Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,261
- 79,619
Kuna habari za kuaminika kuna watu mamluki wametumwa na Kamati ya Kinana ya CCM (Kampeni) kuwa wajiandikishe Jamii Forums na kazi yao ni kuipigia CCM tu ili kuhakikisha by 31st October Mzushi JK anakuwa anaongoza! Nimewakuta hao Mamluki kwenye c@fe moja (jina nahifadhi) katikati ya Dar! sasa sijui hii ni akili au ndo kuchakachua kwenyewe hata Mtandaoni! Ama kweli hii nchi has gone to dogs!
Slaa for presidency!
Slaa for presidency!