Polisi kuua Raia Watalii kukimbilia Kenya (picture)

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
248
01.jpg
 
Safi sana.. finally tumeonyesha true colors zetu.. nimesoma comments za wakenya wanatucheka sana.... na wana haki ya kutucheka maana tuliwadhihaki tukajiona si bora zaidi eti tuna amani na mshikamano.. my foot! Sasa wenzetu wameshatiana adabu wanajenga nchi si bado tunacheza kiduku na viongozi wetu... :A S-devil1:
 
Nadhani mzalendo Basilio Matei atakuwa ametokwa machozi kama nilivyotokwa machozi ya uchungu kuona ule udhalimu ukitokea nyumbani ninapopapenda kwa moyo wangu wote.
Huyu mheshimiwa--pamoja na shinikizo kubwa--alitumia busara nyingi ili kuepusha janga kama hili--baada ya kukataa katakata kuchakachua matokea ya ubunge.
 
Back
Top Bottom