Elections 2010 Polisi wajazana Mwananyamala

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
Ndugu wanajamvi... nimepita maeneo ya mwananyamala karibu na hospitali.. ile njia unayopita kama unataka kutokea kinondoni biafra NIMEKUTA MAGARI YA JESHI ZAIDI YA 10... Nashindwa kuelewa kwa nini yamejazana maeneo hayo.. tena yapo maeneo ya makazi.

Angalia video hii:

Last edited by a moderator:
Uchaguzi wa mwaka 2000 nilyakuta kama nane pale buguruni karibu na ile petro station nyuma ya shule ya msingi buguruni
 
si unajua nchi yetu ni ya amani kwa hiyo wanajeshi wetu huwa wanastaafu hawajawahi kupigana vita....chances like this huwa ni golden chance....sisitiza amani popote ulipo ili usiwape kazi ya kufanya
 
Wanaweza wakawa vitega uchumi tukiwapeleka Darfur na kwingineko maana sasa wapo wapo tu na muda si mrefu watachakachuliwa na CCM
 
Wadau kwa mujibu wa Channel ten... Risasi na Mabomu ya machozi vimerindima muda huu M'nyamala... Kuna mdau yupo huko atujuze zaidi? SOURCE CHANNEL TEN ya Rostam Aziz.
 
Wadau kwa mujibu wa Channel ten... Risasi na Mabomu ya machozi vimerindima muda huu M'nyamala... Kuna mdau yupo huko atujuze zaidi? SOURCE CHANNEL TEN ya Rostam Aziz.
Wapumbavu gani hao wanaanzisha vurugu tena?
Hawajui wanatoa nafasi kwa wapandikizaji kufanya kazi yao?
 
wasnataka kuwatisha watu, sidhani kama kuna jambola kutumia mabomu sasa.
 
Fujo za nini jamani? Mbona hata kazi ya kuhesabu kura bado? Au cowards wameamua kuleta fujo ili wapate nafasi ya kuchakachua?
 
Wadau kwa mujibu wa Channel ten... Risasi na Mabomu ya machozi vimerindima muda huu M'nyamala... Kuna mdau yupo huko atujuze zaidi? SOURCE CHANNEL TEN ya Rostam Aziz.
Fuatilia hiyo hiyo Channel 10 utapata ukweli... ingawa hiyo hiyo station ilisema jamaa wamshikana mashati na wameshapelekwa polisi.
 
CCM wameshaanza.......hao wanaoanzisha vurugu wamepandikizwa ili uchakachuaji ufanyike.....oooh nooo.....mliopo huko tujuzeni tafadhali
 
Ni kweli hayo magari yapo yanaingia Karakana ya Jiji hapa Mwananyamala kujaza mafuta kisha kuondoka!
 
Mbona inabidi jambo hili lichunguzwe kwani kuna mdau ametoa taarifa hapa kuwa kuna magari ya jeshi la wananchi kama magari 10 hivi. Hayo magari kwanini yamepelekwa pale mapema? Usiwe mpango wa kuchakatua matokeo
 
Ivi si ndo uko tumeambiwa kuna malori ya jeshi yamepaki.
CCM wanaanzisha fujo wapate namna ya kuchakachua
 
MIMI mida ya saa sita hivi nilipita mwananyamala, karibu na Hospitali ile barabara ya kutokea karibu viwanja vya biafra... nilikuta malori makubwa ya jeshi (JWTZ) yanayozidi kumi (10) yakiwa yamesimama.. kiasi kwamba magari mengine yakipita kwa tabu sana...
kumbe baadae risasi zililindima!!!
what was the reason.. wakati nimeona kuna utulivu mkubwa vituoni?
 
Mbona inabidi jambo hili lichunguzwe kwani kuna mdau ametoa taarifa hapa kuwa kuna magari ya jeshi la wananchi kama magari 10 hivi. Hayo magari kwanini yamepelekwa pale mapema? Usiwe mpango wa kuchakatua matokeo

Heee..Kuna mahala kumetangazwa vita nini?...ni nchi gani ya jirani hiyo? Komoro tena?...magari 10 sidhani kama ni mambo ya uchaguzi hayo!
 
Back
Top Bottom