ALI KIBERENGO
Member
- Jun 20, 2009
- 72
- 1
Mwema Wakamate Haraka na Wafikishwe katika Vyombo vYA SHEIA Wahalifu hao.
kwa maoni yangu mimi nahisi ukombozi umefika,kwani damu inayomwagika kutetea haki hushinda daima,lakini pia sipati picha kama na sisi tusiofurahishwa na ujambazi kama huu tutaamua kulipa kisasi kwa viongozi wa ccm.Mungu yupo na ccm imeshakufa,tunasubiri cku ya maziko tu!!! poleni sana wahanga
wanasubiria wawapige tena watu nondo ndio waaze tena upya kufatiliaHivi wale wapiga nondo wa Mbeya wameishia wapi? nadhani ndio dawa ya hawa Polisi no compromise with Magamba.
Sipati picha nzuri kuhusu hii kauli ya RCO anatumia nini kufikilia au Masaburi watu wako hospitali bado unatoa kauli za hovyo kiasi hicho subiri M4C sijui utakimbilia wapi.
Kwani mwisho wa kutembea usiku Tanzania bila kuvunja sheria ni saa ngapi? Kwani kutembea usiku tunahitaji kuwa na vibali vya polisi? Polisi acheni maneno yenu bwana.
Tatizo la polisi kuhojiwa akiwa under influence of viroba. This is strange, mlalamikaji awe arrested kwa kosa aliloripoti kabla hata polisi hawajakamata suspects? Assumption za RCO zinatoka wapi na zimebase kwenye Nini?
Hawa wabunge walijitakia wenyewe, waliisha ambiwa mwisho wa kampeni ni saa 12 , wao saa 6 usiku wanafanya kampeni kilicho wapata ndicho hicho vijana wenye kulinda sheria wakawa GECHA
Hawa wabunge walijitakia wenyewe, waliisha ambiwa mwisho wa kampeni ni saa 12 , wao saa 6 usiku wanafanya kampeni kilicho wapata ndicho hicho vijana wenye kulinda sheria wakawa GECHA
Hawa wabunge lazima tuwakamate watueleze vizuri kuhusiana na tukio la kukatwa kwao mapanga usiku. Watueleze kwa nini walienda huko Kabuholo gizani usiku tena bila kutoa taarifa polisi?.
we tahira unayejiita genius matope walikuambia hao wabunge walikuwa kwenye campaign muda huo au unadhani? shame on u hamtoki 2015Hawa wabunge walijitakia wenyewe, waliisha ambiwa mwisho wa kampeni ni saa 12 , wao saa 6 usiku wanafanya kampeni kilicho wapata ndicho hicho vijana wenye kulinda sheria wakawa GECHA