Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

Status
Not open for further replies.
Kma kweli una uchungu na Lema unaonaje na wewe uende nyumbani kwake badala ya kutoa update kutumia source za wengine? Tunataka updates kutoka kwako ukiwa mstari wa mbele eneo la tukio, sio kuwatuma vijana mnawafanya chambo wapigwe marungu
Information is power. Waliopo Arusha wanatoa taarifa kutoka huko.. Kama ningekuwepo Arusha nisingesita kwenda. Sina hata chembe ya uoga wala unafki. .
 
updates kutoka nyumbani kwa
mbunge lema!!

Askari zaidi wameongezwa, kuna
kikosi cha mbwa kipo kinazunguka fensi ya eneo la mbunge.

Bado kuna majadiliano na viongozi wa chadema..

Wanachama na wapenzi wa chadema wazidi kuja eneo hili kukesha ili kuhakikisha usalama wa mbunge wao..

Waliopo hawana mpango wa
kuondoka.

Source;seria mtoto
ndo walewale mnawatuma watoto wa wenzenu kupigania saccos za wazee wenu na shemeji...unataja tu kuwa kuna wenzako,wakati wewe umekaa nyuma ya keyboard
 
Hizi ni ishara kuwa hawa ni magaidi,ya nini ucku mchana walikuwa wapi? Na hao usalama wataifa wanalinda ugaidi badala ya kufuatilia twiga na tembo wanaoibiwa! Nawaambieni 2015 lazima serikali ya kibabe ya baba lizi 2ipige chini!
 
Information is power. Waliopo Arusha wanatoa taarifa kutoka huko.. Kama ningekuwepo Arusha nisingesita kwenda. Sina hata chembe ya uoga wala unafki. Usisahau kumeza dawa zako za kutuliza kichaa.

Mkuu usipoteze energy yako kwa ku argue na huyo kubwa jinga...kama haujagundua member wengi hapa Jf wanamdharau sana tu,uwezo wake ni sawa na wa mwenzake Richard Sophia
 
Na ndio maana nimekuambia kuwa Polisi sio wajinga kwenda kuvamia nyumba ya mbunge bila kuwa na sababu za kutosha.

requirement za kifungu ulicho cite sio "sababu za kutosha" bali ni "kibali cha mahakama". usitafsir sheria unavyotaka.
Ts best if u keep quiet and be thought a fool than to speak out and remove all doubts.
 
Situmwi na wewe.we umezoea kutuma wanywa viroba wakatetee chama cha mzee na shemeji DJ...Chama cha ukoo...naona mfuko wa SACCOS ya ukoo inakua tu

Unamkasirikia nani sasa? Kwani CHADEMA ndo imesababisha upate zero form four? Kakojoe ulale.
 
requirement za kifungu ulicho cite sio "sababu za kutosha" bali ni "kibali cha mahakama". usitafsir sheria unavyotaka.
Ts best if u keep quiet and be thought a fool than to speak out and remove all doubts.

Yupo kwenye dozi huyo. Anajitibu kichaa
 
Mimi siongei kwa kubahatisha.

Look, una siku kama 450 toka ujiunge JF na mpaka sasa una mabandiko 4061. Ukigawanya na hizo siku unaonyesha wastani wa mabandiko 10 kwa kila siku. This is shocking.

Unajitaji holiday, kumbuka kitengo cha mitandao hakiko kikatiba ndani ya CHADEMA, kwa maana kuwa, wewe hutambuliwi kisheria na kama utaugua dementia hakuna fungu la kukutibu.

Take care with your body. Kwani siasa ndiyo umezianza wewe?. Yaani wewe unaweza kuitetea CHADEMA zaidi ya Mbowe na Slaa?.

I hope, this is not a joke!

Hahhaah!!
wewe je "
Join Date : 22nd March 2013

Posts : 359 "

Unasiku 34 post 359 na naona rate ileile ya 10+ post.
Mbona mpo sawa?
 
Dr, Heshima yako mkuu,

Tunaomba hiyo SMS ifikishwe kwenye vyombo vya sheria kwani siku hizi mtu unaweza kutumia mitandao ya simu ya internet kutengeneza namba kama hiyo na kutuma ujumbe.
Sidhani kama mkuu wa mkoa ana akili ndogo kiasi cha kutuma sms kwa mtu ambaye anajua kuwa hiyo meseji ataitumia against yeye kwenye siasa.

Hili jambo linataka kufanana na ile kauli ya afande mshuti

Mimi kama ex-cop kwa uzoefu wangu naona hiyo sms imetengezwa kusababisha uchochezi
Hata mtoto mdogo hawezi kutuma ujumbe kama huo kwa mbaya wake akijua kuwa sms itaonyesha namba ilikotoka

Unaweza kutengeneza namba uitakayo na kupiga simu kokote duniani kwa kuingia kwenye huu mtandao
Internetcalls gets you the cheapest international calls of the internet

Samahani lakini Dr, ila lazima tuwekane sawa kwa faida ya taifa letu

ww kila kitu hudhan?
 
Na hata ile amani ya mashaka tuliyokuwa nayo imeshatoweka zamani sana kilichobaki hapa ni kusema inatosha na kuonesha serikali hii namna nguvu ya umma inavyoshinda nguvu ya shetani.Enyi wananchi/raia wenzangu tuungane sote kupinga unyanyasaji huu kwa kuing'oa tuu hii serikali kandamizi

Nani anajua watoto wa mkuu wa mkoa wa Arusha wanasoma wapi...wachapeni kwa mawe...familia yake, mke wake anafanya kazi gani? toeni taarifa tuwafanyie kazi. Huyu mtu ni muhuni. Analipwa mshahara kwa jasho la wananchi arafu anawageukia wananchi wenyewe...
 
Ndo tabia anazowafundisha Pdre na DJ...Sasa tukiwapa nchi si ndo mtabashiana wenyewe kwa wenyewe?
tena waonekana mrembo mashallah....hilo jina nazidi kukutamani ati....achana na kazi za 7000 per day Lumumba mi ntakununulia meli mtoto...
hao pdre na DJ ndo kina nani? walishakuwaga mabasha wako wa zamani? usijali mi sina wivu mtoto mzuri
 
Ex-cop wa manispaa au jeshi la mbuu,umesomea wapi upelelezi,just for being ex-cop ndo unajua upelelezi.,iyo imetengenezwa ile ya Lwakatare vp,Dr Ulimboka,Mwangosi...idiot
Jeshi lenyewe aliingia baada ya kufail form four, huyu hata angeendelea na jeshi kwa kichwa hicho angeishia kupikia wanaume wenzake tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom