Pongezi kwa ITV, wamejitahidi kuonesha Habari za Upinzani

Agera 1

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
4,080
4,184
Katika kipindi cha leo cha taarifa ya Habari ITV wametumia dakika 10 kuonesha mambo ya upinzani na matamko yao kuhusiana na Uchaguzi huu.

Hii ni tofauti na huko nyuma walipokuwa wanaonesha uoga uoga
 
Mimi siwapongezii. Maaana kuwaweka wazi na Sera zao wapinzani wetu wa mwaka huuu, nikuwaaibishaa zaidiii, maana kwa haya yaliyooneshwa na ITV yakitamukwa na huyo mgombea wa chadema, mmmmmmkh kwakwelii hawezi kampeniii.

Yaanii, badala ya kuzungumzia kero za watanzania, zaidi tumefafanuliwa misitari ya biblia, maana yakee tulikuwa kwenye mkutano wa injiriii. Haaaaa haaaa
 
Mimi siwapongezii. Maaana kuwaweka wazi na Sera zao wapinzani wetu wa mwaka huuu, nikuwaaibishaa zaidiii, maana kwa haya yaliyooneshwa na ITV yakitamukwa na huyo mgombea wa chadema, mmmmmmkh kwakwelii hawezi kampeniii. Yaaanii, badala ya kuzungumzia kero za watanzania, zaidi tumefafanuliwa misitari ya biblia, maana yakee tulikuwa kwenye mkutano wa injiriii. Haaaaa haaaa

Kwa kujitekenya huku, afisa kipenyo daraja gani mkuu?
 
Mimi siwapongezii. Maaana kuwaweka wazi na Sera zao wapinzani wetu wa mwaka huuu, nikuwaaibishaa zaidiii, maana kwa haya yaliyooneshwa na ITV yakitamukwa na huyo mgombea wa chadema, mmmmmmkh kwakwelii hawezi kampeniii. Yaaanii, badala ya kuzungumzia kero za watanzania, zaidi tumefafanuliwa misitari ya biblia, maana yakee tulikuwa kwenye mkutano wa injiriii. Haaaaa haaaa
Ok
 
Mwenyewe niligundua hilo, tena wakaonyesha na kile kipande Lissu anahamasisha maandamano. Wamefanya vizuri kwakweli. Kwa sisi tunaotazama habari ya saa 2 youtube, utaona ITV ndio wanapataga viewers mpaka 3000 wakati azam hawafiki 1000. Azam kusema kweli wanaupendeleo na serikali na CCM. Nilishangaa juzi kila sehemu wanarepoti kuhusu kasoro za uchaguzi wao wakaifanya habari kuu ya Rais kwenda kukagua magari, na huu ni mfano mmoja kati ya mingi. Hata Star TV (nadhani ninchannel ya Star TV) wanaonyesha habari za upande woe kuliko Azam. Kwenye magazeti, The Citizen na Mwananchi na Nipashe (kwa mbali) wanajitahidi kuwa objective. Majira limesgakuwa la CCM na Mtanzania
 
Vyombo vya habari vikipotezea habari za chadema basi utasikia mtu anakwambia watu siku hizi hawaangalii hizo taarifa za habari.
 
kilichotokea jana ni salamu kwa vyombo vingine vya habari kama wakiendelea na ujinga wa tbccm
 
Back
Top Bottom