Elections 2010 Poll ya Jamii Forum na kampeni za CCM

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
58,771
78,446
Kuna habari za kuaminika kuna watu mamluki wametumwa na Kamati ya Kinana ya CCM (Kampeni) kuwa wajiandikishe Jamii Forums na kazi yao ni kuipigia CCM tu ili kuhakikisha by 31st October Mzushi JK anakuwa anaongoza! Nimewakuta hao Mamluki kwenye c@fe moja (jina nahifadhi) katikati ya Dar! sasa sijui hii ni akili au ndo kuchakachua kwenyewe hata Mtandaoni! Ama kweli hii nchi has gone to dogs!

Slaa for presidency!
 
waacheni wapige kura, watakuwa wamepewa 5000 kila mmoja ili waende cafe, na ni kweli jana na leo tu zaidi ya kura 200 zimeenda kwa kikwete the fisadi, ukweli unabaki kuwa kura zetu hapa hatulazimishwe na mtu wala kupewa jero. ni kura za rohoni na weight yake ni mara kumi ya kura za mamluki
 
Kwa nini JK ahangaike hivyo!? Mbona yeye ni President tayari! Tena kila kinachoendelea yeye anaweza kudai ni yeye ameanzisha na wabongo wakamwamini! Kwa ajishushe hivyo. Tena anamwaga hela nyingi pasi na kifano. Jana amekusanya Tshs 900! Ni za nini tena, kama mabango anayo hata mengine ameyaweka stoo au mahali fulani, kama ni kanga nchi nzima ina kanga na vibandiko vyake, hata nyingine wamewapa wazungu wavae, hazina watu wa kuvaa. Kama ni magari wanayo na mapikipiki na baiskeli na Helikopta tatu. Sasa hizi M 900 ni za nini? Kuhonga siyo, ole wao wasioijua sheria!


Ila huyo Mzee sijui nani Jaji Makame, kwa nini hamkemee huyu Bw Mdogo wake. Kwa umri wake sioni kwa nini anaona shida, cheo na mamlaka ya kumhoji anayo, umri anao sasa anaogopa nini! Yahya hawezi kumdhuru kwa sasa yuko hospitali. Wahi Mzee mwonye maana atasababisha kero na kero hujibiwa na kero. Tusicheze na amani tuliyo nayO. Tukemee walau
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom