Pombe gani inaongeza urefu wa tendo la ndoa?

..Kiranja, pombe nyingine unazotajiwa hapa kama utajaribu unaweza kuharibu kabisa na mpambano wenyewe so be careful mazee!

Hehehehe Ponjoro alipiga Valuer 3 mbona aliishia kuchezea mausi tu mpaka asubuhi mpambano haukuchezwa kabisa.
 
Kuna MC Moshi alikufa hivi karibuni kwa kutafuta stimu kali ya pombe mchanganyiko kwa imani kwamba atapiga mechi kali mno! Tena alifia kifuani!
wewe kula vizuri tu... vipushapu viwili vitano hivi, usingizi wa kutosha (siyo kuwa mlala ovyo), .....yakigoma yota hayo muone Isacs Ndodi.


Umenisikitisha umenikumbusha kifo cha ndg yangu Lema. Punzika kwa amani Lema kila nikipita hapa Lema road nakukumbuka.
 
Mwenye game ni Kiranja Mkulu tunampa uzoefu!

hahaha isije kuwa umetumia ile kauli mzee ruksa kuwa MTU NI KIOO CHA MTU..shida za masa unazifanya za kiranja mkulu...
Mwambie apige nyagi tu na asiwe na mawazo!! what matter is concentration tu...
 
...Issac Ndodi anadai mashine ikisimama inahitaji damu lita 3 kwa kweli nimepoteza imani nae....Kama kiungo kimoja kinahitaji lita 3 za damu na viungo vingine tena vikubwa vitahitaji kiasi gani?? Huko simshauri kwenda kabisa..
Ndodi ana bonge la mkitambi na alikua na kampeni ya kupinga bitambi ...akawa anauza dawa zakeza ujanja ujana....hahaha
 
Isaac Ndodi is a liar!
On the average, an adult human male who weighs 70 kg. has a blood volume of about 5 liters, Kwa kuwa Nguli hajui hesabu namrahisishia hapa Total volume of Blood in human represents about 7% of the body mass. Kama Lita 3 ubongo utakuwa hauna damu sasa!
Jamaa sasa ana bonge la mkitambi...wakati alikua anauza dawa za kutoa kitambi
 
...Issac Ndodi anadai mashine ikisimama inahitaji damu lita 3 kwa kweli nimepoteza imani nae....Kama kiungo kimoja kinahitaji lita 3 za damu na viungo vingine tena vikubwa vitahitaji kiasi gani?? Huko simshauri kwenda kabisa..
Jf inanipa burudani
Umenichekesha hakika
 
Naombeni msaada wenu.
Kuna baadhi ya bia nasikia zinasababisha mtarimbo ulale doro.
Pia nasikia kuna vinywaji vingine vinasababisha rigwaride ridumu kwa muda murefu.
Naomba tujulishane hapahapa jamvini.
kula kiasi usishibe sana. Konyagi shot mbili ama tatu tu. Usinywe ukalewa. Pombe zingine zote zinaharibu mambo uko chini. Labda wine kiasi ukichanganya na whisky shot moja tu. Ili uone matokeo usinywe chupa nzima
 
Kula kuku mzima iwe na( kampani)
Then tulia kunywa maji Lita moja na nusu
Ukimaliza oga jifunge taulo ...Anza kushushia red wine mixer value ..ukimaliza piga mswaki kutoa harufu ya pombe ili uwe romantic ..baada ya Apo Sasa mpande mtoto wa mtu ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom