Polisi wapigana kibaha mzani

huko maofisini kwenu hua hamuwezi tofautiana mpaka iwe rushwa embu jaribuni kuheshimu taaluma wengine
 
attachment.php
 
Hayatuhusu sisi wangapi wafanyakazi wanafanya matukio lakini hamsemi akiwa polisi anasemwa
 
yaani wewe hata dar es salaam ilipoishia ujui kazi kuropoka tu kama tobo lissu

kweli wewe huo uzaramo ndio unaokusumbua. aya nenda kacheze ngoma. maana mada nyingine wewe unamtaja lissu kwani ni askari? bora mwenzio kamtaja kova.
 
Nani asie wafaham polisi na elimu zao?Miez 6 wanasomea, hata ngaz ya cheti(certificate) hawafikii... Muda wanaoandaliwa ni mdogo mno yaan wanasomea course why? mwisho ndo maana wanaburuzwa kama mbwa bila kutenda haki... "The beautyful ones are not yet born in tz"
 
Back
Top Bottom