Polisi yatembeza mabomu kwa wananchi Arusha

Kwa kweli ikitokea maandamano ya kweli ya dhamira hawa police wataua sana watu maana hawana mafunzo yeyote ya kupambana na maandamano au migomo mikubwa !!! Yaani hii ya leo ni kali........

....mie sijui polisi wa nchi hii wametrainiwa vipi,,,,,ila nadhani viongozi wa jeshi la polisi nchini ndo wanayaleta haya!!!!
 
hapo hapo ndio pakuanzaia kufanya maandamano ya kuung'oa utawala wakibabiloni wa ccm mikoa mingine nayo ianze sasa
 
Nasikia viongozi wa CDM walikuwa wakitoka katika kesi na ndipo wananchi katika kuguswa na mvuto wa mbunge wao Godbless Lema wakawa wanaandamana huku wakimuita Waziri wetu si unajua kaukwaa uwaziri kivuli polisi wakaamua kuwatawanya wananchi kwa mabomu.
 
jamani nimi uvumilivu umeshanishinda kwa nini mtu mmoja atuletee shida namna hii kila kukicha andengenye and company wanatupiga mabomu wao wanadhani tunawaogopa hawayaoni ya libya sasa eenh CCM muda wako wa kuishi umekwishaa andengenye ni vema ukatambua kuwa wananchi wakichoka hayo mabomu yako wanayaona km mvuke tuu
....huyo kada si atimuliwe!!!!!!!!!!
 
Jeshi la polisi na matumizi mabaya ya resources. Watu wanatoka mahakamani wanapigwa mabomu! Kazi kweli kweli!
 
Polisi wawapiga mabomu kuwatawanya watu waliokua wakitoka mahakamani na Mbunge Lema, na watu walikua katika amani na hata hawakuwa wengi... inakua kama polisi wanafanya majaribio
....waendelee tu na majaribio ila wananchi tutafanya kweli!!!!
 
Kitaeleweka tu! Hapa mimi nalia kwa mabomu haya mawili yaliopigwa, kulikua hakuna sababu ya kupiga mabomu haya wakati watu walikua kwenye hali ya utulivu!
Sio mawili ni matatu lakini usijali siku inakuja soon hata sisi tunajua kulipua kwani milipuko ya mererani sio milipuko tutahamishia hapa tu tuone basi; vijana wako hatua za mwisho mwisho kwenye hili zoezi
 
Tunasikitika na hizi njia wanazotumia watawala kuwatawala watu kwa nguvu za dola.
Tunasubiri picha za tukio hili tuziweke jamvini.
Poleni wakazi wa Arusha
 
Sitashangaa. Lema amezoea kufanya vitendo vya kihuni.

Hajui kuwa yeye ni mbunge na ubunge una heshma zake.

Mshaurini aache usanii katika siasa. Arudi shule, hajachelewa sana.


Serikaliya CCM inahitaji watu kama kina LeMA wengi tu

Wasomi wanatumi na nadharia za vit darsani abu tu hawaiwezi CCM hawawezi.

Wamejaribu kina lipumba, Slaa CCM wanafanya mzaha tu.

So a mixture of both wasomi and the likes of LEMAs ndio italeta mabadiliko.
Until tukifikia kama tunavyoona kwenye bunge la kenya. Maana kulekenya hata wasomi sometime wanaweka usomi pembeni . am sure u know why this happen?
 
Sitashangaa. Lema amezoea kufanya vitendo vya kihuni.

Hajui kuwa yeye ni mbunge na ubunge una heshma zake.

Mshaurini aache usanii katika siasa. Arudi shule, hajachelewa sana.
Kuandamana sio vitendo vya kihuni wala kuvizuia hakuhitaji muandamanaji kwenda shule.Lingekuwa ni swala la shule tusingeona wanafunzi na wahadhiri wakigoma na kuandamana.Wakati mpya umefika ambapo haki haitaombwa kamwe.Ukinyimwa haki dai,ikicheleweshwa goma,ikipindishwa andamana.
 
Kwa kweli ikitokea maandamano ya kweli ya dhamira hawa police wataua sana watu maana hawana mafunzo yeyote ya kupambana na maandamano au migomo mikubwa !!! Yaani hii ya leo ni kali........

Uzuri ni kwamba siku hizi haizikopeshwi! baada ya utawala umefanya madudu, unapelekwa the hague. Katiba yetu mpya itatupa uhuru mpya tunaohitaji!!!
 
vp tena huko hayo maandamano yanahusu chademu au ni tofaut na ciasa mana kama ni vurugu za nini tena huko
 
Polisi imetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa chadema waliokuwa wanatoka mahakamani kwa mguu kurudi makwao
Huyu mkuu wa Polisi ni mlevi nini???? Hayo yanayo wakuta wenzake kuanzia Misri, Libya , Baharin etc, anafikiri ni ndoto, sasa wanawakoroga watu tena??????????? Wanachokoza watu waliojichokea????????? Wanataka kuleta sokomoko hawa!! Walio karibu naye wamwambie dunia ni kijiji siku hizi, asirushe mawe kumbe anaishi kwenye nyumba ya vioo!!!! Akikaidi majibu yake yapo karibu, wawa ache wananchi waendelee na shughuli zao kama kawaida!!!!!!!!!!
 
Kikwete - "Tukio la Arusha lilikuwa bahati mbaya halitotokea tena" mwisho wa kunukuuu
 
Extremely low!
Narudia tena, Andengenye ni kuwadi wa mafisadi, NA HUWA HACHANGANYI NA ZAKE!


Ni mpuuzi.. tatizo anaangalia mkono uende kinywani bila kujali utu wake na protokali za kazi

ila ajue tunausoma mchezo na siku moja hayo mabomu yatageuka kuwa kichocheo ndipo polisi watakapogundua kwamba wao ni sehemu ndogo sana ya population, hakika nawaambia hata hizo silaha za moto watawatupia wananchi na kuraba..
 
Lema needs to learn to be a leader and not a boy... si kila kitu ni maandamano na kelele.... kwa hili nampinga Lema, it was unnecessary kutembea na kundi la watu ukiprovoke matatizo

he can do better than that
 
Back
Top Bottom