Polisi sasa waruhusiwa kuangalia status ya uhamiaji Arizona.

Mimi nimesema watu wa miji midogo, pamoja na states hizo za mashimoni huko Arizona wanaumia zaidi kwa sababu ndio hao wanaokaa in the middle of Grand Canyon na kwenye ma vValley huko ambako mpaka leo wanapelekewa mail kwa punda, Marekani hii hii.

Sasa hawa watu wanakatwa kodi kubwa katika kipato chao kidogo, halafu ... hela zao za kodi zinatumika vibaya, which is a double blow to a poor person...

Kwani watu wa mashimoni Arizona ndio peke yao wanakatwa kodi kubwa?

Unajua kwamba kadri unavyozidi kuwa na kipato kikubwa ndio kodi inaongezeka?

Kwa viwango vya mwaka huu, kapela anaetengeneza chini ya $10,000 analipa kodi serikali kuu 10% ya mapato wakati kapela anaeingiza laki tatu analipa kodi 35%.

Halafu umejuaje kwamba waliounga mkono huu "upuuzi" ni watu wa mashimoni Arizona, umeitoa kwa mchambuzi wa "What's the matter with Kansas"?

Usije kuwa unachanganya, maana unapomalizia tungo chatu angalia ulipoanzia kama vinaoana.
 
Bado sijaoneshwa ubaya wowote wa hii sheria ambayo imetungwa ili kukabiliana na tatizo kubwa la uhamiaji haramu. Nina uhakika kabisa Wamarekani wengi wanapinga uhamiaji ulio haramu na hawafurahishwi wala kuridhishwa na kushindwa kwa serikali yao ya shirikisho kudhibiti uhamiaji huo. Na hii sheria hailengi watu wenye asili ya Hispania tu. Hata wewe mbongo ukikamatwa huko Arizona na kubainika uko nchini kinyume na sheria unapigwa bomba tu. Sasa ikitokea kuwa wahamiaji haramu wengi huko Arizona ni wenye asili ya Hispania basi ina maana wao ndio watakuwa wanakamatwa kwa wingi. Kwa mtazamo wangu jimbo la Arizona ni mfano wa kuigwa hata na Tanzania!
 
So what are you really trying to say here? For, indeed (if only for the sake of argument), the SB 1070 Bill (or Law) appears not to be in violation of any part of the US Constitution, then no amount of "frowning" and accusations of "chicanery" against whoever never would help a darn thing! Unless of course you can prove to us how, why and where this particular law could be potentially be unconstitutional. There may not be any legal requirement for anyone to carry ID in the US, but one shouldn't complain either if this turns out to work in one's disadvantage as far law enforcement is concerned.

Dude,

That which is not forbidden might as well be compulsory from an enlightened law enforcement's point of view. Problem is one could hardly claim that this Gestapo is enlightened.

Ukishasema Mmarekani ana constitutional right ya kuroam about mitaani nchini mwake bila ID, as long as hajaingilia gated community ya mtu au ku tresspass otherwise, maana yake ni kwamba kuweka visheria vinavyoweza kuwataka Wamarekani wabebe ID ili tu kutembea mtaani ili kuepuka kukamatwa tayari una introduce sheria iliyo unconstitutional.

Libertarians wanaweza kuishoot down hii sheria, kwa sababu next thing you know umekatiza mitaa ya AZ huna ID, unafanana fanana na immigrants tu, unalundikwa.
 
Unachotakiwa kufanya ukikamatwa na kama wamekushuku wewe ni mhamiaji haramu ni kuthibitisha kuwa wewe si haramu. Kuna ugumu gani hapo? Wengi walio na matatizo na hii sheria ni wale wafagiliaji wa uhamiaji haramu na wahamiaji haramu wenyewe. If you got your shit together you ain't gonna fuss about it.
 
Tatizo ni kwamba, utalazimisha Wamarekani wote wabebe vitambulisho.Sasa kama Mmarekani hana kitambulisho mtaani unamsimamisha atoe kitambulisho ambacho hakipo, mtu hana hatia, huoni kwamba hii sheria ni ya kifala?

Kitambulisho pekee walicho nacho Wamarekani wote ni Social Security card, ambayo si picture ID, na wanasisitiziwa kila siku wasitembee navyo kwa kuhofia watapoteza.

