Information is power. Waliopo Arusha wanatoa taarifa kutoka huko.. Kama ningekuwepo Arusha nisingesita kwenda. Sina hata chembe ya uoga wala unafki. .Kma kweli una uchungu na Lema unaonaje na wewe uende nyumbani kwake badala ya kutoa update kutumia source za wengine? Tunataka updates kutoka kwako ukiwa mstari wa mbele eneo la tukio, sio kuwatuma vijana mnawafanya chambo wapigwe marungu
ndo walewale mnawatuma watoto wa wenzenu kupigania saccos za wazee wenu na shemeji...unataja tu kuwa kuna wenzako,wakati wewe umekaa nyuma ya keyboardupdates kutoka nyumbani kwa
mbunge lema!!
Askari zaidi wameongezwa, kuna
kikosi cha mbwa kipo kinazunguka fensi ya eneo la mbunge.
Bado kuna majadiliano na viongozi wa chadema..
Wanachama na wapenzi wa chadema wazidi kuja eneo hili kukesha ili kuhakikisha usalama wa mbunge wao..
Waliopo hawana mpango wa
kuondoka.
Source;seria mtoto
Njoo nikutume wewe. Au wewe keyboard imekaa nyuma yako?ndo walewale mnawatuma watoto wa wenzenu kupigania saccos za wazee wenu na shemeji...unataja tu kuwa kuna wenzako,wakati wewe umekaa nyuma ya keyboard
Njoo nikutume wewe. Au wewe keyboard imekaa nyuma yako?
Information is power. Waliopo Arusha wanatoa taarifa kutoka huko.. Kama ningekuwepo Arusha nisingesita kwenda. Sina hata chembe ya uoga wala unafki. Usisahau kumeza dawa zako za kutuliza kichaa.
Na ndio maana nimekuambia kuwa Polisi sio wajinga kwenda kuvamia nyumba ya mbunge bila kuwa na sababu za kutosha.
Situmwi na wewe.we umezoea kutuma wanywa viroba wakatetee chama cha mzee na shemeji DJ...Chama cha ukoo...naona mfuko wa SACCOS ya ukoo inakua tu
requirement za kifungu ulicho cite sio "sababu za kutosha" bali ni "kibali cha mahakama". usitafsir sheria unavyotaka.
Ts best if u keep quiet and be thought a fool than to speak out and remove all doubts.
Unafikiri kama Zero alipata shemeji yako DJ basi wote wanapata?Zero zina watu wake,na wenyewe ndo kama DJUnamkasirikia nani sasa? Kwani CHADEMA ndo imesababisha upate zero form four? Kakojoe ulale.
Ndo tabia anazowafundisha Pdre na DJ...Sasa tukiwapa nchi si ndo mtabashiana wenyewe kwa wenyewe?na wewe unawashwa? basha nipo hapa
Mimi siongei kwa kubahatisha.
Look, una siku kama 450 toka ujiunge JF na mpaka sasa una mabandiko 4061. Ukigawanya na hizo siku unaonyesha wastani wa mabandiko 10 kwa kila siku. This is shocking.
Unajitaji holiday, kumbuka kitengo cha mitandao hakiko kikatiba ndani ya CHADEMA, kwa maana kuwa, wewe hutambuliwi kisheria na kama utaugua dementia hakuna fungu la kukutibu.
Take care with your body. Kwani siasa ndiyo umezianza wewe?. Yaani wewe unaweza kuitetea CHADEMA zaidi ya Mbowe na Slaa?.
I hope, this is not a joke!
Dr, Heshima yako mkuu,
Tunaomba hiyo SMS ifikishwe kwenye vyombo vya sheria kwani siku hizi mtu unaweza kutumia mitandao ya simu ya internet kutengeneza namba kama hiyo na kutuma ujumbe.
Sidhani kama mkuu wa mkoa ana akili ndogo kiasi cha kutuma sms kwa mtu ambaye anajua kuwa hiyo meseji ataitumia against yeye kwenye siasa.
Hili jambo linataka kufanana na ile kauli ya afande mshuti
Mimi kama ex-cop kwa uzoefu wangu naona hiyo sms imetengezwa kusababisha uchochezi
Hata mtoto mdogo hawezi kutuma ujumbe kama huo kwa mbaya wake akijua kuwa sms itaonyesha namba ilikotoka
Unaweza kutengeneza namba uitakayo na kupiga simu kokote duniani kwa kuingia kwenye huu mtandao
Internetcalls gets you the cheapest international calls of the internet
Samahani lakini Dr, ila lazima tuwekane sawa kwa faida ya taifa letu
Unafikiri kama Zero alipata shemeji yako DJ basi wote wanapata?Zero zina watu wake,na wenyewe ndo kama DJ
Na hata ile amani ya mashaka tuliyokuwa nayo imeshatoweka zamani sana kilichobaki hapa ni kusema inatosha na kuonesha serikali hii namna nguvu ya umma inavyoshinda nguvu ya shetani.Enyi wananchi/raia wenzangu tuungane sote kupinga unyanyasaji huu kwa kuing'oa tuu hii serikali kandamizi
tena waonekana mrembo mashallah....hilo jina nazidi kukutamani ati....achana na kazi za 7000 per day Lumumba mi ntakununulia meli mtoto...Ndo tabia anazowafundisha Pdre na DJ...Sasa tukiwapa nchi si ndo mtabashiana wenyewe kwa wenyewe?
Hahhaah!!
wewe je "
Join Date : 22nd March 2013
Posts : 359 "
Unasiku 34 post 359 na naona rate ileile ya 10+ post.
Mbona mpo sawa?
Hahhaah!!
wewe je "
Join Date : 22nd March 2013
Posts : 359 "
Unasiku 34 post 359 na naona rate ileile ya 10+ post.
Mbona mpo sawa?
Jeshi lenyewe aliingia baada ya kufail form four, huyu hata angeendelea na jeshi kwa kichwa hicho angeishia kupikia wanaume wenzake tu.Ex-cop wa manispaa au jeshi la mbuu,umesomea wapi upelelezi,just for being ex-cop ndo unajua upelelezi.,iyo imetengenezwa ile ya Lwakatare vp,Dr Ulimboka,Mwangosi...idiot