Polisi wazima mapokezi ya Ndugulile

mpango wa kigambi umejaa hadaa na ujanja mwingi...mpango wa mji mpya wa kigambon hauna tofauti na ule mpango wa kilimo wanaoita SAGCOT....hii ni miradi miwili ya watu wa nje na kwa kuwa kiti cha raisi kina koti jeusi ndio maana mambo haya yameletwa huku tanzania.....sasa mh.mbunge umefika wapi katika harakati zako?
 
Kosa la Ndugulile ni kuacha kazi yake bondeni na kuja kuwaelimisha mazumbukuku ya kitanzania......sasa ona.....jamaa wameshaanza kumchanganya.......
 
Back
Top Bottom