Sasa kitambulisho mnachotaka hapa kipi? Passport? 60% ya Wamarekani hawana pasport na kubeba passport ili utembee nchini mwako mwenyewe ni upuuzi.Drivers license? Wamarekani kibao hawana drivers license, na wahamiaji haramu kibao wanazo drivers licence.

Sasa kitambulisho mnachokitaka hapa kipi?
 
Kwani watu wa mashimoni Arizona ndio peke yao wanakatwa kodi kubwa?

Unajua kwamba kadri unavyozidi kuwa na kipato kikubwa ndio kodi inaongezeka?

Kwa viwango vya mwaka huu, kapela anaetengeneza chini ya $10,000 analipa kodi serikali kuu 10% ya mapato wakati kapela anaeingiza laki tatu analipa kodi 35%.

Halafu umejuaje kwamba waliounga mkono huu "upuuzi" ni watu wa mashimoni Arizona, umeitoa kwa mchambuzi wa "What's the matter with Kansas"?

Usije kuwa unachanganya, maana unapomalizia tungo chatu angalia ulipoanzia kama vinaoana.

Mtu anayetengeneza 30 billions kwa mwaka akapigwa kodi ya 30% anaweza kuona poa tu. After a certain number of billions the money becomes just numbers.

Mtu anayelipwa $ 20,000 akipigwa rate ya kodi tuseme 20% ambayo numerically ni ndogo zaidi ya hiyo 30%, anaweza kuwa anaisikilizia zaidi ya yule bilionea kwa sababu kipato chake ni kidogo to begin with.

Na kuhusu mashimoni, the entire state of AZ ni mashimoni kwangu mie, ndiyo maana watu wanaweza kuleta upuuzi kama huu. Ushasikia upuuzi kama huu NY au CA ?
 
Tatizo ni kwamba, utalazimisha Wamarekani wote wabebe vitambulisho.Sasa kama Mmarekani hana kitambulisho mtaani unamsimamisha atoe kitambulisho ambacho hakipo, mtu hana hatia, huoni kwamba hii sheria ni ya kifala?

I don't think the bill/ law requires people to carry identification with them at all times. It simply gives the police the authority to inquire about one's immigration status if there is 'reasonable suspicion' that the person(s) in question is/are undocumented.

Kitambulisho pekee walicho nacho Wamarekani wote ni Social Security card, ambayo si picture ID, na wanasisitiziwa kila siku wasitembee navyo kwa kuhofia watapoteza.
Sawa lakini kama wakienda kuomba kazi ni lazima wakioneshe na muajiri ana wajibu wa ku-cross check na social security admin. kama huyo mtu anaruhusiwa kufanya kazi. Kwa wale ambao hawaruhusiwi kufanya kazi (bila idhini) vikadi vyao huwa vinagongewa muhuri lakini baadhi ya watu hutoa nakala bandia zisizo na huo muhuri. Na ukienda kuomba kazi sehemu lazima uweke status yako....mbona hilo hulilalamikii?

Sasa kitambulisho mnachotaka hapa kipi? Passport? 60% ya Wamarekani hawana pasport na kubeba passport ili utembee nchini mwako mwenyewe ni upuuzi.Drivers license? Wamarekani kibao hawana drivers license, na wahamiaji haramu kibao wanazo drivers licence.
Kwani umeambiwa polisi watakuwa wanakama watu mitaani randomly? Ni kwamba ikitokea umesimamishwa au umekamatwa na polisi na wao polisi wakawa na reasonable suspicion kuwa wewe ni mhamiaji harama basi wanayo discretion ya kuhoji uhalali wako wa uhamiaji. Umeshaambiwa Arizona ni ground zero ya uhamiaji haramu Marekani.

Sasa kitambulisho mnachokitaka hapa kipi?
Sidhani kama kuna kitambulisho kinachotakiwa. Kinachotakiwa na uhalali wa kuwepo nchini. Kama umeingia nchini kinyume na sheria basi sheria itachukua mkondo wake.
 
Dude,

That which is not forbidden might as well be compulsory from an enlightened law enforcement's point of view. Problem is one could hardly claim that this Gestapo is enlightened.

Ukishasema Mmarekani ana constitutional right ya kuroam about mitaani nchini mwake bila ID, as long as hajaingilia gated community ya mtu au ku tresspass otherwise, maana yake ni kwamba kuweka visheria vinavyoweza kuwataka Wamarekani wabebe ID ili tu kutembea mtaani ili kuepuka kukamatwa tayari una introduce sheria iliyo unconstitutional.

