Polisi kuwakamata wabunge wa CHADEMA waliokatwa mapanga!

Laiti kama wabunge wa magamba ndio wangefanyiwa unyama huo,viongozi wa CDM sasa hivi wangekuwa wamekamatwa policcm hawana nyimbo,ngoja nianze kujifua.
 
Hatuna polisi tz, kama wengine wanauza milungi,bangi madawa ya kulevya na zaidi wanashiki uharifu unategemea nini!!! Wamelaaniwa
 
Tatizo la polisi kuhojiwa akiwa under influence of viroba. This is strange, mlalamikaji awe arrested kwa kosa aliloripoti kabla hata polisi hawajakamata suspects? Assumption za RCO zinatoka wapi na zimebase kwenye Nini?
 
Naona hawaamini kuwa mambo ya Tunisia hayawezi kutokea Tanzania,ila wakija kuamini ilo itakua too late!
 
Wathubutu waone,tayari tuko full,Mwanza si Tabora,tunajua yote waliyopanga ila watafanikiwa kwa 99.9% ila 0.1% itawashinda na ndio ina thamani.Pole yao mapongo magamba.
 
Haya mambo yanasikitisha na yanakatisha tamaa mtu kajeruliwa alafu tena ndo atakuwa mtuhumiwa wa kwanza nchi hii inaenda wapi hiyo goodgovernance mbona hainokena pactically.

Police wanazidi kujionesha udhaifu wao kwa wananchi kama hao wabunge wangekuwa wa ccm tungeona hizo ambush za kusaka hao watuhumiwa, ila siku ipo inakuja kila kitu kitabadirika hata maskini na wanyonge wataenjoy maisha.
 
Kwani mwisho wa kutembea usiku Tanzania bila kuvunja sheria ni saa ngapi? Kwani kutembea usiku tunahitaji kuwa na vibali vya polisi? Polisi acheni maneno yenu bwana.

Hapo umenena mkuu, hata wanaosimamia sheria kumbe hawazijui! kwisha habari yetu! du!
 
polisi wana mchango mkubwa sana kufanikiwa kwa hili tukio coz kama walikuwa na taarifa za kutekwa kwa hawa waheshimiwa na mpaka kufika eneo la tukio mapema tu wakaamua kupotezea mpaka hawa jamaa wakajeruhiwa namna ile mmh!inawezekana ikawa ni mipango ya jeshi la polisi na hao waliotenda huu unyama
 
Wafadhili na wanasiasa majambazi ndani ya CCM Mwanza wanajulikana kwa vyombo vya Usalama. Na ndiyo walifadhili mpango wa kushambuliwa wabunge wa CDM. Huyo RCO atakua ktk mtandao wahalifu ndiyo maana anazungumza ujinga.
 
Mbona ndo kawaida yao?mmesahau kule Pemba uchaguzi wa mwaka 2000 nini kiliwakuta wawakilishi wa Cuf?
 
This is stupidity walah...je wangekuwa ni wabunge wa ccm wamefanyiwa hivi ni nini kingetokea? AU ni matamshi gani linalojiita ni jeshi la polisi la watanzania wangetoa kwa watanzania? Jamani nyie polisi tufike mahali tutumie utu na ubinadam wetu kufanya maamuzi na kuwatendea watu haki.....huwezijua ya kesho wale mnaowategemea wameondolewa madarakani....NI nini kutafuata
 
Back
Top Bottom