. Usijifiche na maneno ya hovyo kama asali , huku Tanganyika ikigawanywa hovyo na Ccm.
 
Naona umesahau kuwa chadema ndiyo walitunga pambio la mama anaupiga mwingi. Sasa akili zimewarudia wakagundua kumbe mama mwenyewe anapiga ugoko tu.
Kwa hili hata mimi nawapongeza kwa kusimama upande wa maslahi ya taifa. Na bado, makamu mwenyekiti sasa hivi hamalizi hotuba bila kumpa maua yake mwamba, mtamkubali tu.
Kibuyu cha asali tupa kuleeee.
Sio kweli, CHADEMA ilimsifia Samia kwenye demokrasia maana Kwa Hilo kamzidi JPM kwa mbali sana. Ila mengine yote alikua anakosolewa sana tu hata huyo Mbowe si ndio alisema ufisadi awamu ya Samia umezidi awamu zote? Sasa ni lini alilamba asali?

Acheni assumption, Chadema has never and will never bow down to Mama Samia.
 
Back
Top Bottom