Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 7,855
- 20,997
Unaanza kuvurugwa. Una ugomvi gang na wakatoliki? Mbona ugomvi wa wayahudi unaingiza ukatoliki.Hivi wakatoliki wa peramiho leo hii wakisema wanaanzisha nchi yao hapo peramiho kwa kuwa wapo 100% wakatoliki na eneo hilo walipewa na Wajerumani walipokuwa wanatawala kimabavu basi ndiyo imeshakuwa sawa hivyo?
Anyway surat al isra 17 inatambua Israel kuishi ardhi yao