Libertarians wanaweza kuishoot down hii sheria, kwa sababu next thing you know umekatiza mitaa ya AZ huna ID, unafanana fanana na immigrants tu, unalundikwa.

I don't understand why you keep bringing up the issue of CONSTITUTIONALITY of having in one's possession PERSONAL ID (i.e., Drivers License. Passport, SS#, etc) at all times versus this particular Law.

The fact that an individual isn't able to provide "proper immigration paperwork" (i.e., Green Card or may be even some other form of Personal ID) at any given place and time WHEN ordered to do so by Law Enforcement does not necessarily mean that one is an Illegal.

Simply providing correct Name (and Address) to Law Enforcement should suffice: afterall its Law Enforcement's job to verify the truthfulness of all information provided by a potential suspect, and they definitely have a load of means to determine anybody's Immigrant Status.
 
I don't think the bill/ law requires people to carry identification with them at all times. It simply gives the police the authority to inquire about one's immigration status if there is 'reasonable suspicion' that the person(s) in question is/are undocumented.

Sawa lakini kama wakienda kuomba kazi ni lazima wakioneshe na muajiri ana wajibu wa ku-cross check na social security admin. kama huyo mtu anaruhusiwa kufanya kazi. Kwa wale ambao hawaruhusiwi kufanya kazi (bila idhini) vikadi vyao huwa vinagongewa muhuri lakini baadhi ya watu hutoa nakala bandia zisizo na huo muhuri. Na ukienda kuomba kazi sehemu lazima uweke status yako....mbona hilo hulilalamikii?

Kwani umeambiwa polisi watakuwa wanakama watu mitaani randomly? Ni kwamba ikitokea umesimamishwa au umekamatwa na polisi na wao polisi wakawa na reasonable suspicion kuwa wewe ni mhamiaji harama basi wanayo discretion ya kuhoji uhalali wako wa uhamiaji. Umeshaambiwa Arizona ni ground zero ya uhamiaji haramu Marekani.

Sidhani kama kuna kitambulisho kinachotakiwa. Kinachotakiwa na uhalali wa kuwepo nchini. Kama umeingia nchini kinyume na sheria basi sheria itachukua mkondo wake.

Ebwana I will come back on a toe to toe basis.

Lakini kwanza umenikumbusha Fugees. Ushausikiliza vizuri "The Beast" ? Yaani wakali walishaona hii nchi inapokwenda na haya madudu yote tangu nineties huko.

"The Beast"

[CHORUS:]
Warn the town the beast is loose,
Word 'em up y'all
C'mon

[LAURYN:]
Conflicts with night sticks
Illegal sales districts,
Hand-picked lunatics, keep poli-TRICK-cians rich
Heretics push narcotics amidst its risks and frisks,
Cool cliques throw bricks but seldom hit targets
Private-DIC sell hits, like porno-flicks do chicks.
The 666 cut W.I.C. like Newt Gingrich SUCKS D***

[CLEF:]
Meanwhile the government brings Star Wars from glocks to glockers
C.O.P. has an APB out on Chewbacca
Mista Mayor, can I say something in yo honor
Yesterday in Central Park they got the Jogger
Okay, okay.
Let's get the confusion straight in ghetto Gotham
The man behind the mask you thought was Batman is Bill Clinton.
Who soon retire, the roof is on fire
Connie Chung brung the bomb as it comes from Oklahoma
Things are getting serious, Kuumbaya,
On a mountain satan offered me, Manhattan help me Jah Jah

[CLEF:]
You can't search me without probable cause
Or that proper ammunition they call reasonable suspicion
Listen I bring friction to your whole jurisdiction
You planted seeds in my seat when I wasn't lookin.
Now you ask me for my license/registration
"WHAT THE F**K" is my name
"WHAT THE F**K" is my occupation
Well I'm an MC, I'm down with the Fugees
Mother Mary caught a flashback like Rodney now the cops got Lolly.

[LAURYN:]
The subconscious psychology that you use against me,
If I lose control will send me to the penetentiary
Such as Alcatraz, or shot up like al Hajj Malik Shabazz
High class get bypassed while my ass gets harrassed.
And the fuzz treat bruh's like they manhood never was,
And if you too powerful, you get bugged like Peter Tosh and Marley was.
And my word does nothing against the feds,
So my eyes stay red as I chase crazy bald heads, WORD UP.

