Puppy
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 2,995
- 2,494
Ndugu Wanajamvi.
Arumeru mashariki sasa itapewa polisi kumi kila kata kuimarisha ulinzi.
kinachonisumubuA ni nini hasa lengo la kugawa polis hao?
1. je uhalifu umeongezeka sana au?
2. au lengo ni kuwatisha wananchi kuhusu kushiriki kampeni/
Ombi langu kwa polisi kumi kumi., msiwe watumwa, mwisho wa siku lolote likitokea tunawalaumu nyie wakati walowatuma wako maofisini wakila kiyoyzi, na lawama zikizidi wanakuja kwenye media kuwageuka kuwa hawakuwatuma kupiga watu.
ninyi na ndugu zenu mko mitaani kwetu changanyikeniu wakati wanaowatuma wako oysterbay na masaki, njiro na sakina.