Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa leo amekamatwa na polisi na baada ya kumpekua wamemkuta akiwa na Bastola 2 na risasi 17 eneo la NMC majira ya saa 11 alfajiri akiwa kwenye mkesha wa kushinikiza Lema aachiwe huru kutoka rumande.
Source Taarifa ya Habari ya Channel 10 saa moja Usiku leo
MI NAULIZA JE MTU ANAPOPEWA SILAHA KISHERIA ANAPASWA AIWEKE NYUMBANI KM 1 YA MAPAMBO YA NYUMBA AU ATEMBEE NAYO POPOTE AENDAPO KWA NIA YA KUJILINDA?nieleweshenikuna neno siwezi kuliandika humu...but hiyo silaha imetumika kumtisha mtu?je ilitolewa hadharani? ama kuna risasi iliyofyatuliwa? maana kama kuna ganda litaonyesha namba ya silaha iliyotumika. shwain
Mbona hatukuambiwa Rage alikuwa na risasi ngapi?
Kweli yakhe!Muambiwe kwani picha ilionesha risasi? Kwanza asingefotolewa wala msingeisikia! Dr Slaa aombe radhi kama Rage yaishe! Nchi ya amani hii.
Kwani kuna kosa lolote la kisheria la mtu kukutwa na bastola au risasi?
Hii habari ni sumu humu JF sasa hivi Mods wataitoa waichanganye na thread zingine...
Dr Slaa risasi 17 unakwenda vitani?
Maswala ya kumiliki silaha tena kutupiana risasi kwa wanasiasa yamesemwa yametokea sana kwenye Uchaguzi igunga na mpaka sasa hatua za msingi hazionekani zikilingana na ukali wa taarifa zilizokuwa zikitolewa ktk kipindi kile cha uchaguzi wa igunga, mengi yatasemwa ili kutisha watu ila kimsingi na kiuhalali kila mwenye silaha anapaswa kuwa na silaha yake popote alipo hata mimi binafsi nilikua njugu 17 kiononi(halali) ila sikudhubutu wala sikufikiria kuigusa silaha yangu kwa sababu sikuwa na matumizi nayo kwa wakati ule pale NMC kwenye mkesha.Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa leo amekamatwa na polisi na baada ya kumpekua wamemkuta akiwa na Bastola 2 na risasi 17 eneo la NMC majira ya saa 11 alfajiri akiwa kwenye mkesha wa kushinikiza Lema aachiwe huru kutoka rumande.
Source Taarifa ya Habari ya Channel 10 saa moja Usiku leo