[CHORUS:]
Warn the town the beast is loose, Ah - ah, Ah - ah
Word 'em up y'all

[CLEF:]
The chase is on I feel like the bad guy
Fifth gear 125 like New Jersey drive
Looked in my rear view mirror
Police was getting closer
Heard a roar in the sky,
Looked up and saw the Blue Thunder.
My inner conscious says throw your handkerchief and surrender,
BUT TO WHO???
The star spangled banner ooh.
Say can't you see cops more crooked than we
By the dawn's early night robbin' niggas for kis.
Easy low key crooked military
Pay taxes out my ass but they still harrass me.

[PRAZ:]
The streets of corruption got me bustin and cussin' in the concrete jungle
Thoughts being dribbled like that tall kid Mutumbo
Handled by Hannibal
Soon I'm gonna be a fugitive like Dr. Kimble.

[CLEF:] Hey yo should I slow down?

[PRAZ:]
Nah kid go faster,
Just cause they got a badge, they could still be impostors.
Probable cause, got flaws like dirty draws
Meet me at the corner store so we can start the street wars.

[CHORUS:]
Warn the town the beast is loose, Ah - ah, Ah - ah,
Word 'em up y'all
 
I don't think the bill/ law requires people to carry identification with them at all times. It simply gives the police the authority to inquire about one's immigration status if there is 'reasonable suspicion' that the person(s) in question is/are undocumented.

Ukisema polisi wanaweza kutumia discretion yao kumsimamisha mtu yoyote na kumtaka atoe kitambulisho ndiyo umesema kila Mmarekani inabidi atembee na kitambulisho ili asikutwe na dhahama za polisi.

Sawa lakini kama wakienda kuomba kazi ni lazima wakioneshe na muajiri ana wajibu wa ku-cross check na social security admin. kama huyo mtu anaruhusiwa kufanya kazi. Kwa wale ambao hawaruhusiwi kufanya kazi (bila idhini) vikadi vyao huwa vinagongewa muhuri lakini baadhi ya watu hutoa nakala bandia zisizo na huo muhuri. Na ukienda kuomba kazi sehemu lazima uweke status yako....mbona hilo hulilalamikii?

Huwezi ku compare situation ya mtu anayetembea barabarani, hajaomba msaada wala kazi kwa mtu, na mtu anayeomba kazi.Ukishaomba kazi tayari inabidi ukubali masharti ya kazi ambayo hayavunji sheria, ama sivyo unakataa kazi.Sasa huyu mtu anayetembea barabarani tu kumpa masharti kama anaomba kazi si sawa, kuna watu hawana kazi si kwa sababu hawana skills wala nini, kuna watu hawahitaji kuwa na kazi, wako independently wealthy, utawaambiaje maswala ya vitambulisho na mihuri hawa wako nchini mwao? Ukimkamata mtu akakwambia mimi Mmarekani, sina passport, sina drivers license sina document yoyote, halafu mimi ndiye descendant wa American Indians hapa, nyie polisi ndio wageni, utamwambia nini?

Kwani umeambiwa polisi watakuwa wanakama watu mitaani randomly? Ni kwamba ikitokea umesimamishwa au umekamatwa na polisi na wao polisi wakawa na reasonable suspicion kuwa wewe ni mhamiaji harama basi wanayo discretion ya kuhoji uhalali wako wa uhamiaji. Umeshaambiwa Arizona ni ground zero ya uhamiaji haramu Marekani.

Ukishasema "reasonable suspicion" ushampa polisi uhuru wa kukamata mtu kwa suspicion, maana yake bila fact -ndiyo maana ya suspicion hiyo- inaweza kuwa hunch or something just a tad over that, kwangu mimi hapo kuna too much of wiggle room kutengeneza matatizo, kama polisi ana bias yake na watu fulani anatumia loophole hii hii tu kuwafanyizia.Mtu anayeweza kuitetea sheria hii anaweza kufanya hivyo ikiwa hajui matatizo ya polisi Marekani - wengine mpaka mateja, walevi mbwa etc- sasa mnataka watu hawa ndio wafanye discretion ya kuchagua nani tunamsimamisha na nani hatumsimamishi kweli? Based on "reasonable suspicion"? Hiyo reasonable suspicion inatumia standards gani? Reasonability yake ikoje?

Sidhani kama kuna kitambulisho kinachotakiwa. Kinachotakiwa na uhalali wa kuwepo nchini. Kama umeingia nchini kinyume na sheria basi sheria itachukua mkondo wake.

