Pombe tunazokunywa jamanii! Zitatutoa roho.

Pole sana Kiongozi....furaha ya kuongezewa mshahara imejeuka majuto.
 
View attachment 21475View attachment 21476View attachment 21477View attachment 21478View attachment 21479View attachment 21480View attachment 21481View attachment 21482View attachment 21483View attachment 21484
pencil.png

nimecheka sana.....loh
 
Pole sana Mkuu, ni vizuri ujue limit yako ili usifanye madudu. Unaweza kupoteza uhai wako bure kutokana na pombe.
 
Wanywaji jitahidini kutumia bia za Ilala angalau watanzania wenzenu wenye vihisa TBL watawashukuru kwa ongezeko la magawio.
 
duh nimecheka kweli,kuna jamaa yangu huku analewa kipindi snow imeshuka basi akianza kurudi nyumbani hizo slide zake utamwonea huruma,akiamka kesho yake mwili unavyomuuma na vidonda kibao.lakini akizikamata tena tu aluta kontinyua:first:
 
Hm !!!!!!!! Hongera hujakutana na watoto wa Ilala Lazima WANGEKULA BATA:popcorn:..... Ugejikuta kama umemwagiwa yai ..... bichiii:A S thumbs_down:
 
Back
Top Bottom