Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,160
- 10,007
Nasikiliza TBC hapa ofisini kwangu, nakutana kwa bahati na taarifa ya Saa ya TBC. Taarifa inamnukuu msemaji wa Polisi Senso akisema kwamba, hakuna chama cha siasa kinachoruhusiwa kuanzisha kikundi cha ulinzi. senso akaenda mbali zaidi na kusema kwamba kauli ya m/kiti wa Chadema ya kuanzisha kikundi hicho ni kinyume na Sheria.
MY TAKE.
Ni jambo bahati mbaya sana kwamba polisi sasa wamegeuka kuwa watendaji wa ccm.
Na duniani kote ilikowahi kutokea machafuko, chanzo chake ni vyombo vya dola kupendelea upande mmoja kati ya vyama vya upinzani vilivyopo.
Huko mbele tuendako tunahitaji Neema ya Mungu ili tufike salama kutokana na uonevu huu wa vyombo vya dola usiokubalika.
Mkuu unasikiliza ama Kuangalia TBC ??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????