Vipi kama sijaingia nchini zaidi ya kuzaliwa nchini? Na sina ID? Utataka nitembee na birth certificate yangu? Na kama sina? Utani deport kunipeleka wapi?

Upuuzi wa sheria hii inataka kukamata wanaohusika na wasiohusika.
 
... If you got your shit together you ain't gonna fuss about it.

Kabisa, kabisa.

National Council of La Raza ambao wameleta pingamizi wote "ain't got their shit together."

Wote hawa ni Wahispania waliozaliwa Marekani lakini bahati mbaya hawakupata ukazi na uraia.
 
Ukisema polisi wanaweza kutumia discretion yao kumsimamisha mtu yoyote na kumtaka atoe kitambulisho ndiyo umesema kila Mmarekani inabidi atembee na kitambulisho ili asikutwe na dhahama za polisi.

Hapana sijasema hivyo bali uliyosema ni tafsiri yako ya kile nilichosema. Mara nyingi Marekani polisi hawasimamishi wala kukamata watu kiholela holela tu. Lazima kuna kuwa na sababu inayopelekea mtu kukamatwa au kusimamishwa na polisi. Discretion ninayoizungumzia mimi ni pale polisi wanapokuwa wamemkamata au kumsimamisha mtu (kwa sababu zingine kama kukiuka sheria za barabarani) na kuona kuwa kuna 'reasonable suspicion' kuwa huyo waliyemkama au kumsimamisha anaweza kuwa mhamiaji haramu. Nimesema hii ni discretion kwa sababu 'reasonable suspicion' ni judgement call. What I see as 'reasonable suspicion' may not even raise an eyebrow to you. Kwa hiyo siyo kila mara polisi akimsimamisha mtu basi ahoji uhalali na status ya uhamiaji wa huyo mtu.

Huwezi ku compare situation ya mtu anayetembea barabarani, hajaomba msaada wala kazi kwa mtu, na mtu anayeomba kazi.Ukishaomba kazi tayari inabidi ukubali masharti ya kazi ambayo hayavunji sheria, ama sivyo unakataa kazi.Sasa huyu mtu anayetembea barabarani tu kumpa masharti kama anaomba kazi si sawa, kuna watu hawana kazi si kwa sababu hawana skills wala nini, kuna watu hawahitaji kuwa na kazi, wako independently wealthy, utawaambiaje maswala ya vitambulisho na mihuri hawa wako nchini mwao? Ukimkamata mtu akakwambia mimi Mmarekani, sina passport, sina drivers license sina document yoyote, halafu mimi ndiye descendant wa American Indians hapa, nyie polisi ndio wageni, utamwambia nini?

Unaona sasa...nadhani wewe umeielewa vibaya hiyo sheria. Ni wapi inaposema polisi watakuwa wanatembea mabarabarani na mitaani kusimamisha watu na kuwaomba wathibitishe uhalali wao wa kuwepo nchini? Ni kwamba kuna kuwa na jambo lilolopeleka mtu huyo kuwekwa chini ya ulinzi au kukamatwa. Wewe kwani hujawahi kusikia mtu aliye run red light halafu akasimamishwa na polisi na baada ya polisi ku run tag na driver's license yake inabainika mtu huyo ana outstanding arrest warrant halafu anatiwa pingu anawekwa kwenye backseat? Utaenda kituo cha polisi na kuanza ku argue kuwa 'I just ran a red light and you should only give me a ticket for that and let me go' huku una outstanding arrest warrant na wao wakakuachia?

Ukishasema "reasonable suspicion" ushampa polisi uhuru wa kukamata mtu kwa suspicion, maana yake bila fact -ndiyo maana ya suspicion hiyo- inaweza kuwa hunch or something just a tad over that, kwangu mimi hapo kuna too much of wiggle room kutengeneza matatizo, kama polisi ana bias yake na watu fulani anatumia loophole hii hii tu kuwafanyizia.

Ok, I'll concede that 'reasonable suspicion' is not an exact science. I even said it's a judgment call. Lakini kama mtu mambo yako ni fresh, siyo mhamiaji haramu hutakuwa na shida ya kuthibitisha uhalali wako na ukishathibitisha then you are free as bird.

Mtu anayeweza kuitetea sheria hii anaweza kufanya hivyo ikiwa hajui matatizo ya polisi Marekani - wengine mpaka mateja, walevi mbwa etc- sasa mnataka watu hawa ndio wafanye discretion ya kuchagua nani tunamsimamisha na nani hatumsimamishi kweli? Based on "reasonable suspicion"? Hiyo reasonable suspicion inatumia standards gani? Reasonability yake ikoje?

