Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,016
- 2,668
Mimi nimesema watu wa miji midogo, pamoja na states hizo za mashimoni huko Arizona wanaumia zaidi kwa sababu ndio hao wanaokaa in the middle of Grand Canyon na kwenye ma vValley huko ambako mpaka leo wanapelekewa mail kwa punda, Marekani hii hii.
Sasa hawa watu wanakatwa kodi kubwa katika kipato chao kidogo, halafu ... hela zao za kodi zinatumika vibaya, which is a double blow to a poor person...
Kwani watu wa mashimoni Arizona ndio peke yao wanakatwa kodi kubwa?
Unajua kwamba kadri unavyozidi kuwa na kipato kikubwa ndio kodi inaongezeka?
Kwa viwango vya mwaka huu, kapela anaetengeneza chini ya $10,000 analipa kodi serikali kuu 10% ya mapato wakati kapela anaeingiza laki tatu analipa kodi 35%.
Halafu umejuaje kwamba waliounga mkono huu "upuuzi" ni watu wa mashimoni Arizona, umeitoa kwa mchambuzi wa "What's the matter with Kansas"?
Usije kuwa unachanganya, maana unapomalizia tungo chatu angalia ulipoanzia kama vinaoana.