Polisi, wananchi wajeruhiwa kwenye mgogoro wa ardhi Dodoma

sheria kwenye utawala huu wa binamu yako? Si wamesema kesi iko mahakamani? Mwaka huu mtakula nyama za watu!

mpuuzi huyo, unafikiri hata anapata chochote???

Ni ile tu kupata feva ndogondogo ambazo hata kabla ya kugawa utu wake alikua anapata
 
Hapa wanamaanisha kuwa CDM ikipewa nchi kila mtu ataamua kufanya anachokitaka. Kila mtu atakuwa juu ya sheria.
Eneo hili ni mali halali ya wananchi, ila kwa kuwa sasa ni dhahiri kuwa wenye pesa wameweza kuiweka serikali mifukoni mwao...............
 
kila kitu siasa

kwani akija chadema ndio ataruhusu wajenge kwenye maeneo yasiyostahili?
Mkuu hili pia neno. Watu tunaka utawala wa kisheria, serikali ikitekeleza sheria inakuwa nongwa. Ona sasa dar es salaam kila sehemu ni soko wachuuzi wametamalaki kila mahala siku wakiondolewa tunaingiza siasa.
 
Hizo ni sera za ccm kuhusu makazi, na huko dodoma sera hizo zinakubalika, that why ccm inamiliki majimbo yote ya uchaguzi na kata za kutosha. Mpaka pale wananchi wa dodoma watakapobadilika na kwa kuhoji sera hizo maisha yao yataendelea kuwa yale yale ya unga unga mwana.
 
Sheria kwenye utawala huu wa binamu yako? Si wamesema kesi iko mahakamani? Mwaka huu mtakula nyama za watu!
Huwezi kujenga tu eneo ambalo haliruhisiwi halafu uende mahakamani kuweka court injuction. Tumeshuhudia scenario kama hizi nyingi sana hapa nchini. Wengi huwa wanaishia kuloose.
 
It is just beyond my pretty mind imagination. The last thing to loose shld oneself,mweh!
mpuuzi huyo, unafikiri hata anapata chochote???

Ni ile tu kupata feva ndogondogo ambazo hata kabla ya kugawa utu wake alikua anapata
 
sheria ipi? Ya kifisadi au ya kweli

mana kama ni mkondo tu basi boyfriend wako rostam angekua jela
Sheria zipo na tumezitunga sisi wenyewe. Kama unaona una haki sana, nenda kwenye vyombo vya sheria.

Kumbuka pia maamuzi ya serikali siyo 100% perfect. Maamuzi yanafanywa na watendaji kama sisi, sometimes huwa wanakosea. Kama kwa hili wamekosea, hao wananchi wanachotakiwa ni kuisue CDA then wakishinda watalipwa fidia yao.
 
Unafahamu sheria ya ardhi inasemaje kuhusu uvamizi? Ukimuacha mtu kwenye eneo lako for 3+ yrs humtoi bila fidia. Kwa hiyo una maana court injuction mnaweza kuikataa hata kama mahakama imekubali? No wonder.dah

Huwezi kujenga tu eneo ambalo haliruhisiwi halafu uende mahakamani kuweka court injuction. Tumeshuhudia scenario kama hizi nyingi sana hapa nchini. Wengi huwa wanaishia kuloose.
 
sasa polisi wameshirikishwaje.
Police ni walinzi wa raia na mali zao. Wanafanya kazi kwa maslahi ya nchi. Wakiambiwa kuna vurugu sehemu, au kalinde kitu flani, ni lazima waende kuhakikisha usalama unakuwepo
 
Sheria zipo na tumezitunga sisi wenyewe. Kama unaona una haki sana, nenda kwenye vyombo vya sheria.
Kumbuka pia maamuzi ya serikali siyo 100% perfect. Maamuzi yanafanywa na watendaji kama sisi, sometimes huwa wanakosea. Kama kwa hili wamekosea, hao wananchi wanachotakiwa ni kuisue CDA then wakishinda watalipwa fidia yao.
Habari za asubuhi Rejao
 
Mkuu kwani sheria ya mamlaka ya cda inasemaje? Maana maeneo mengi ambayo wakazi wadodo wamejenga kiholela yanamilikiwa na cda, ila naomba kujuzwa juu ya sheria ya cda hapo ndo tutajua ukweli... Kiukweli hawa wagogo tabu tupu kweli yaani...
Eneo hili ni mali halali ya wananchi, ila kwa kuwa sasa ni dhahiri kuwa wenye pesa wameweza kuiweka serikali mifukoni mwao...............
 
Jeshi la polisi limevamia nyumba za wananchi zinazodaiwa kumilikiwa na CDA ambapo inasemekana kuna mtu nyuma yake anaeshinikiza kubomolewa kwa eneo hilo ili alichukue.

Askari wamefika tangu saa nane usiku hadi sasa ni vurugu kubwa katika kijiji cha Chadengwa, wanawapiga mabomu ya machozi na wengine wameshapoteza mali na watoto, trekta linaendelea kubomoa nyumba hadi muda huu.

Source: WAPO radio live from DODOMA
Serikali si ingesubiri hiyo hukumu kwanza kuliko kubomoa kabla ya hukumu hajatoka! Halafu ina maana hao wananchi viwanja waliuziwa na nani kama siyo CDA? Katika hili ni lazima kutakuwa na somo la kujifunza.
 
Siasa inaingia kwenye hili sakata' sabab serikali iliruhusu vyp watu wajenge eneo lisiloruhusiwa?! Na kwa mujibu wa sheria mtu yeyote akijenga kwenye eneo hata kama ni la kwako na akakaa kwa miaka mitatu bila kubughuziwa hilo eneo linakuwa la kwake!
 
Inasemekana sehemu mojawapo inayotetewa ni eneo la mwekezaji mzawa aliyeingia ubia na taasisi moja ya serikali kufanya biashara ya matrekta.
Kwa taarifa tu eneo hilo liko chini ya diwani wa chadema.
 
Back
Top Bottom