Nimekwambia 'reasonable suspicion' siyo exact science and therefore it doesn't have laws that are capable of accurate quantintative expression like phyisics or chemistry.Lakini pia mapolisi wengi sana Marekani wana exercise discretion kila siku. Mimi hapa mbona mara kibao tu nime run red lights na sikupewa ticket ya fine na badala yake nikapewa warning ticket? Unadhani mara zote hizo hao mapolisi wali exercise nini kama siyo discretion?

Vipi kama sijaingia nchini zaidi ya kuzaliwa nchini? Na sina ID? Utataka nitembee na birth certificate yangu? Na kama sina? Utani deport kunipeleka wapi?

Kama umezaliwa nchini basi utakuwa na cheti cha kuzaliwa. Na nadhani ni sheria ya Marekani kila mtu kusajiliwa na Social security administration. Na huko SSA ndio utakuwa na record za utaifa wako. Na kama umezaliwa nchini basi sidhani kama uta raise any reasonable suspicion kuwa uko undocumented!

Upuuzi wa sheria hii inataka kukamata wanaohusika na wasiohusika.

Kwenye chaos unategemea nini? Kama wasiohusika nao kwa bahati mbaya wakakumbwa kwenye mchakato si wataachiwa huru bana? Tatizo liko wapi hapo bwana Kiranga? Mbona sasa hivi unavua viatu kwenye check points za viwanja vya ndege kisa yule shoebomber Mwingereza....huoni kwamba ni inconvenience flani hiyo?
 
Hii sheria ya kifala tuu ni ya ma racist tuu wanaojificha nyuma ya in the name of rule of law,hawa ndio wale wale wanaotaka ukitaka kupiga kura lazima utoe ID lakini wajanja wakaishtukia na Supreme court wakaipiga chini maana walijua minority wengi hawana IDs kwa sababu nyingi tuu na huwezi kumwondolea mtu haki ya kupiga kura kwa sababu hana ID,hii itatumika kuwasumbua Spanish au non European kama kawaida yao ni sawa na ule ufala wa hawa Republican walipotaka mtu anayekwenda hospital hana insurance waangalie citizenship yake kumtibu lakini walishindwa vibaya sana in the senate,hizi barbaric laws watu wali zifight miaka mingi sana lakini hawa washenzi wanataka kuzirudisha...sijawahi kuona watu ng'ombe kama Republican,ACLU hapo wanasubiri state wachemke wawatwange lawsuit moja tuu ya kuwagharimu millions na hizi draconian laws zao,kwa aliyesoma American History ni kama ule ushenzi wa IRISH NEED NOT APPLY or unfair treatment ya non european immigrants kabla kina Kennedy kuweka fight in 1960s ,hawa Republican i swear to God wangekuwa na uwezo watu kama kina Nyani Ngabu hata wangekuwa na uwezo wasingeweza kununua nyumba sehemu wanazotaka.
 
Hivi wewe unaweza kujenga hoja bila kutumia karata ya ubaguzi? Kila kitu wewe ni racist republicans...racist republicans...racist republicans....you are laughable!
 
Koba waambie bwana, ujue hawa right wingers wanajua sana kujaza watu ujinga, sana sana babu lao Rush.
 
...wewe piga kelele tuu lakini at the end of the day the one who is going to save your ass is good Democrats,they dont give a ratass for colored people like you..they hate you big!
 
Unaona sasa jinsi ulivyo ignorant! Yaani kwa akili yako unadhani Democrats ndio savior wa watu weusi? Kweli umeula wa chuya kama hivyo ndivyo unavyodhani. Kwa taarifa yako hao Democraps wanawatumia nyinyi kama political pawns tu. They don't even fight for your vote coz they know they have it on lock....90% of you vote democratic. Pathetic

Mbona watu weupe hawa vote kwa wingi hivyo kwa chama kimoja tu? Think...use your brain son
 
Koba waambie bwana, ujue hawa right wingers wanajua sana kujaza watu ujinga, sana sana babu lao Rush.

..mtu kama Nyani Ngabu inaonekana hawajui vizuri hawa rightwinger na anafikiri nyimbo za FREEDOM,free market,deficit from teabaggers zina maana hiyo anayosikia!
 
Back
Top Bottom